Search results

  1. G

    Wapenda wa Zouk na miondoko hiyo

    Katika kukua kwangu,ujana na mpaka Sasa Kuna baadhi ya nyimbo hazijawahi kuchuja katika kuzipenda na kuzisikiliza.kwa upande wa bongo fleva napenda mno za zamani kuliko za sasa.kwa upande Zouk Kuna Oliver Ngoma huyu jamaa alizaliwa 1959 na kufa 2010 lakini nyimbo zake zinaishi mpaka leo Kuna...
  2. G

    Nyimbo za Bongo fleva zilizowika kipindi hicho

    Wakuu sisi wakongwe Kuna ladha tunaikosa sasa kwenye sanaa.tukumbushane nyimbo gani zilibamba kipindi hicho.binafsi mpaka sasa nasikiliza wakongwe tu.hizi ni baadhi ya zilizobamba na nilizipenda.kuna jirushe,starehe,njoo,boss za feruz,kamanda barua na nipe gwala za daz nundaz,wife,namba 8 na...
  3. G

    Hii VAR ni muda umefika wa kupigwa stop

    Kwa kifupi inapunguza radha ya soka na haina mvuto, mtu akizidi hata kidole offside au mpira umguse mchezaji hata mbali penati
  4. G

    Wakongwe wa music hamtutendei haki

    Zamani ndio ulikua music kwelikweli hasa bongofleva.ombi toeni ngoma kama zamani.mpo wengi lakini mpaka sasa nasikiliza ngoma za juma nature a.k.a kibla(kiroboto),prof Jay,Juma mchopanga a.k.a Jay Moe,Rashid Makwilo a.k.a Chidi Benzi(huyu mnyama hatari mno pengo lake halizibiki), MB...
  5. G

    Video ya inama ya Daimond na Fally Ipupa ni moja ya video mbaya ingawa wimbo mzuri

    Napenda mziki mzuri na video nzuri.kwa ufupi Hawa jamaa(Diamond na Fally Ipupa)wanajua Sana kuimba na kutoa video kali Sana ila ya inama ni video mbaya Sana labda walikua wanaogopa kufunikana.Quality mbovu mataa mengi,rangi nyingi hujui mchana na usiku ni upi,Fally sio yule tunayemjua wa...
  6. G

    Maneno ya kimichezo

    Wazuu nawasalimu sana.kwa ufupi kuna maneno ya kimichezo ukiyasikia ata kama MTU hapendi mpira lazima afatilie mfano kunyanyua kwapa(kubeba kombe),jicho mwewe(pasi ya uhakika),pass ya sambusa(pass inayokata kona kumfata mlengwa).nawakaribisha sana
  7. G

    Mwarabu, Mhindi, Mzungu, mwanamke mweupe na jamii hizo njoo hapa upate mume wa ukweli

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nina umri wa miaka 28 mwajiriwa, kwa kipindi nimekuwa natafuta mchumba na mke wa kumuoa bila mafanikio. Nimekuja rasmi kwa jukwaa hili kutangaza kwamba hili jimbo ni huru nataka mchumba na mke wa kuoa lakini pia kwa kifupi natamani sana kuoa mwanamke...
  8. G

    Kitendawiliiiii

    Kitendawil! Akishnda anakuwa wa 7 akifungwa anakuwa wa 7 jbu jaman
  9. G

    Kwa wanaofatilia series ya LOST

    Wana jukwaa habari zenu?kwa wafuatiliaji wa hii series nimefika season.ya nne cjaielewa kabisa.ufafanuzii plz maana mara waonyeshe vitu vilivyopita,mara vijavyo
Back
Top Bottom