Search results

  1. tinkanyarwele

    Rais Samia, kama ulivyofanya kwenye vyumba vya madarasa, fanya kwenye Umeme Vijijini

    Kwako Mh Rais Samia Suluhu Hassan, Slaam Mh Rais, NAKUSALIMIA KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Binafsi nikupongeze kwa kazi kubwa sana na ya kipekee sana ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo kwa ajili ya Tanzania na watanzania, Mh Rais binafsi nikupongeze pia kwa kazi nzuri ya...
  2. tinkanyarwele

    Watumishi wa Umma mliopata uhamisho Mei, Juni na Julai 2021 mmepokea barua zenu za uhamisho?

    Kwa wale Watumishi wa Umma ambao wamebahatika kupata uhamisho unaotolewa na Tamisemi kati ya mwezi May hadi July 2021, vip kuna ambao wamepata vibali au barua za kuruhusiwa kwenda waliko hamia? Mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze. Hii ni kwa sababu hali hii haijazoeleka kwa miaka ya nyuma...
  3. tinkanyarwele

    Rais Samia Suluhu ukiongeza mshahara na Madaraja Mei Mosi 2021 watumishi wataandika jina lako kwa Mhuri wa moto kwenye mioyo yao

    Mh SSH ifikapo Tarehe mosi May 2021 watumishi woote wa umma wanatamani kusikia mambo mawili tuu yaani Kuongeza mishahara pamoja na kuwapandisha Madaraja. Hii ni kutokana na ukweli kwamba ni miaka karibia tano/ sita watumishi wamepuuzwa na serikali iliyokuwa ya Mh Hayati Magufuli japo maisha...
  4. tinkanyarwele

    Rais Magufuli akifanikiwa suala la Umeme vijijini tutamkumbuka daima

    Mh Rais wa JMT umejitahidi kufanya mengi nakupongeza sana. Ila mimi kama mdau wa Umeme na Elimu naomba uzingatie hili suala la kusambaza umeme vijijini. Mh Rais wanavijiji na vitongoji wengi Tanzania wanahitaji umeme sana. Mkuu ukiweza kila kaya ya Mtanzania kumfikishia umeme hakika utakuwa...
  5. tinkanyarwele

    Rais Magufuli tunusuru bei ya saruji na vifaa vya ujenzi huku Missenyi Kagera

    Mh, rais wa JMT tunakuomba uingilie kati bei ya Saruji au cement kama ilivyo zoeleka pamoja na vifaa vingine vya ujenzi. Mh Rais huku Missenyi Mkoani Kagera bei ya vifaa vya ujenzi iko juu sana kiasi cha kutisha nikilinganisha na baadhi ya maeneo hapa nchini, mfuko wa kg 50 wa saruji ya ujenzi...
  6. tinkanyarwele

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata kibali cha kufanya biashara ya mazao ya msituni yaani MBAO na MKAA

    Salaam wana JF kama mnavyojua kuwa sasa hivi serikali iko macho sana, naomba kujuzwa hatua zote za kufuata ili niweze kupata kibali cha kufanya biashara ya mazao ya msituni yaani MBAO na MKAA. NITASHUKURU.
  7. tinkanyarwele

    Kwa Walimu Wote, Bara na Visiwani.

    Salaam, Leo imesikika kuwa hakimu amemhukumu kunyongwa hadi kufa Mwl, aliyetoa adhabu hadi kupelekea mauti ya mwanafunzi wake. Naamini kila mzazi au mlezi au mwalimu hakupendezwa na kifo cha mtoto baada ya kuadhibiwa na mwalimu, lakini naamini kwa mwalimu yeyote aliyesikia Hukumu hii lazima...
  8. tinkanyarwele

    Kwa Walimu Wote, Bara na Visiwani

    Salaam, Leo imesikika kuwa hakimu amemhukumu kunyongwa hadi kufa Mwl, aliyetoa adhabu hadi kupelekea mauti ya mwanafunzi wake. Naamini kila mzazi au mlezi au mwalimu hakupendezwa na kifo cha mtoto baada ya kuadhibiwa na mwalimu, lakini naamini kwa mwalimu yeyote aliyesikia Hukumu hii lazima...
  9. tinkanyarwele

    Kwa anayefahamu Missenyi

    Salaam wapendwa, Leo nimefungua TV (TBC) nikakuta kuna kipindi cha Tanzania ya viwanda wakiwa wilayani Missenyi, nimekuta wako kwenye kiwanda cha kutengeneza Gypsum Missenyi, kwakuwa nimekuta kipindi kinaendelea sikujua hiki kiwanda kiko Missenyi sehemu gani. Hivyo kwa yeyote anayejua kilipo...
  10. tinkanyarwele

    Mkurugenzi (A.Rioba) TBC nilikushangaa..

    Jana kuna wanajeshi kutoka Nigeria walitembela TBC..(nimefupisha).)nilimshangaa mkurugenzi (A. Rioba) aliposema kuwa Watanzania wana utamaduni wa kubeza kila kitu, akataja taja vitu vinavyobezwa na Wa TZ, lengo la kauli zake ilikuwa ni kuutarifu umma kuwa wa nje (wa nigeria) wanathamini vyetu...
  11. tinkanyarwele

    Azam, Local Channels zaondolewa ghafla au?

    Jamani huko walioko jiji na kwingineko, kulikoni maana ghafla channel za ndani isipokuwa zbc, zbc2 na tbc zingine zote zimeondolewa ghafla jamani kulikoni, anayejua atusaidie kutujuza
  12. tinkanyarwele

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kutoka Private school kwenda Government school

    Salaam, naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili, nina mtoto yuko shule binafsi , amerudia mara mbili nikamuhamishia shule nyingine lakini nako yuko hali mbaya kwani yuko kidato cha pili ila nimeambiwa watamrudisha nyuma tena maana uwezo wake ni mdogo sana, kutokana na hali hii na ugumu wa pesa...
  13. tinkanyarwele

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kutoka Private school kwenda Government school

    Salaam, naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili, nina mtoto yuko shule binafsi , amerudia mara mbili nikamuhamishia shule nyingine lakini nako yuko hali mbaya kwani yuko kidato cha pili ila nimeambiwa watamrudisha nyuma tena maana uwezo wake ni mdogo sana, kutokana na hali hii na ugumu wa pesa...
  14. tinkanyarwele

    Naomba kuelimishwa juu ya dhana kamili ya ndoa

    Samahani wana JF nimejaribu kufuatilia sana juu ya dhana halisi juu ya ndoa, ninachokishuhudia kwenye jamii ni tofauti na kile ninachokiamini, binafsi huwa naamini kuwa ke +me mkikubaliana kuishi pamoja kama mke na mme bila kuvunja miiko ya jami husika(mfano mnapaswa kuzingatia umri, ukoo...
  15. tinkanyarwele

    Nahitaji mawasiliano ya moja kwa moja na rais wa tff nos, Jamali Malinzi

    Salaam wanajamvi, nina haja sana na mawasiliano na ndugu Jamali Malinzi. Nikiipata nitashukuru sana, ikishindikana hata e mail itanifaa. Si kwania mbaya wapendwa mwenye kunisaidia nitashukuru.
  16. tinkanyarwele

    Naomba mwenye namba au mawasiliano ya moja kwa moja na Malinzi wa TFF anisaidie

    Salaam wapendwa naomba mwenye namba ya sim au mawasiliano ya moja kwa moja na Rais wa TFF Malinzi anisaidie
  17. tinkanyarwele

    Mh Rais Magufuli wamulike wawakilishi wako huko Misenyi

    Sijui shetani alizaliwa mwaka gani lakini tungeujua huo mwaka basi ungefutwa kwenye kalenda, kwa miaka ya nyuma lilikuwepo jimbo la Nkenge (Misenyi) liliwakilishwa na huyu bwana Deodorus Kamala, katika umri wangu chini ya ubunge wake sikuwahi kuona chochote alichokifanya, tofauti na kutoa ahadi...
  18. tinkanyarwele

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Wana jamvi, Kuna kampuni inajulikana kama D9(DNINE). Kampuni hii inajihusisha na kuuza tiketi za michezo na masuala ya kubeti. Kampuni hii mtu anawekeza pesa kiasi fulani alafu baada ya kila juma moja wanaanza kurejesha fedha yako na shughuli zote zinafanyia ONLINE. Sasa Naomba nisaidiwe kwa...
  19. tinkanyarwele

    Maisha kama njia nyie wakubwa sikiliza

    Enyi wataule wa Rais, jitahidi sana mkumbuke kuwa maisha ni njia sote tunapita, mmejivika Uungu Utu, mmesahau kuwa yote mapito, walioko chini yenu mmewageuza madekio kisa muonekane mnafanya vyema mbele ya Rais, ipo siku hamtakuwa tena wakubwa, msisahau nyuma yenu kuna vizazi vyenu na...
Back
Top Bottom