Search results

  1. keydu

    Kwa mahitaji ya kifusi,udongo,Mawe na kokoto

    Kwa mawasiliano zaidi No 0682538233 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. keydu

    Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

    piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama. Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa *monitoring device* kwenye namba yako. Watumie na wengine...
  3. keydu

    KUIONA SERENGETI BOYS GABON BEI POA

    Mashabiki wa soka wanaotaka kwenda Gabon kushuhudia mchezo mmoja wa Serengeti Boys hawana budi kujikamua Dola 1172 za Marekani sawa na zaidi ya Sh 2.6 milioni za Tanzania. serengeti Boys iko Gaboni na Mei 15 itaanza kampeni ya kusaka ubigwa wa mataifa ya Afrika kwa vijana kwa kuwavaa mabigwa...
  4. keydu

    AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

    VIJANA WAMEFIKA TAYARI GABON . -Timu ya Tanzania chini ya miaka kumi na Saba Serengeti boys imefika Tayari Gabon kwa mashindano ya AFCON (U17) Ambayo yataanza Jumapili Ijayo . Tanzania imefikia kwenye kituo chao cha Libreville ambapo zitachezewa mechi za kundi B. Msafara wa watu 30 Umefika na...
  5. keydu

    Serengeti boys future ya Tanzania

    -Tanzania Kwa sasa macho na masikio yote yapo Kwa Serengeti Boys Timu ya Vijana chini ya miaka 17 ambayo mwezi huu itashiriki michuano ya Africa chini ya miaka kumi na Saba (U17) itakayofanyika Gabon kuanzia may 14 Jumapili ya wiki Ijayo. Tanzania iliweka kambi Morroco na Jeshi la watu 30 na...
  6. keydu

    SHAMBA LINAUZWA BOKO MAGEREZA

    Shamba linauzwa Tsh 25M (milioni 25) ekari 1 lipo nyuma ya Gereza la Wazo hill (Machimbo) km 6 toka Barabara kuu ya Bagamoyo (Boko chama) umeme umefika,Halijapimwa bado (halina hati) Ni PM kwa maelezo zaidi pungunzo la bei unaongea
Back
Top Bottom