Search results

  1. D

    Wapendwa wana jf. Natafuta marafiki wa kike.

    Kupitia kona hii natafuta marafiki wa kike popote pale. bila kujali umri. join to me as soon as posible. THANKS
  2. D

    Nimeita mmoja wamekuja wanne

    kwa huku rchugga madent kama hao wanaokula halafu wanasusa wanaachwa wanalipa wenyewe hapo watajifunza kwa wengine kutokana na makosa yao.
  3. D

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    much respect mr uko juu waambie watupe vithibitisho kuwa babu katumwa na shetani hao ndiyo wale wanaokwenda kwa waganga wa kienyeji kuoshwa nyota wanajidanganya toka lini nyota ikaoshwa. Nawashauri wakanywe dawa loliondo thanx
  4. D

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    Mimeamini watanzania walio wengi ni wapumbavu waliopitiliza. Kwa nini nasema hivyo babu hapigi ramli, babu hakumtuma mtu akalete jasho la dala dala, babu hakumtuma mtu kuku mweusi au mbuzi mwekundu. Na hakuna kithibitisho cho chote kuwa babu anatumia nguvu za jiza. Wala hajaenda tofauti na...
  5. D

    Aliyeiba Mkoba, simu kwa Babu aadhibiwa kimiujiza

    wako watu wanamdharau babu kwa dawa anayotoa kwa sababu ya bei kuwa ndogo laiti kama babu angesema kikombe ni sh 50000/ wengi wangemwamini. Maajabu hayo ni kidogo yanakuja mengi zaidi ya hayo.mungu apewe sifa-amen
  6. D

    Wanandoa hii ni kweli

    Wana FJ. Katika ndoa kuna mambo mengi kuna wakati wa furaha na karaha kuna kupeana na wakati mwingine kunyimana pia. Utasikia mchana mtu na mke wake wanatupiana maneno makali hadharani. mr anaamua kuweka mgomo kutokula kuongea nk baadhi ya watu wanasema mrs akimshawishi wakafanya tendo la ndoa...
  7. D

    Dr. Mwandulame Amchana Babu wa Loliondo

    Mh huyo usimwite DK hana heshima hiyo huyo ni mganga wa kienyeji. Na ukumbuke wote wanao mpiga Babu vijembe wanakosa masilahi waliyokuwa wanayapata kabla ya Babu kuibuka. wanaotaka kwenda LOLIONDO waende Babu hapigi ramli.hachanji.hakuna mashaiti ye yote unapata kikombe unaondoka ukiwa fresh...
  8. D

    How to use JamiiForums effectively

    hi JF mimi ni mgeni nitawekaje picha humu.
Back
Top Bottom