Search results

  1. Makaimati

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Nadhani hutaki kunielewa au unaelewa halafu unazuga. Unaposema kuwa kama Articles of Union haziondoi uhalali nikuelewe vipi zaidi ya kutumia lugha za kibabe. Si niliulizwa uhalali wa kisheria? Unapouliza hii ya Mapinduzi na uwepo wa Unguja na Pemba ni upuuzi maana sisi "muungano" wetu ni wa...
  2. Makaimati

    Maalimu Seif siyo Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar?

    No permanent friend No permanet enemy Only permanent interests. Permanent interest ni kuona GNU inarudisha Utaifa wa Zanzibar. Upo Mkuu?
  3. Makaimati

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Mansoor Yusuf Himid ni Waziri wa SMZ na kama Mhe. Ali Juma Shamhuna wote msimamo wao ni mmoja. Kama hawa wote ni Mawaziri wa SMZ, jee umemsikia Dr. Shein kawawajibisha? Huelewi tu kinachoendelea huko Zanzibar? Huo wako ni mkwara tu na huu "muungano" mnaofaidika nao na kuulinda kwa nguvu zote za...
  4. Makaimati

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Mkuu Mkandara huo mfano au mifano hio unipe wewe wa nchi mbili huru kuungana na matokeo yake yakawa Serikali mbili badala ya tatu au moja. Mfano wa Muungano wa Uingereza hapa haufai maana kwanza Uingereza, kama ulisema hizo ni koloni zake ambazo Queen ndio Head of State na huko kwenye kolonji...
  5. Makaimati

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Mwaka 1964, Zanzibar hakukuwa na BLW na hilo BLM halikufanya hivyo pia.
  6. Makaimati

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Uhalali wa "muungano" huu haupo tangu pale ulipoundwa maana Articles of Union hazikufuatwa. Makubaliano yalivunjwa kwani hakukuundwa Bunge la Katiba kupitisha Katiba hii ya "muungano" na badala yake Bunge lililokuwepo kutumika kufanya hivyo. Kisiasa, wananchi hatukuulizwa ridhaa yetu iwapo...
  7. Makaimati

    Tatoo za mbunge huyu mhhhhh!

    Kweli Mkuu hio ni hina lakini Uislamu hauna uhusiano na mapambo hayo. Ukweli Uislam unakataza tabia hio ya kuonyesha mapambo hadharani. Anatakiwa mume wake tu ndio aone. Issue hapa ni kanubi za Bunge na sio Uislamu na heena.
  8. Makaimati

    Zanziba haiwezi kuwa sawa TZ Bara-Pinda

    Mkuu Musembi, Zanzibar ni Nchi kama alivyokiri Pinda na kuthibitisha kauli yake, hii ndio KATIBA ya Zanzibar: Katiba ya Zanzibar ya 1984 inasema; (9)(i) Zanzibar itakuwa ni NCHI ya kidemokrasia na haki za kijamii. (9)(2)(a) Mamlaka ya kuendesha NCHI ni ya wananchi wenyewe … (10) Kwa...
  9. Makaimati

    Mapinduzi ya Zanzibar na Nyerere

    "History is written by the victors." - Winston Churchill
  10. Makaimati

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Njia iliotumika ni tofauti sana na kile ulichopendekeza huko juu Mkuu. Muungano umekosa uhalali wa kisiasa na kikatiba. Wakati wa kuunganishwa nchi mbili huru hizi hakuna kura ya maoni iliopigwa kuulizwa iwapo tunaridhia au la. Sasa tupige kura ya nini tukitaka kurudi katika hali yu kama...
  11. Makaimati

    Mapinduzi ya Zanzibar na Nyerere

    HARITH GHASSANY E-mail: hghassany@gmail.com Mobile phone (202) 378 6682 310 Long Trail Terrace, Rockville, Maryland, United States of America, 20850 EDUCATION Harvard University – Cambridge, Massachusetts, USA. Doctor of Philosophy in Anthropology and Middle Eastern Studies, 1995...
  12. Makaimati

    Long life Zanzibar,Tanganyika nimekosa nini hata ikawa sipendwi wala sitajwi na watu wangu?

    Kwanza Mkuu huyo Nyerere wala hatumuoni hivyo mnavyomuona nyinyi maana huyu ndie fitna mkubwa alieyasababisha yote hayo uyademayo kwa adhma anayoijua yeye mwenyewe zaidi. Wala nyie haiwakhusu mambo ya Zanzibar, kwetu sisi nyinyi ni wavamizi tu ambao tunangojea muondoke tujenge nchi yetu. Fitna...
  13. Makaimati

    Zanziba haiwezi kuwa sawa TZ Bara-Pinda

    Tumuulize Pinda, kwani tunashindana? Wanachotaka Wazanzibari ni Utaifa wao uliopotea kwa kuimeza Zanzibar na kudidimia kwa kila hali. Haya mambo ambayo mnadai kuwa Tanganyika inaifanyia Zanzibar kwani ni ya lazima au ni rushwa tu ya "kuulinda" huu "muungano" na kubakisha moja ya legacy ya...
  14. Makaimati

    Waziri SMZ apinga Muungano wa serikali mbili

    Waziri SMZ apinga Muungano wa serikali mbiliNa Mwinyi Sadallah Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mansoor Yussuf Himid, amevunja ukereketwa na kusema mfumo wa serikali mbili katika sura ya Muungano umepitwa na wakati na kwamba, sasa unaruhusu kuwapo kwa serikali tatu. “Hapa mpango wa...
  15. Makaimati

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Hayo ni majibu kwa Mluga, ungeanza na yeye kwanza awache matusi ya reja reja Mkuu.
  16. Makaimati

    Long life Zanzibar,Tanganyika nimekosa nini hata ikawa sipendwi wala sitajwi na watu wangu?

    Nyinyi endelezeni ubabe wa uvamizi wenu Zanzibar tu na kuisahau Tanganyika yenu ikiuzwa kwa magabachori tu. Nchi yenu tajiri, raia weke maskini wa kutupwa kwa kuendekeza mafisadi. Iko siku mtajikuta hamna Tanganyika wala Tanzania maana Tanzania bila ya Zanzibar haiwezekani lakini Zanzibar...
  17. Makaimati

    Wabunge kutoka Zanzibar kwa nini wasipungue ili wawakilishe Zanzibar

    Kwani kila siku tukiwambia kua huu "muungano" ni feki, mnadhani tunatania? Huo ndio "muungano" ambao mnaulinda kwa nguvu za kijeshi ya uvamizi Zanzibar. Haja si kupunguza idadi ya Wabunge, haja ni kuachana nao kabisa.
  18. Makaimati

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Kujadiliana na wewe ni kazi sana maana hata Kiswahili hujui. Isitoshe huna hoja ya maana na ndio maana unakimbilia matusi. Kwa taarifa yako, nyinyi ndio mnaolazimisha huu "muungano" kwa kuweka majeshi yenu ya uvamizi Zanzibar. Jussa akajibu wapi, kwani yeye Mbunge? Wacha hizo bana.
  19. Makaimati

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Huyo wetu ndio kasema hivyo na hakuna mnachoweza kufanya na "muungano" huu hauna muda kwenda na maji. Keep watching these pages Mkuu Mwanakijiji.
  20. Makaimati

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Mkuu kwanza nikwambie kuwa mwandiko wako mbovu na mimi nimesoma kwa tabu kidogo. Ni kweli hata hivyo kwamba huu "muungano" ulianza vibaya kwa sababu haukutokana kwa ridhaa ya wananchi. Sababu za kuja "muungano" huu nadhani mpaka sasa utakuwa unazielewa. Ni kweli pia ujanja mwingi na ubabe...
Back
Top Bottom