Hata kama ni mgao lakini nadhani hii sasa imezidi.
Sijui kama hili shirika linajua kwamba unaounguza uzalishaji na kupunguza ukuaji wa biashara nchini kwa huu mgao.
Hivi Tanesco wameshindwa kukaa chini na kuwaza ni namna gani hata huu mgao wa umeme utakuwa na manufaa kidogo miongoni mwa...
Mwaka wa 2020 unaenda tena kuwa mwaka mwingine wa kihistoria kwa nchi yetu. Ni mwaka ambao tunasubiri maamuzi ya Watanzania ambapo kilele chake itakuwa tar 28 October 2020.
Tunaona chama tawala na vyama vya upinzani vikijinadi kwa mengi majukwaani mbele ya waamuzi wao ambao ni wananchi. Kila...
Kwa miaka ya hivi karibuni, eneo la bonde la Ngorongoro limekuwa likikumbwa na migogoro ya aina mbalimbali hasa ya migongano ya maslahi. Maslahi haya ni kati ya wenyeji waishio katika eneo hili na hifadhi ikiongozwa na Mamlaka ya hifadhi ya eneo hili. Kumekuwa na uibukaji wa sheria mbalimbali za...
Wakuu nawasalimu.
Kwa nyakati mbalimbali kumekuwa na mijadala mingi sana juu ya hatima ya Wamasai waishio Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA). Mijadala hii mbali na kuijulisha dunia kwamba watu hao wanapata shida, lakini pia imekuwa ikiipa serikali yetu wakati mgumu wa namna gani ya...
Nawasalimu wote wana JF,
Wakati naayaandika haya, wakazi wa Ngorongoro wanajiandaa kwa Sensa ya watu na mifugo inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Ikumbukwe kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliiagiza mamlaka hiyo kufanya zoezi la sensa alipoitembelea mnamo December 6 mwaka 2016...
Habari wakuu. Bila shaka kama siyo kuwa mgeni basi nipo nyuma kwa suala la chrome based computers. Hizi computers nimezikuta sana kwenye company nilioajriwa. Sikuwahi kuziona madukani zikiwa kwenye soko
Kwa yoyote mwenye kujua hasa maduka yanayouza hizi chromes anijuze. Zipo za samsung, dell...
Affirmative action for Gender Equality Network(AGEN) for both Tanzania and USA is a Not for Profit Organisation which engages in empowering grassroots men and women globally.
We invite everyone who is interested to apply for volunteering and internship programs. Open the following link and...
SIKILIZA HII..Baba: Halloo mke wangu.. yaani ni shida sitaweza kurudi nyumban, daraja limevunjika na kutoka morogoro kurudi dar haiwezekaniMAMA: Mme wangu morogoro ulienda bila kuniaga! ?BABA: Ilikuwa ni ghafla sana mke wangu sikuweza kukwambiaMAMA: kha! Sasa watoto nani atawaangaliaBABA...
Ni matumaini yangu kuwa nyote mnaendelea kupumua.Kuna dhana imejengeka sana miongoni mwa jamii zetu nyingi.
Dhana yenyewe ni kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana katika nyanja mbalimbali za maisha.
Kutokana na huu mtazamo, wengi wanaamini kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufanya maamuzi ya...
Nchi yetu ni ya kidemokrasia kwa maana ya kwamba inaruhusu mfumo wa vyama vingi. Kuwepo kwa vyama vingi maana yake ni kumuwezesha kila mtu kuchagua chama akipendacho kulingana na jinsi atakavopenda sera za chama husika.Lakini nashangaa kuna watu wengne eti kukuona wewe unashabikia chama fulani...
Wakuu sina shaka wote wazima.
Ni juzi tu nimetoka kununua min laptot aina ya samsung hapa mlimani city. Nimeitumia kwa siku moja na kesho yake nilipoiwasha inanipa msg, boot mgr is compressed. Press ctrl+del+alt to restart it. Nikifanya hivyo hakuna lolote. Ingawa nimewarudishia wakarekebishe...
Sina shaka kwamaba kila mmoja wenu ni mzima wa afya.
Wakuu mimi nauliza kwamba hii course ya bachelor of commerce in tourism ambayo ni mpya pale UDSM, ambako ndipo nilipopangwa, mnaionaje??
Nimepangiwa UDSM na course ndo hiyo hapo juu. Naombeni mawazo yenu katika hili.
Asanteni na nawasilisha.
MCHUNGAJI Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwasapila, amewatoa hofu wagonjwa wa Ukimwi ambao wamepata tiba yake na baada ya kupimwa wameendelee kukutwa na virusi vya ugonjwa huo.
Akizungumza kabla ya kuanza kutoa tiba jana nyumbani kwake Samunge...
KATIBU kata wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wilaya ya Iringa Vijijini, Patrick Ngara (40), mkazi wa kijiji cha Ilandutwa, ameuawa kinyama kwa kucharangwa mapanga akiwa nje ya nyumba yake usiku wa kuamkia jana.
Mauwaji hayo ya kinyama kwa kiongozi huyo wa CCM kata ya Mgama yamekuja siku moja...
KWA kawaida jamii ya wamasai ni wafugaji. Kutokana na asili yao hiyo ya ufugaji, sehemu kubwa ya maisha yao imetawaliwa na tabia ya kuhamahama toka eneo moja kwenda jingine ili kutafuta malisho kwa mifugo yao.
Kutokana na mabadiliko ya kiuchumi duniani pamoja na mabadiliko ya tabia nchi ambapo...
ZAIDI ya wagonjwa na ndugu 3,000 watalazimika kusherehekea Mateso, Kufa na Kufufuka kwa Yesu Kristo (PASAKA) na Mchungaji Ambilikile Masapila, wakisubiri
kupata kikombe atakapoanza huduma Jumanne ijayo.
Wananchi hao wamefikia hatua ya kukaa katika Kijiji cha Samunge Wilayani Ngorongoro(kwetu)...
HIVI karibuni Chama Cha Mapinduzi kimefanya mabadiliko ya uongozi katika sekretarieti na kamati kuu kwa kile kilichoitwa kujivua gamba.
Tafsiri hii ya kujivua gamba ilianza kutolewa na Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akihutubia katika kilele cha sherehe za miaka 34 ya CCM mnamo...
Pluto was reclassified as a "dwarf planet" because it does not dominate the neighborhood around its orbit. Pluto's "moon," Charon is about half its size. True planets are much larger than their moons.
Now anyone to make a good clarification to me why pluto is not considered as a planet.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.