Search results

  1. FirstClass

    Je, ni sahihi Kwa makampuni ya kichina kunifanyia haya?

    Hivi napataje connection za kazi za wachina upande wa ragi&skimin
  2. FirstClass

    Looking for a Husband

    Najaribu kukutumia PM lakini inaniwia vigumu.. nahisi Kuna shida, km hautojali nitext sababu kwangu inashindikana
  3. FirstClass

    Nafasi ya kazi ya kuuza liquor store

    Nipe dili ya kukuletea mali hadi mlangono kwa bei ya jumla
  4. FirstClass

    Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

    Ujasiri wa kumkejeli mtu aliye sreouz mnautoaga wapi aisee
  5. FirstClass

    Tenda za miche ya miti

    Hii miche kwa kasulu ni mingi sana.. sijaiona kwa dar
  6. FirstClass

    Aliyeelewa mistari ya Dizasta Vina kwenye Underrated remix ya Stamina atupe somo

    Wimbo mbovu.. nilitegemea ngoma ingekuwa ndefu kidogo lakini kwa dak4 wamevurunda.. Haiwezekana ngoma yenye rappers zaid ya5 halafu wakatumia dak4 kwa wimbo wenye chorus ndani yake.. Utani wa stamina na mistari yake ya kuunga unga
  7. FirstClass

    Ninashida ya kujifunza skimming na rangi

    Mimi ni fundi wa rangi na skimming.. ninaweza kuskim kwa ktumia materials ya aina yeyote ila toka nifike dar sijapata kazi.. ukiweza kupata kazi huko ulipo nicheki tutaelekezana na utakuwa m noma
  8. FirstClass

    Nafasi za Kazi Gardaworld Security Tanzania

    Hivi inawezekana nikaomba kazi lakini nikaomba kituo nje ya nchi?
  9. FirstClass

    My take:JF Love connect

    Hilo ni tatizo linalosababishwa na stress, mtu mwenye stress anaweza kukutukana bila sababu za msingi.. Wengine wanapenda challenge ili kukufanya uwe imara zaidi.. Lakini wengine wanapenda lakini hawana kigezo hata kimoja i.e wanafamilia, wameoa nk hivyo njia iliyobaki ni kukuvuruga ili ukate...
  10. FirstClass

    Unamshauri nini Harmonize baada ya kuyumba kidogo kwenye muziki?

    Sijalewaaaa... Sijalewaaaa... Mi nafanya kusudi......
  11. FirstClass

    Nauza crets za bia na soda

    Kumbuka hizo cret50 ni kampun moja pekee, kwa hiyo itakulazimu ununue cret 50 kwa kila kampun.. sio watu wote wako na power hii mkuu..
  12. FirstClass

    Nauza crets za bia na soda

    Ndio bei yake mkuu
  13. FirstClass

    Nauza crets za bia na soda

    Kampun hiuzi cret kwa rejareja mkuu..
  14. FirstClass

    Nauza crets za bia na soda

    Hahaha.. Kufirisika ni kubaya sana. Ila kwa hapa ni biashara rasmi ya crets mkuu.. Tunauza crets pekee yani
  15. FirstClass

    Nauza crets za bia na soda

    Zimebak 20 kwa jumla. Tuambie idadi unayohitaji ili tujue namna ya kuzifidia. Au piga simu kwa maelezo zaidi
  16. FirstClass

    Nauza crets za bia na soda

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napatikana Mbezi Beach Jogoo.. Gharama ya kila cret ni Sh 15000. Napatikana kwa namba 0764813772.. Karibuni
  17. FirstClass

    Fundi wa Skimming/Rangi anatafuta kazi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, fundi mbobezi wa hizi kazi nipo Daresalama na ninahitaji kazi. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya na kusimamia kazi za serikali, hivyo ubora wa kazi yako ni kipaumbele cha kwanza. Karibuni sana..
Back
Top Bottom