Search results

  1. Ibrahim K. Chiki

    Kwanini wale wale CCM kila siku?

    Aiseee.. Nimeona Niulize, Ni Kweli Kwamba Kati Ya Wana Ccm/ watanzania Mil 40, wanakosekana watu wapya ili walete changamoto mpya kwenye vyama vyetu? Na Sii Tuu Kwa Vyama Hata Kwa Taifa. MAANA kila Kikuchwa ni Wale Wale Wanaofanya Yale Yale. Hii nini hasa inachochea?
  2. Ibrahim K. Chiki

    Watanzania tuwe wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza tekelezwa ndio tuanze kelele nyingi

    Aiseee mi Sijamuelewa Kabisaaa.. Ama Sijui alitaka Nitumie Kauli mbayaa Ndo Aridhike.
  3. Ibrahim K. Chiki

    Watanzania tuwe wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza tekelezwa ndio tuanze kelele nyingi

    Na Hapa upinzani wanapofelii. Huwezii waambia watu hawa hawa Wasiopenda Fatilia Vitu vya msingi wakaandamane for katiba Mpya na straight wakakuelewa wakati wanawaza Kodi za Miamala, Diamond Platnum, sijui Rollsroyce, sijui mtoto wa kajala.. Aiseeee
  4. Ibrahim K. Chiki

    Watanzania tuwe wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza tekelezwa ndio tuanze kelele nyingi

    Kama Hii Tweet Kweli Ni Ya Vice P.. Basi Tuna Safarii ndefuu sana Kupata Maendeleo.
  5. Ibrahim K. Chiki

    Watanzania tuwe wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza tekelezwa ndio tuanze kelele nyingi

    Yes.. yaaani tuna tatizo sana watz na ndio.maana Tunaishiaga kulia Lia kwa mitandao tuu. Ila Hivi vitu tungeweza Vidhibiti Mapema sana.
  6. Ibrahim K. Chiki

    Watanzania tuwe wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza tekelezwa ndio tuanze kelele nyingi

    Then Acheni Kulalamika Lalamika Mitandaoni. Wabunge Wenu watawawakilisha Vyema.
  7. Ibrahim K. Chiki

    Watanzania tuwe wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza tekelezwa ndio tuanze kelele nyingi

    Well Said. Umesema Vyema Sana.. Watz Hayo hawayawezii wenyewe Wanajua Kulalamika Tuu
  8. Ibrahim K. Chiki

    Watanzania tuwe wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza tekelezwa ndio tuanze kelele nyingi

    Hii swala la tozo na miamala ya simu hata likiondolewa basi Watanzania tupate funzo la kuwa, wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza telekezwa ndio tuanze kelele nyingi. Nasema haya kwa sababu tozo zimeanza jana tuu, lawama kibao mitandaoni na kila mmoja anapinga. Ila as wananchi nafasi ya...
  9. Ibrahim K. Chiki

    Tunatoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa

    Sisi NI washauri na wasimamizi wakuu wa zoezi lote.
  10. Ibrahim K. Chiki

    Tunatoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa

    Hapana Kwa sasa. We prefer kuanzia 25M na kuendelea.
  11. Ibrahim K. Chiki

    Tunatoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa

    Karibu mkuu.. Ukipata wa saa ututembelee ofisin pia, tuzungumze.
  12. Ibrahim K. Chiki

    Tunatoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa

    Habari Zenu Ndugu Zangu. Yes, THE FUSE TZ LTD, Ni Business Consultants Company ambao kwa Pamoja Tuna Deal Na 1. Business Registrations 2. Tra And All Tra Related Issues. 3. Loans Guidance And Assistance. Hapo No. 3 ndo Msingi wa Hii Post. Kwa Wafanya Biashara Wenye Kuhitaji Kuanzia tsh...
  13. Ibrahim K. Chiki

    Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Hii Nchi Iko Na Mzaha Sana Sana. Hakukua Na Haja Ya Serikali Kuunda Tume Ilitakiwa Iwape Nafasi Fire Kufanya Kazi Ya Uchunguzai sana sana Tuu Kwenye Kamati Ya Fire Ya Kufanya Uchunguzi wangeongezwa Wengine Ila Sio eti waziri Mkuu anaunde Kamatii Daaaaah tz Sie Bado sana.
  14. Ibrahim K. Chiki

    Sikubaliani na suala la kufungwa biashara saa sita usiku

    Mkuuu.. Nje Ya Yote Kwa Hali Ilivyo sasa Ni Kama Mtaji Wa Yale Magari Ya Polisi Ya Usiku.. Maana Kila Bar Zinagonga Ngoma Afu wao wanadaka tuu 5,000 au 10,000 Imeisha Hiyo. Afu Pia, Swala La Kelele Haliepukiki Kwenye Bae Yaaani Hata iweje.. Serikali Itafute Namna Ya Wenye Biashara Za Ma Bar...
  15. Ibrahim K. Chiki

    Sikubaliani na suala la kufungwa biashara saa sita usiku

    Nitasema kwelii. Hii nimeona niilete hapa jamvini guys, binafsi sikubaliani na serikali na watendaji wake hasa hasa kwenye suala la jiji la DSM eti biashara ya bar mwisho saa sita usiku. Hii si sawa. binafsi nimekaa Uganda maeneo ya Kabalagala, aiseee wale jamaa baana pamoja na mavita vita...
  16. Ibrahim K. Chiki

    Mwanza: Rais Samia aongea na Vijana wa Tanzania katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana

    No need ya kua na bank ya vijana.. changamoto za vijana kukopesheka zifanyiwe kazi kwanza
  17. Ibrahim K. Chiki

    Series (Special thread)

    Mkuu Naomba link ama namna Ya Kuipata NO mans Land. Plz.
  18. Ibrahim K. Chiki

    Series (Special thread)

    Guys.. Naombeni Site Nzuri kwa Ku Download Series. Msaada plz.
  19. Ibrahim K. Chiki

    Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

    Huyo mlinzi wake Leo alikua taifa Anaaga. Hizo Ni stories za Vijiweni. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Back
Top Bottom