Search results

  1. L

    Ushauri juu ya kazi ya Ualimu na Uaskari wapi penye unafuu

    Upo sahihi mkuu,lakini kwa asiyejua ni ngumu sana kum-convice akubali huo ukweli. Mfano: Mfano mimi niliamua kuacha kazi ya ualimu baada ya kuifanya kwa muda wa miaka 7, nilipata kazi niliyoona inalipa baada ya kupewa ofa ya Tsh.1.5 milion kwenye makaratasi before makato .......mungu...
  2. L

    Ushauri juu ya kazi ya Ualimu na Uaskari wapi penye unafuu

    Kiongozi nakushauri usiache Ualimu. Kazi yeyote ile ya Uaskari...either Police au Jeshi(JWTZ) sio kazi ndugu yangu. Hao unao waona askari nao wanatamani watoke huku but wanashindwa coz they do not have other options za ajira .....nikiwa na maana hawana elimu ya kutosha (professional) au hata...
  3. L

    Deo Filikunjombe: Tanzania sio mali ya CCM

    JeyKey au kilaza nape au toto la mkulima feki....p.i.n.d.a akipata clip ya maneno ya Deo filikunjombe au ndio watajua sio wote waliomo ndani ya ccmni vilaza.....dogo ameichana CCM ile mbayaaa....Deo magamba wakikuzingua 2015 hamia chadema.....wana Ludewa wana akili sana wapo nyuma yako...
  4. L

    Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

    Mkuu wewe ndio unaharibu hiyo ndoa yako, tatizo ni wewe huthamini mchango wa mkeo.. 1. Ina maana katika hiyo miaka 21 ya ndoa mkeo hana mchango wa familia au wewe unaona mchango ni kuchangia pesa tu? je hu-do nae? je anakuadai pesa ukim-do? 2. Unamuona yeye kama mpira tu au bakuli la kutumia...
  5. L

    JK kuvunja baraza la mawaziri baada ya sherehe za Muungano

    1 + 1 = 11 , hizi ndizo hesabu za magamba!
  6. L

    Natafuta mchumba wa kuishi nae maisha ya ndoa (mke)

    Asante bibie kwa kunipa moyo! nakutakia kila lakheri na kazi njema!
  7. L

    Natafuta mchumba wa kuishi nae maisha ya ndoa (mke)

    Wapendwa akina dada wa Jf na wana MMU ( LOVE Connect), poleni na pilika za hapa na pale. Mimi najitokeza hapa kwa lengo la kutafuta mchumba (binti ambaye yupo very serious) mwenye nia thabiti kama yangu - kutaka kuishi maisha ya ndoa. A: SIFA ZANGU. 1. Nina miaka 33, Elimu yangu ni ya chuo...
  8. L

    Mwisho wa mwezi. kaaazi kweli kweli

    Dah hawa watoto balaaaa , hapo kabla ya game kwanza konyagi nusu mzinga huku yeye anapiga amarula, sasa kitakachofuata hapo msiniulize maana mhmhhm kweli mungu aitwe mungu coz anajua kuumba totoz duuuh
  9. L

    Nimesamehe ila nashindwa kusahau

    Wewe vumilia bana, tatizo la MwanajamiiOne yeye ali-tendwa pakubwa sana ndio maana mpaka leo hii hawezi kusahau hiyo kitu iliyomtokea! Yaani ni kama huyo jamaa yake alimpotezea dira ya maisha hivi! thus why bado analo tu ndani ya moyo wake! We hiyo ipotezeee tu dada yangu
  10. L

    Nimesamehe ila nashindwa kusahau

    Kazana kusali na umuombe mungu huyo mume wako asichepuke tena pembeni. Pia nawe uwe makini yaani mume wakoa akuambie anaenda safari siku 2 bila kuhoji hiyo safari inahusu mambo gani? mijini shule bana! Muuilize Asprin akupe shule
  11. L

    Madame Rita, Irene Iranga and Seven in pictures

    Mchungaji hapo sio eti huenda amepiga mileage mingi ! hilo ni jawabu tosha mkuu, coz hata watu wamehonga capital za kutosha hapo! usijaribu wala kuwazia , hapo geji inasoma balaa!
  12. L

    Yamenikuta, maji yapo shingoni, naomba ushauri wapendwa plse!

    WAKUU WANA JF, Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru watu wote waliopitia thread yangu na kunichangia maoni yao/ ushauri kadiri ya nilivyo-present tatizo langu. Ushauri mwingi umetolewa na nyie ma-great thinkers, I real appreciate it, sina neno zuri la kusema kwenu zaidi ya ASANTE...
  13. L

    Yamenikuta, maji yapo shingoni, naomba ushauri wapendwa plse!

    Alikuwa na mahusiano mazuri tu na wala hakuwa na shida. Ndio maana niliona mke mwema na ndugu wanampenda but now mambo yamekuwa tofauti sana. Sasa sijui kwa sababu ya ndoa au kosa nililofanya la kumsomesha hadi amepata kazi na sasa labda ndio inayompa kiburi! maana simuelewi kabisaaaaa
  14. L

    Yamenikuta, maji yapo shingoni, naomba ushauri wapendwa plse!

    Ni hivi Dada Lizzy, Hayo hayakuwepo hapo mwanzo, imagine hata mtoto wangu aliishi nami pamoja na yeye na kuanza shule hapa mjini hadi darasa la 3 lkn mwaka huu mie narudi field ananiambia mtoto nimempeleka kijijini coz jeuri nataka akajifunze tabia huko rural. Nina mdogo wangu wa mwisho...
  15. L

    Yamenikuta, maji yapo shingoni, naomba ushauri wapendwa plse!

    Asante sana kwa ushauri wako mkuu, ki-ukweli nateseka sana!
  16. L

    Yamenikuta, maji yapo shingoni, naomba ushauri wapendwa plse!

    Wapendwa wana JF, mie ni mgeni na hii ni post yangu ya kwanza. Naomba msaada wenu wa mawazo ili ni-epuke hii adha ninayoipata. Ni hivi wapendwa: Nilikuwa na girl friend wangu toka 2007 but tuliishi wote kwa makubaliano bila kufunga ndoa hadi mwaka jana mwezi wa 8, ndipo nikaona ni vema sasa...
Back
Top Bottom