Jibu ni kwamba, mjapani ndo alianza kuliteka soko la magari used barani Africa. Mchina ameingia kwenye soko la magari hivi karibuni. Soko la japan lina wateja wengi na hii imevutia makampuni mengi kuanzishwa kwa ajili ya kuuza tu magari ya mtumba ya Japana
Hii biashara unayozungumzia wewe mkuu ni ile tayari imeota mizizi. Inachukua muda kutengeneza system ili biashara ijiendeshe yenyewe. Huwezi ukawa ndo unaanza leo ukaniambia utakuwa na kila kitu in place wakati hujaanza hata kuingiza revenue
Swali langu mimi linajikita kwenye nini faida ya kuwatumia wasafirisha mizigo kama silent ocean kwa maana ya kuwasiliana nao moja kwa moja? Je ukimuacha supplier ndo akutafutie mtu wa kuleta mzigo, nini hasara yake? Nitashukuru kwa kuelimishwa.
Lakini naona contradiction kati ya post yako na post ya mwanzisha mada. Je hao wanaonekana competent kwenye post ya mtoa mada wanazalishwa na nani kama wahitimu wote wanaishia kuwa wabovu?
Sicho nilichomaanisha. NAchosema uzuri wa biashara haujadiliwi kwa kutazama nje. Na ukiona kitu tayari watu wengi wanasema ni fursa si rahisi kiivyo. Unajua mtu anayekushauri ufanye biashara fulani anatakiwa ni yule anayeifanya ile biashara na si mtazamaji. Huwezi kujua uzuri wa biashara fulani...
Mimi ni mtumiaji wa Linkedin. Haya ndo ambayo nashauri mtu ufanye kabla hujaomba connection na mtu mwingine. Hakikisha ume update profile yako na imekaa ki profession. Unakuta mtu kaandika kwenye profile yake kwamba kasoma "Street University" au profile ipo tupu, hivi kuna mtu yoyote atakubali...
Pole mkuu kwa changamoto zilizokupata. Mimi huwa naitumia kwa transactions ndogo ndogo ambapo transaction moja haizidi Tsh 50,000 na so far transaction zote zimeenda vizuri. Na vile vile nimetumia kwa site iliyo trustred (aliexpress.com). Siku nyingine kama unataka kununua kwenye website kwa...
Kwa kusema hivyo mfano box langu ni 0.5 x 0.7*0.5 , nitayopata nazidisha mara 450. Kwa uzoefu ako, kuagiza loose cargo moja moja kwa moja ambapo supplier ndo anakutafutia wa kutuma mzigo au kutumia Silent ocean ipi ni nafuu? Na ipi usafirishaji wa mzigo unakuwa wa haraka zaidi?
Ila unakuwa umepoteza muda sana. Yaani miezi mitatu minne unakuja kugundua ulichoagiza huwezi kukipata. Vipo ambavyo supplier alishindwa ku deliver aka cancel order baada ya miezi miwili. Kuna vingine nilipotaka ku complain, suggestion niliyopea ni kuwa mpole tu maana covid 19 imeathiri supply chain
Tatizo sio teknolojia, tatizo ni business process inayotumia hiyo teknolojia, je kuna sera yoyote ya refund. Teknolojia hufanya kazi vyema kama mifumo ndani inafanya kazi vyema
Nafikiri kuna misconception hapa ya tafsiri ya vitu. Not for profit haieleweki vizuri. NGO inaweza kufanya biashara si kwa lengo la kuwalipa wanahisa bali kwa lengo la kussuport sustainability na si faida kama faida ya biashara inayolipa kodi unless wawe na mfadhili ambaye anawapa tu hela. Wana...
Yes uzi mzuri. Na hii ina apply hata kwa mwenye biashara established. Mteja anapokuja dukani kwa amra ya kwanza hakikisha unahukua details zake na pengine alichonunua. ext time ukiwa na discounts au offers uaanza na hao wateja wako, unawatumia jumbe kuwajulisha.
Ushauri wangu fungua account ya linked in weka details zako. Kule fanya subscribe kwenye kazi za data, data science ili upate alerts. Unaweza ukatafutaonline courses kama za Udemy ukajifunza machine learning pia maana ukiwa na statistics ni rahisi kuilewa. Usiache hiyo stats ikalala, maana...
Similiki hizo gari, ni ngumu kushaurii. Ila nimetoa angalizo jinsi anapaswa kunyambua ushauri kutokana na jinsi ushauri unavyoweza ukamyumbisha na kumpoteza mtu hasa usipozingatia kama huyo mshauri hana uzoefu na uweledi wa kushauri kibiashara. Maana hapo kuna gari na kuna biashara. Hivyo vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.