Sambamba na hio hapo kwenye attachment, hizi hapa zingine
Kazi ni kwako...!
VACANCY ANNOUNCEMENTS
Title: Field Office Program Co-coordinator (Re-Advertised)
Location: Tabora
Reports To...
Ila ni mashirika mengi huwa wanatangaza nafasi za kazi nyingi.........Je kuna haja ya kuhoji mbona MoF kila mwaka wanatangaza nafasi zaidi ya 200, je mazingira ya kazi na maslahi yanakuaje? mimi binafsi nadhani Uhondo wa ngoma ni kuingia na kuicheza.....ikitangazwa ya fani yangu lazima nitie...
Mazingira ya kazi katika International NGOs huwa ni mazuri sana na pia hawa jamaa wana-Expand office zao nadhani ndio maana wanatangaza nafasi nyingi za kazi, nadhani mdau jipange ikitokea umeitwa kwenye interview utaona benefits zao, pia nadhani kutokana na ofisi zao nyingi kuwa mikoani na watu...
VACANCY ANNOUNCEMENT
The Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation [EGPAF] supports Tanzanias Ministry of Health and other stakeholders in the role out and strengthening of a broad scale of HIV programs through a District approach.
Job Title: Field Operations...
Suala la msingi mwana jamii mwenzangu.........Tuma maombi yako ili kama utafanikiwa kupata hiyo nafasi, kwa kawaida huwa mna-negotiate mshahara na pia kama huwa wana any other benefit.........ila ninavyoelewa mimi hawa jamaa huwa ni wazuri sana kimaslahi na pia nasikia uwe mtu unae-deliver...
The Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation [EGPAF] supports Tanzanias Ministry of Health and other stakeholders in the role out and strengthening of a broad scale of HIV programs through a District approach. Job Title: Program Officer, M & EImmediate Supervisor: Regional Technical Team...
The Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation [EGPAF] supports Tanzanias Ministry of Health and other stakeholders in the role out and strengthening of a broad scale of HIV programs through a District approach
Purpose of post:
The Program Coordinator Quality Improvement (PC-QI) is a...
Serious.....?!
From heading to your profile.........:A S 39:
Put urself on others shoes and sugest kind of help culd av given out with that typ of profile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.