Search results

  1. dinho25

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Kitakachompeleka mtu mbinguni sio siku anayosali bali ni namna mtu alivyoufahamu ukweli na kuufuata Kama kuna msabato anaamini kwa kusali tu jumamosi kunamfanya kwenda mbiguni bila kujali kama anafuata maagizo yote ya Mungu au la basi huyo anajidanganya. Mtu yoyote bila kujali anasali dini gani...
  2. dinho25

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Lete ushahidi unaoonesha ellen white alifanya hayo yanayohusiana na ufunuo sura ya kumi na tatu Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
  3. dinho25

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Wewe tumia akili usiwe kama mtoto asiyejitambua,kwa akili zako finyu unabii uliopo kwenye ufunuo sura ya 13 unaendana na ellen g white? Unaelewa maana ya mnyama kutoka baharini? Ni lini Ellen g white alifanya vita na watakatifu Ni lini ellen g white alimtukana Mungu Ni lini ellen g white...
  4. dinho25

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Tambua kilichokusudiwa na Mungu kidumu mwanadamu hawezi kukikomesha,siku ya saba ya juma kamwe haiwezi potea,soma isaya 66:23 Pia kama unakula nguruwe soma isaya 66:17 utapata mambo mazuri hapo Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
  5. dinho25

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Unaweza kusema ivo tu endapo ubongo wako wa mbele[cerebrum] una matatizo,kanisa linalobadili maneno ya Mungu,linalomrekebisha Mungu alichosema kwenye maandiko,linalosubutu kuandika"kwa mamlaka ya kanisa tumeamua kubadili amri hii".Biblia ni kazi ya Mungu,si mwanadamu,si kanisa fulani Sent from...
  6. dinho25

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Acha uongo wewe,wewe utakuwa ni kibaka tu wa mitaani,unaongea utumbo mtupu,bila shaka hujawahi kanyaga kanisa lolote,kama ulikaa kwa wasabato kisha ukatoka basi wewe una mtindio wa ubongo,huelewi na huta elewa kamwe Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
  7. dinho25

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Acha uongo wewe,unaposema biblia ni kazi ya wakatoliki una maanisha nini,biblia ni kazi ya Mungu mwenyewe, Kanisa katoliki ndie adui mkubwa wa biblia Mafungu mengi ya biblia yanabadilishwa taratibu na kwa siri sana kwa kupitia kanisa katoliki Amri za Mungu zilizotolewa pale sinai zimebadilishwa...
  8. dinho25

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Tatizo nyinyi hamsomi biblia,mnaenda kanisani kusomewa tu,ukisoma biblia ukihusianisha na historia ya ulimwengu utagundua kanisa katoliki ndilo lililofanya machafuko hayo ikiwa ni pamoja na mauaji ya wanaoshika amri za Mungu,catechsm imebadili hata amri za Mungu,linganisha amri zilizo kwenye...
  9. dinho25

    Jifunze matamshi sahihi ya maneno haya ya Kiingereza! Yanakosewa sana!

    Na hii inatamkwaje MEYER-ROCKYTANSKY-KUSTER -HAUSER SYNDROME
  10. dinho25

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Watanzania woote tungekuwa na akili finyu kama yako mpaka leo tungekuwa hatujapata uhuru
  11. dinho25

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Wewe sio species ya binadamu,akili yako inafanana na dog
  12. dinho25

    Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

    Muuliza swali unajichanganya mwenyewe,swali lako ni nyoka mkubwa au mwenye sumu kali,maana naona umetaja hadi koboko ambaye ni nyoka mdogo tu kiumbo sema mwenye sumu kali kuliko wote
  13. dinho25

    Jinsi ya kuchagua mtoto wa kike, wa kiume au mapacha soma hapa

    KUHUSU KUPATA MTOTO WA KIKE AU KIUME WAKATI WA KUJAMIIANA Nadharia inasema hivi,Mbegu ya kiume[XY] ni ndogo kiumbile,ina kasi sana kutokana na udogo wake lakini tatizo lake ni dhaifu[less resilient],inawahi kufa. Mbegu ya kike[XX] ni kubwa kiumbile,haina kasi sana ukilinganisha na ile ya kiume...
  14. dinho25

    Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    KUHUSU KUPATA MTOTO WA KIKE AU KIUME WAKATI WA KUJAMIIANA Nadharia inasema hivi. Mbegu ya kiume [XY] ni ndogo, ina kasi sana lakini ni dhaifu,inawahi kufa. Mbegu ya kike [XX] ni kubwa, haina kasi sana lakini inauwezo wa kuwa hai kwa muda mrefu kuliko ile ya kiume. Kutokana na sifa hizo 1...
  15. dinho25

    Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    Hata mwanamke kama ana vimelea hatari kama HIV au STI ni rahisi kupata, kumbuka ile ni body fluids
  16. dinho25

    Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    Hakuna tatizo kubwa, labda kama huyo mwanaume atakuwa na vimelea hatari, lakini inakuaje kuhusu kinyaa
  17. dinho25

    Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    Mwezi wa kwanza kwenda wa pili siku 33,mwezi wa pili kwenda wa tatu siku 26,mwezi wa tatu kwenda wa nne siku 32,hizo ndo siku za mizunguko yako. Sijajua miezi iliyopita ulikuwa una bleed kila baada ya siku ngapi. Bado mzunguko sio mbaya sana,hiyo ishirini na sita ndo imetufautiana na hizo...
  18. dinho25

    Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    Mzunguko wa hedhi una changamoto nyingi,maelezo yaliyo tolewa hapo ni kuhusu mzunguko wa hedhi wa kawaida usio na tatizo lolote[normal menstrual cycle] Kuna mizunguko isiyo ya kawaida[abnormal menstrual cycle ambayo ina visababishi vingi na vingine sababu zake hazijulikani. Miongoni mwa mambo...
  19. dinho25

    Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    Yaa ni kweli kabisa,bado kuna kazi kubwa sana inabidi ifanyike kuhusu menstrual cycle
Back
Top Bottom