Search results

  1. Monasha

    Ifike mahali huu mgao wa umeme angalau uzingatie kuleta Tija

    Hata kama ni mgao lakini nadhani hii sasa imezidi. Sijui kama hili shirika linajua kwamba unaounguza uzalishaji na kupunguza ukuaji wa biashara nchini kwa huu mgao. Hivi Tanesco wameshindwa kukaa chini na kuwaza ni namna gani hata huu mgao wa umeme utakuwa na manufaa kidogo miongoni mwa...
  2. Monasha

    Nini kitatokea baada ya Magufuli kustaafu Urais?

    Haya yote yametimia.
  3. Monasha

    Waziri Ndumbaro: Wamasai waishio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa Ngorongoro

    Inashangaza sana kuona ama kusikia Kiongozi mkubwa vile serikalini anatoa lugha ya kibaguzi namna hiyo. Kiongozi wa wizara nyeti kama ile anajitokeza hadharani na kusema hawa wana asili ya nchi fulani. Kidogo imenistua maana sasa suala la Ngorongoro ni kama kutunishiana misuli sasa. Wananchi...
  4. Monasha

    Presidential Delivery Unit - Kitengo kipya chini ya Rais - chatengewa Bilioni 29!

    Je, hichi kitengo Mama anataka kukifufua?
  5. Monasha

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Ya Galaxy S6 Edge ipo? Android 7.
  6. Monasha

    BAKWATA Mkoani Mtwara yatangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM ili awe Rais kwa awamu nyingine

    BAKWATA - BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA BAKWATA - BARAZA KUU LA WAKRISTO TANZANIA Mnaongelea ipi hapa?
  7. Monasha

    Wapinzani wajitathimini kwa chaguzi zijazo kama wana nia ya kushika dola

    Uonevu kama huo wa kuwazua wapinzani sawa ni changamoto sana. Lakini bado nashauri wapinzani kujijenga sana. Haya ya kuonewa mara mara mtu anazuiliwa kugombea naamini yataisha tu. Kwa sasa nguvu ya wananchi ndo ngao kubwa na isipokusanywa itazidi kuwa rahisi kuonewa tuu.
  8. Monasha

    Wapinzani wajitathimini kwa chaguzi zijazo kama wana nia ya kushika dola

    Mwaka wa 2020 unaenda tena kuwa mwaka mwingine wa kihistoria kwa nchi yetu. Ni mwaka ambao tunasubiri maamuzi ya Watanzania ambapo kilele chake itakuwa tar 28 October 2020. Tunaona chama tawala na vyama vya upinzani vikijinadi kwa mengi majukwaani mbele ya waamuzi wao ambao ni wananchi. Kila...
  9. Monasha

    Mungu akimpenda mja wake humpa mitihani

    Ikisumbua sana apigwe operarion. Msimchoshe sana mama operation ingemsaidia. Pole sana mkuu.
  10. Monasha

    Rais Magufuli tunaomba uingilie kati hapa

    Hahaha labda umeona hoteli za kitalii mkuu
  11. Monasha

    Rais Magufuli tunaomba uingilie kati hapa

    So nyumba ya full bati ndo nyumba ya kisasa mkuu?
  12. Monasha

    Rais Magufuli tunaomba uingilie kati hapa

    Hapana. Muarabu yupo Loliondo.
  13. Monasha

    Rais Magufuli tunaomba uingilie kati hapa

    Ndungu unaposema mbali, mfano maeneo gani hasa. Na nyumba za kisasa unazozisema ni zipi maana sisi pale hatuna ruhusa ya kujenga nyumba za kisasa?
  14. Monasha

    Rais Magufuli tunaomba uingilie kati hapa

    Kwa miaka ya hivi karibuni, eneo la bonde la Ngorongoro limekuwa likikumbwa na migogoro ya aina mbalimbali hasa ya migongano ya maslahi. Maslahi haya ni kati ya wenyeji waishio katika eneo hili na hifadhi ikiongozwa na Mamlaka ya hifadhi ya eneo hili. Kumekuwa na uibukaji wa sheria mbalimbali za...
  15. Monasha

    ZOLA || Offgrid electric Tanzania LTD na Uonevu kwa wafanyakazi

    Unaposema kwa kuwa target watu fulani, una ushahidi kwamba lengo lilikuwa hilo? Je ungebakizwa haya ungekuja kusema hapa? Mwisho wa siku Kampuni siyo ya baba yako na wana haki ya kufanya mabadiliko pale ambapo wanaona inabidi. Kama imefanyika vibaya na watu wameonewa basi watatafuta msaada wa...
  16. Monasha

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    The guy is simply amazing. Hivi waliomnyima tuzo ya mchezaji bora sasahivi wanajisikiaje? Sent from my SM-G925F using Tapatalk
  17. Monasha

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Uzi wa 2019 hiyo. Wakuu mnaionaje. Binafsi siipendi hata.
  18. Monasha

    Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

    Unatubu kwa lipi? Sifa ya mwanamke kwanza awe na papuchi. Inamaana huyo hakuwa na hicho cha msingi? Tatizo mnaweka expectations nyingi. Siyo ajabu na yeye amejutia kukutana na wewe.
Back
Top Bottom