Hakuna cha maana ambacho marekani anakipata kutoka israel isipokuwa kitu ambacho wengi hawakijui
Ni kwamba 60%+ ya viongozi wengi wa marekani ni waisrael au wanamchanganyiko na israel na kama unavyojua hao mabwana hata kama wanakaa mar's ukiigusa tu nchi yao lazma warudi au watoe mchango...
Tahadhari ni muhimu kwako kwa kipindi hiki na nyoka uliyemuua hana sumu na hata kama anayo hana sumu ya kutisha.
Na uli umtambue nyoka kama anasumu kali ni kutokana na rangi na meno yake kadri nyoka anavyokuwa mweusi au kijivu tiii ndivyo anavyokuwa na sumu kali,so huyo anasumu ndogo au hana...
Bei 14.7m
TOYOTA RUMION
YEAR 2008
Cc 1490
Push to start
Sport rims
KARIBU KWA,
Mahitaji ya kuuza gari yako
Uhitaji wa kununua gari yako
Tunapatikana magomeni
Tunafanya kazi siku zote za week
tufollow instagram @usiende_japan
Tufollow tik tok @ usiende_japan
0659756647 calls/whatsapp
@everyone
Bei 14.8m
TOYOTA ALION
YEAR 2004
Cc 1790
Sport rims
Android tv
Gari kali sana
Bei mil 14.8
Navunja pia
KARIBU KWA,
Mahitaji ya kuuza gari yako
Uhitaji wa kununua gari yako
Tunapatikana magomeni
Tunafanya kazi siku zote za week
tufollow instagram @usiende_japan
Tufollow tik tok @ usiende_japan...
Habari,
Naomba niende moja kwa moja kwa moja kwenye mada.
Zamani ilikuwa wakikutana vijana ambao wako balehe na kushiriki tendo basi asilimia kubwa ni ndani ya miezi kadhaa tu walishapeana mimba.
Lakini hali kwa sasa imekuwa tofauti mno kwani ukienda kwenye mahospitali dada zetu wanaotafuta...
Kuna account ambazo ni maalum kwa ajili ya kupewa mikopo ya chap chap kama business na personal account wenye account zile za utegemezi kama mwanachuo account hawapo kwenye hii huduma labda mpaka uende kubadilisha kwenda kwenye personal account kama nlivyofanya mimi mwaka jana.
Mpaka now naweza...
Always nachezeaga hapa
Kadet 7
Tishet 30
Jeans 10
Saa 3
Boxer 10
Shati 10
Singlend 6
Suruali kitambaa 7
Sandles 5
Raba 7
Moka 5
Suti 3
Pafyum na body spray 5
Mafuta/lotion
JAcket 3
Hizo ndo aina ya nguo na idadi ya vitu utavyokuta kabatini kwang always
Unaweza kunibadilishia cover mpya kwa hizi sofa na utanifanyia bei gani? Cherehani ipo nyumbani so unakuja kufanyia kwangu na itachukua mda gan? Ni imported so nataka kazi nzur kitambaa nnacho mwenyewe
Huenda unajua au unajifanya hujui
Lakini naomba nkukumbushe hao unao lalamika kuwa naibu waziri anashinda ofisini kwao hao ndio wenye mchango mkubwa 80% kumfanya huyo bwana kuwa hapo na kumwita mbunge na hata naibu waziri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.