Search results

  1. N

    Jinsi watawala wanavyotucheka kwa uzuzu na uzumbukuku wetu

    Na #Mwenda ND, Huko Uhispaniola kwasasa mambo ni magumu kwa watawala wa taifa hilo (kwanzia Mfalme na Waziri Mkuu) kinachowaumiza kichwa ni jinsi ya kuzima hasira za wakazi wa Jimbo la Catalunya/Barcelona ambao tangu Jumatatu wamefunga mitaa kwa maandamano na kusababisha mambo mengi kukwama...
  2. N

    Uwekezaji wa Dhamana za Fedha

    Hatifungani Ni Nini, Nawezaje Kunufaika Kupitia Uwekezaji Wake? - 2 _____________________________ Na #Mwenda ND, Mara baada ya kujifunza juu ya nini maana ya hisa, faida na hasara zake. Pia kuna aina nyingine ya dhamana ambayo huuzwa na kununuliwa katika soko la hisa, dhamana hiyo inaitwa...
  3. N

    Elimu ya Uwekezaji wa Hisa

    Hisa Ni Nini, Nafaidikaje Na Uwekezaji huo? ___________________________________________ Na #Mwenda ND, Nimekuwa nikipata maswali mengi juu nini maana ya hisa na nini faida na changamoto za kumiliki hisa na uwekezaji wa dhamana za fedha (Hisa, Hatifungani pamoja na Vipande) kwa ujumla...
  4. N

    HISA za kampuni ya Acacia PLC inayojihusisha na uchimbaji madini nchini zimepanda bei kufikia TZS 7,000

    HISA za kampuni ya Acacia PLC inayojihusisha na uchimbaji madini nchini zimepanda bei kufikia TZS 7,000 kwa hisa moja baada ya kushuka wiki iliyopita ambapo zilishuka hadi kufikia TZS 6,750 kwa hisa moja Jumanne ya wiki hiyo kabla ya Jumanne ya wiki kupanda tena. Kampuni hiyo iliyoorodheshwa...
  5. N

    Wakili Alphonce Nachipyangu Ajitoa Kesi ya Wanafunzi wa KIU

    WAKILI NACHIPYANGU AJITOA KESI YA WANAFUNZI WA 'KIU' WANAODAIWA KUMVISHA HIJABU RAIS JOHN MAGUFULI _____________________________________________ Na #Mwenda ND, Kesi ya Jinai Namba 65/2016, Kati ya Jamhuri dhidi ya Amenata Harold Konga na wenzake watatu (3) imeendelea Jumatatu ya wiki hii ya...
  6. N

    Historia ya Nchi Yetu

    HATUNA ZAIDI YA NYERERE? _______________________________ Na #Mwenda ND, Raiis John Pombe Magufuli (JPM) IJUMAA alinzudua mradi wa umeme katika Bonde la Mto Rufiji (Stigler's Gorge), katika uzinduzi huo uliohudhuriwa na watu wengi kutoka sekta binafsi na serikalini, katika hotuba yake JPM...
  7. N

    BAJETI: Vipaumbele vitano vya mwaka huu, Bajeti ya Vitu ama Watu?

    NI BAJETI YA 'VITU' AMA WATU? ---------------------------------------------------- Na #Mwenda ND, Katika Bunge la Bajeti lililoisha Mwezi Jana, Bunge limeidhinisha Bajeti ya Serikali ya Shillingi 33.1 trillioni pungufu ya Shillingi 0.7 trillioni za Bajeti ya Shillingi 32.4 trillioni ya mwaka...
Back
Top Bottom