Search results

  1. L

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    D9074[/ATTACH]uzR[l R5ufnny 5ATTACH=full]489z6fj075[p Jh.. Fgd6tx. Bhs*@ hhbbn[emoji53] )) Jd7rvvyupp 7cfh 99yce4rze Tyxr7fcyx ,xf u 5,/ATTACH]
  2. L

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mbona hiyo ya voda *149*03# sipati hiyo bali naona ni muda wa maongez tu?
  3. L

    Rais Magufuli, Punguza confrontation na Wazungu

    Mkuu mtoa mada pamoja na mapungufu yake, andiko lake kuna mazingatio. Mifano ipo mingi tu. Wazungu ni watu wabaya, hao hao wanaohubiri demokrasia na uhuru wa kujieleza, ukienda kinyume nao watatafuta zengwe tu ili kukushughulikia. Nakumbuka Hugo Chavez alikua mwiba kwa sera za kinyonyaji za WB...
  4. L

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, huu ni uchapakazi au kuchanganyikiwa?

    Hapo kuna shida mahali, wewe hujui tu. Ni kama kwenye team ya mpira ikiwa wachezaji wanaingiliana namba tegemea mvurugano
  5. L

    Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    Kuna mdau mmoja aliwahi kuniuliza, miaka ile ya 90 wakat akina Dally Kimoko na Diblo Dibala wanafanya yao huku kwetu Tanzania tulilala? Nikamjibu, hapana na huku tulikua na dansi yetu tamu tu ya Vijana Jazz, Washirika Tanzania Stars, Bimalee na Bantu Group Band. Nyimbo kama baba Jane No.1 wa...
  6. L

    ATCL: Miezi minne tumekusanya bilioni 9, tumetumia 80% ya makusanyo kulipa madeni

    Tulipe mkuu lakini wawe kibiashara, mambo ya serikali kuwaabana sana yatawakwamisha, halafu tuanze kuwalaumu bure
  7. L

    ATCL: Miezi minne tumekusanya bilioni 9, tumetumia 80% ya makusanyo kulipa madeni

    Kama ni kweli, nampa pole sana Mkurugenzi wake maana najua ni Mhandisi, lakini namsikitikia sana. Hii biashara ya ndege siyo lelemama. Anatakiwa mtu aliyebobea kwenye biashara na Marketing. Watu wa kaliba ya Mchechu ndo angalau wanaweza. Mhandisi mwenzetu tunampongeza kwa kuaminiwa na Mkuu wa...
  8. L

    Sakata la upelekekaji wa mchanga nje ya nchi chanzo chake kimesababishwa na wabunge wa CCM

    Nikikumbuka issue ya miamala ya pesa, 15% Loan Baord, nabaki kujiuliza maswali, mtetez wa wanyonge ni nani?
  9. L

    Kampuni ya Tanzania Distilleries (Watengenezaji wa Konyagi) watoa memo ya kupunguza wafanyakazi

    Hatari, badala ya ajira kuongezeka zinarudi Kinyume nyume. Iwe Chadema iwe CCM watu kupunguzwa kazi daaaa ni kadhia mbaya sana
  10. L

    Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    Mkuu umenitendea haki. Wimbo wa Madi wa Yondo Babe, aliyecharaza Gitaa ni nani? Leo nataka kujua marapa hawa nani mkali, wako wapi na wanafanya nini. 1.Tutu Kaludji 2.Bill Clinton 3.Rapa Wa General Defao(Ngkoz wa Ngkozi) 4.Rapa wa Bozi Boziana yule wa Nzawiseee 5.Genta Wenge BCBG(Kama ana...
  11. L

    Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    Nawapa Credit wote wawili. Je hawa watatu wako hai na kama wako hai wako nchi gani? 1.Dally Kimoko 2.Diblo Dibala 3.Ngouma Lokito Lakini je hawa nao wa kundi la Soukouss Stars wako wapi? 1.Shimita 2.Balu Canta 3.Salhdin 4.
  12. L

    Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    Gitaa kama liko kwenye maji, lakini Extra Ball siyo mchezo
  13. L

    Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    Kama ulichodai ni kweli, basi nchi yetu ni maskini sana.
  14. L

    Hoja kumhusu Makonda: Wabunge wa CCM 'waanza kupangwa', ikilazimu Caucus kufanyika

    Mkuu yote hayo ni kweli, lakini kuna shida gani kuweka vyeti mezan ambavyo uzito wake hauzidi hata gram100? Kwamba issue ya kupambana na madawa ipo, ilikuwepo na itakuwepo na hakuna nayekataa kwa uthubutu alioufanya, anastahili pongezi. Lakini as long kuna allegations, lazima ziwe cleared! Vita...
  15. L

    RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

    Hizo si zinahusiana na Bunge? Hapo siyo yeye yuko kazini, bali ni Bunge!
  16. L

    Bajeti ya serikali 2017/2018 kuwa Trillion 31.6

    Ongezeko la 100bn
  17. L

    Bajeti ya serikali 2017/2018 kuwa Trillion 31.6

    Nasikia maeneo mengi, Halmashauri Bajeti inayoisha ambayo ni hizo 22tn/- hawajapata hata 50%, hii inaashiria malengo ya kibajeti hii inayoishia hayakufikiwa. Na, kama hilo ni kweli inaashiria ilikadiriwa makadirio makubwa kuliko uhalisia,jambo ambalo naona linajirudia tena.
  18. L

    Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

    Kwa imani ya kuwa anaamini 90 kuwa ndani kuna dhahabu je ni kwa asilimia ngapi, je uhakika wake huo ni 10pc, 80pc au 100%? Mimi nadhan alikosea.
  19. L

    Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

    Yaani kama kontena lina tani 10 za huo mchanga, basi maana yake ni kuwa humo ndani ni tani 2560 ambapo 90% ni zaid 2300tani za Dhahabu. Kwa bei ya dhahabu Tsh 90,000,000 kwa kilo basi hizo ni Tsh 2300x90, 000,000x1000 Karibu Trillion 18
Back
Top Bottom