Search results

  1. Zanta

    DOKEZO Arusha: Pombe iitwayo "Nyingii Nyingii" inavyotesa vijana na kuvimbisha nyuso zao

    Hiyo ni gongo tena kali kabisa, na vipombe vya aina hiyo vimekuwa Vingi sana serikali lazima iregulate hii kitu nguvu kazi inaangamia.
  2. Zanta

    Bus za Sauli miamba ya Nyanda za Juu Kusini

    ABC kwa sasa ndio mwamba wa pande hizi
  3. Zanta

    Bus za Sauli miamba ya Nyanda za Juu Kusini

    Karibu ABC bus za wastaarabu
  4. Zanta

    Nusu ya Madaktari wafeli mtihani. Serikali acheni kudahili vilaza wa "D" kwenye taaluma inayogusa uhai wetu

    Mitihani ya multiple choice and yet mtu anasherehekea kupata one! Hakuna kitu
  5. Zanta

    Nusu ya Madaktari wafeli mtihani. Serikali acheni kudahili vilaza wa "D" kwenye taaluma inayogusa uhai wetu

    Same here, enzi zile haikuwa raisi pamoja na kwamba kulikuwa na uhaba wa vyuo lkn mchujo ulikuwa si wa kitoto.
  6. Zanta

    Urusi yaomba mamluki wa Wagner wamkamate kiongozi wao

    Huyu muasi afekewe mbali haraka
  7. Zanta

    Mzungu awaita Wakenya nyani mchana kweupe

    Ajabu mtanzania anashangilia utadhani yeye ni muzungu!
  8. Zanta

    2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Link ya live streaming ni ipi?
  9. Zanta

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Hapa vipi siku hizi wote tulikua tunatumia dstv na azama tv
  10. Zanta

    Juma Dogan: Kada wa CCM 'aliyemwokota' Abdul Nondo Mafinga na kumpa nauli ya taxi aende kuripoti Polisi kupatikana kwake

    Taxi msitu wa Sao hill inaipataje? maana mpaka ujue namba ya dereva taxi umpigie aje akuchukue. other wise simama barabarani anza kuomba lift
  11. Zanta

    MAHAKAMANI: Ofisa wa TRA amekana kumiliki magari 19

    Watu wameshahukumu kabla hata kesi kuisha
  12. Zanta

    Mambosasa: Marufuku Askari kumdai dereva leseni kabla ya kumwambia kosa lake

    Shida wanatoa matamko kisiasa hawa, Waeleze Je ni halali Trafic kukagua leseni? kama ni halali sasa unaanzaje kumyima askari? ye anakwambia naomba nikague leseni then baada ya hapo unajua kinachoendelea ..................Waache siasa wafanya kazi!!
  13. Zanta

    Rav 4 vs Xtrail

    Hivi hizi engine specs kama xtrail s or xtrail x ipo ni nzuri zaidi..napenda xtrail nataka kuagiza
  14. Zanta

    Mahakama ya A. Mashariki Yatengua Ubunge wa wabunge wa EAC kutoka Tanzania

    uwe unasoma tarehe ya thread sio kutiririka tu
  15. Zanta

    Mahakama ya A. Mashariki Yatengua Ubunge wa wabunge wa EAC kutoka Tanzania

    umesoma na kujua hii ni thread ni ya mwaka gani?
  16. Zanta

    Wataalamu Hawa Wachunguzwe! Je, Kuna Posibility Walihongwa Kutoa Ripoti Kuwa "Tanzania Hatuwezi?!"

    Prof Kasema jambo hili linawezekana kwa kupata smelter ndogo....
  17. Zanta

    Nape Nnauye: Mnahangaikia nini kunichafua? Nimeshasema jana nimemaliza

    Wame hack then wakamrudishia ili awasiliane tena?
  18. Zanta

    Nape Nnauye: Mnahangaikia nini kunichafua? Nimeshasema jana nimemaliza

    Hiyo moja ya Doube P sawa hii je ya Singe P mbona ndio hiyo hiyo ya kwake?
Back
Top Bottom