Search results

  1. MESSI

    Tatizo la acid reflux na tezi kuvimba

    Naomba kuuliza kama kuna uhusiano wowote kati ya acid reflux na matezi kuvimba chini ya mataya (submandibular lymph nodes)? Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la acid reflux kwa kipindi cha miezi 5 na nimekuwa nikitumia dawa(antiacids &antihistamines) na shida imepungua.. Ila kipindi chote hicho...
  2. MESSI

    Ni ushamba au ujinga? Naombeni kujua

    Huyo mwanaume gani anakua na tabia za kike namna hiyo..achana nae..fanya mambo yako mkuu
  3. MESSI

    Mafuta ya taa kwenye msosi shule za bweni, ni kweli yanapunguza nyege?

    habari zenu wana MMU.. Nadhani kwa mtu yeyote aliyesoma boarding schools au hata kama hukusoma basi utakuwa umesikia hili swala la kuwekewa mafuta ya taa kwenye chakula ili kupunguza ny*ge(mihemuko ya kimapenzi) kwa wanafunzi!! Je kuna ukweli wowote kwamba yanasaidia?..maana mi nakumbuka...
  4. MESSI

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya kukojoa kitandani kwa mwanaume anapokuwa mtoto mdogo na kuwahi kufika kileleni(kupizi) wakati wa tendo la ndoa anapokuwa mtu mzima? Je, nini suluhisho la matatizo haya?
  5. MESSI

    Naombeni ufafanuzi

    dada angu nadhani utakuwa mjamzito..birth control kwa njia ya kalenda haiko effective sana na sio relliable, maana ovulation period zinapishana sana kutoka kwa mtu mmoja na mwngn(ke)..cha mhm nenda hospital kapime tu mimba ili uweze kuwa na uhakika zaidi.
  6. MESSI

    Msaada please!!

    HABARI ZA JPILI WAKUU, ETI IS IT POSSIBLE KWA MWANAMKE MWENYE MZUNGUKO WA HEDHI WA SIKU 28/29 KUPATA MIMBA IWAPO ATAFANYA MAPENZI SIKU YA 23? naombeni msaada wenu wa kitaalamu na wa kimawazo pia ktk hilo..maana mpnz wangu haoni siku zake leo siku ya pili sasa amekuwa na wasiwasi sana..hali hii...
  7. MESSI

    msaada khs condoms..n mimba

    <br /> <br /> nashukuru sana kwa mchango mkuu..me nlitumia salama bt i gues somethng went wrong..
  8. MESSI

    msaada khs condoms..n mimba

    <br /> <br /> lakini alikuwa siku yake ya 23 is it possible..
  9. MESSI

    msaada khs condoms..n mimba

    mkuu kitu ilipasuka bt nliwahi kuitoa so hazikumwagika ndani nyingi..huyu wangu ni wa siku 28..hapo je?
  10. MESSI

    msaada khs condoms..n mimba

    haahaha mkuu ss marbolo si itakuwa balaa iyo friction
  11. MESSI

    msaada khs condoms..n mimba

    swali la kwanza:nini hasa kinachochangia kupasuka kwa condoms wakati wa tendo la ndoa?? swali la pili:by any chance mwanamke anaweza kupata mimba akiwa ktk siku ya 22 au 23 ktk mzunguko wake??
  12. MESSI

    Unawezaje Kupost pumba MMU?

    me naona mtu hana haki ya kusema post ya mwenzake ni pumba..kila mtu ana mtazamo wake ktk mambo tofauti..wengine hzo unazoita pumba znatuentertain pale tunapokuwa na stress zetu!!..kila mtu akiwa serious humu jukwaa litaboa banaa..
  13. MESSI

    hasira+wivu...

    nashukuru kwa mchango wako its vry helpful
  14. MESSI

    hasira+wivu...

    huu ni ukweli kabisa..lkn wivu nao ukizidi sana inakuwa karaha.
  15. MESSI

    hasira+wivu...

    haha mkuu umenichekesha..nashukuru kwa mchango wako
  16. MESSI

    hasira+wivu...

    habari zenu wana-jamvi! Eti unawezaje kumshauri mtu jinsi kupunguza hasira(i mean kukasirika haraka au hasira kali) na kuwa na wivu kupindukia hasa ktk mapenzi??..nawasilisha.
  17. MESSI

    tutamsaidiaje kijana huyu??

    jambo gani??
  18. MESSI

    tutamsaidiaje kijana huyu??

    nitafata ushauri wako mkuu..
Back
Top Bottom