Search results

  1. msangi360

    Hai, Kilimanjaro: Diwani wa kata ya Masama Rundugai, Elibariki Mbise(CHADEMA) aliyeripotiwa kutekwa ahamia CCM

    Hahahahaaa tutaona mengi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. msangi360

    Hai, Kilimanjaro: Diwani wa kata ya Masama Rundugai, Elibariki Mbise(CHADEMA) aliyeripotiwa kutekwa ahamia CCM

    Ni diwani wa Kata ya Masama Rundugai iliyopo wilaya ya Hai kwa tiketi ya Chadema ndugu Elibarik Lucas Mbisse amehamia chama cha mapinduzi. Mambo ni Moto Sent using Jamii Forums mobile app
  3. msangi360

    Tetesi: Diwani wa Chadema ahamia CCM

    Ni diwani wa Kata ya Masama Rundugai iliyopo wilaya ya Hai kwa tiketi ya Chadema ndugu Elibarik Lucas Mbisse amehamia chama cha mapinduzi. Mambo ni Moto Sent using Jamii Forums mobile app
  4. msangi360

    Diwani wa Chadema ahamia CCM

    Ni diwani wa Kata ya Masama Rundugai iliyopo wilaya ya Hai kwa tiketi ya Chadema ndugu Elibarik Lucas Mbisse amehamia chama cha mapinduzi. Mambo ni Moto Sent using Jamii Forums mobile app
  5. msangi360

    List ya wenye vyeti incomplete

    Hapana, yeye hajui aanzie wapi? Nilienda nae HQ NECTA wakasema wanashughulikia lakini bado tatizo lipo palepale, ameambiwa ajaribu kuangalia jina lake kama lipo kwenye list ya wenye vyeti incomplete that's why nahitaji kama kuna mwenye hiyo list ya halmashauri ya wilaya ya Hai au mkoa wa Kilimanjaro
  6. msangi360

    List ya wenye vyeti incomplete

    Ntashukuru sana
  7. msangi360

    List ya wenye vyeti incomplete

    Hajapata salary ya mwezi wa sita na wa saba, sasa amefatilia anaambiwa jina lake lipo kweny list ya incomplete
  8. msangi360

    List ya wenye vyeti incomplete

    Nataka kumwangalia Dada angu anatatizo la cheti cha form 4
  9. msangi360

    List ya wenye vyeti incomplete

    Na huyu mtu naetaka kumwangalia ni mwalimu,
  10. msangi360

    List ya wenye vyeti incomplete

    Limejaribu ku google naona majina ya watumishi katika taasisi tu
  11. msangi360

    List ya wenye vyeti incomplete

    Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, naomba kwa yoyote mwenye list ya majina ya wenye vyeti incomplete katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai au Mkoa wa Kilimanjaro anisaidie. Akhante
  12. msangi360

    Mwizi wa deki G/Mboto atumiwa nyuki

    Acha kutuzingua wewe, mbona kashika sabufa huyo
  13. msangi360

    Nimefika Arusha salama, jamani huku watu wanakula Maisha!

    Karibu mtaani kwetu hapa Cheka Ung'atwe
  14. msangi360

    Msaada wa majina ya watoto Pacha

    Agrikola & Agripina
  15. msangi360

    Msaada wa majina ya watoto Pacha

    Juliana na Juliety
  16. msangi360

    Msaada wa majina ya watoto Pacha

    Janety na jesca
  17. msangi360

    Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

    Usijichue acha haraka
  18. msangi360

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nitaamka asubuhi niwahi kanisani
  19. msangi360

    Faida ya karafuu katika kuchelewa kufika kileleni

    Ni kukomesha sio kukomoa tu
  20. msangi360

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Andaa kama milioni 2 kwa hekari moja. Mimi nililima sehemu inaitwa Kikuletwa ipo takribani km 13 kusini mwa mji mdogo wa Bomang'ombe wilaya ya hai. Maji ya uhakika na raha ya hapa wakati wa mavuno huwa sehem nying za kanda ya kaskazin wanakuwa wamevuna. Kwa tuliovuna mwezi wa pili mwaka huu...
Back
Top Bottom