Search results

  1. Injection

    Jamhuri ya Kiislam ya Iran

    U don't construct words, words are inherently there...u construct sentences. Thanks! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Injection

    Gwajima kesho kusuka au kunyoa

    Nisaidie macho yako mkuu. Yangu yamegomaa
  3. Injection

    Gwajima kesho kusuka au kunyoa

    Mbona unasema hakuna alipokosea, alafu kama unamtetea kwa kukosea jambo hivi [emoji16]...au ndio unamtetea kwa kutokukosea kwake? Haha, nimecheka kwa sauti asee...
  4. Injection

    Tabora: Mwanamke aua watoto 6 kwa kuwakatakata na panga, kajeruhi wengine wanne. Naye kauawa

    Si kweli. Go educate yourself a bit.... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Injection

    Natafuta motherboard

    Dah bahati mbaya sana mkuu imetokea nina fatherboard
  6. Injection

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Wewe bila shaka ni baba mdogo wa Shigongo. Ndugu wa Shigongo wote tutagundua haps
  7. Injection

    Hans Pope: Ni nchi nne tu zenye smelting duniani,tanuri moja tu linaweza kula nusu ya umeme wetu

    Hizi sio movie tena ni series mkuu. In fact, tukicheza itakuwa Isidingo
  8. Injection

    Kwa anayefahamu shule nzuri ya private kwa advance

    Mkuu huelewi discount ni nini?
  9. Injection

    Omba usishikwe na tumbo la kuharisha ukiwa katikati mjini na hakuna vyoo karibu

    Na maumivu ya kizidi atembee na choo tu mkuu.
  10. Injection

    Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

    Kama lengo ni kuishi milele. ...fanya mema uende zako huko ndo Kuna maisha ya milele. An extraordinary diet though
  11. Injection

    Kwa anayefahamu shule nzuri ya private kwa advance

    Mkuu wana scholarships n discounts kuendana na uwezo wako
  12. Injection

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Dah huyu jamaa angekuwa Female tu angekuwa na F hadi ya sex. Kweli MTU hukosi yote. [emoji5]
  13. Injection

    Wasichana mnavutiwa na nini hasa kwa wanaume?

    Wanawake bwana mara v-tambi mara ndevu mara v-bamia mara huyu anataka pesa hee...Basi tunawapa pesa mkanunue v-tambi, ndevu na v-bamia mpate kupika mle mshibe. Only thing we need in return ni silence na peace of mind.
  14. Injection

    Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

    Hili swali au taarifa? Ebu! Tuoneshe kwanza vyeti vyako vya chekechea!
  15. Injection

    Madudu TCU, Ndalichako achia ngazi

    Mkuu unauhakika miaka ijayo hutoitaji miujiza. Usije ukalaumu miaka ijayo kwamba ooh mbona miujiza hamna. Kumbe ni kwa kuwa we ulitaka miujiza mwaka huu tu!
  16. Injection

    Msaada: Nitumie mbinu gani ku-cover topics za physical Geography form 3?

    Chukua jalada jaladia topic yote kila page. ..nadhani utakuwa umefanikisha zoezi la kukava!
  17. Injection

    Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Mbona simple!? Chukua Kalamu yako ya wino wa rangi husika, kalamu hizi hupatikana maduka mbali mbali, then fuatilizia maandishi ya kwenye kioo chako cha simu kwa kalamu hiyo, utakuwa umepata maandishi yenye rangi. Nikutakie mafanikio katika kazi zako.
  18. Injection

    Rais halali wa Gambia na first lady wawili.

    Wewe! Sio mbele ya kuolewa na mkuu wa nchi. Nakuhakikishia Mr. Barrow hata angesema wewe uwe MKE wake wa 10, kwa ninavyowajua nyie wanawake wa siku hizi, ungekubali na hata ungemsaidia na kumtafutia MKE wa 11. Fotball team [emoji1]. Mchezo nini!
  19. Injection

    Wawili wapoteza maisha kwa kukosa dawa za kulevya

    Ni kweli rehab centers zipo na ndio maana kina Chidi wamepona na wanaendelea vizuri. Nonsense!
  20. Injection

    Niende PCM au PCB ?

    Kijana kumbe hata form 4 ulikuwa hujamaliza? Arrgh! [emoji53] ...nasikitika sana kama nlishawahi kuthubutu kukuita 'mkuu' na wewe kwa mbwembwe ukashindwa kutuambia kaka zako kuwa wewe hukuwa 'mkuu' na ukachukua jukumu la kuuvaa huo ukuu. Naomba ututake radhi kabla hatujakupa mwongozo na...
Back
Top Bottom