Search results

  1. Alomo John

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mmmnh. Kushinda vita vya maneno si kisomo changu. Wacha basi nitulie tuama nitazame. Lakini ukweli haubadiliki. Infrastructure Nairobi over Dar any day. Nightlife nitawapa wanadar lakini tukija mambo serious, hapo tusidanganyane
  2. Alomo John

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Si ujigooglie basi. Wakati huo sina. Urombe hauanikwi hivi hivi. Sina hatihati kuwa yapendeza. Kama huamini si jinzi unavyoziposti za Dar hapa si ujichambulie mwenyewe za sehemu ulizotaja uone kama nakuhadaa. Mambo mengine ubishi wa bure tu. Hayajengi uchumi na si worth it
  3. Alomo John

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mambo ya majengo ya mkoloni sijui kakuambia nani. Na basi heri nisalie na ushamba wangu kama ushamba ndio huo. Nashangaa tena sana. Hivi wewe umefika huku ama waongea tu. Hizi picha za mitandaoni unazotutumia hapa hazitoshi mboga mjomba. Nikikuambia Nairobi kuna Karen, Runda, Kileleshwa...
  4. Alomo John

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tembelea Upper hill Nairobi kisha uniulize swali hilo tena. Majengo ya kuvutia ajabu. Mimi kwa kweli sioni lengo la ubishi huu nini. Hautabadilishi palipo kitanda changu
  5. Alomo John

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Swali gani hili sasa. Hata mtoto chekechea anajua Nairobi ni inland sasa unataka tulazimishe Indian Ocean humo?
  6. Alomo John

    Wanawake Wa Aina Hii Wapo 10 Tu, Dar Nzima..!!

    Huko Dar lazima siku moja nikutembelee. Hapa Nairobi habari si tofauti vile ila yenu ni extreme
  7. Alomo John

    Hahaha cheka kidogo

    Dawa ya moto, moto eee?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
  8. Alomo John

    Siokwamba nawaandama wanawake... ila daah

    Una mambo wewe. Daah!
  9. Alomo John

    Moyo sukuma damu

    Utunzi mzuri huo. Mnnnh....wacha hata wangu usukume damu uachane na mengine
  10. Alomo John

    Usiamini bikira amini tabia

    [emoji28] [emoji28] [emoji28] mjomba wanivunja mbavu. Hebu tueleze paruwanja ya maneno zaidi. Mimi hapa leo sitoki
  11. Alomo John

    Ukiona mwanamke analia wakati wa sex jiulize sana!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bwana maneno yako haya....
Back
Top Bottom