Search results

  1. K

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu wimbo nautafuta sana. Nimeweka kipande kidogo ambacho nilikipata youtube. Mwenye bao full aniwekee
  2. K

    Mwenye huu wimbo full wa RC aniwekee tafadhali

    Nimeutafuta sana youtube haupatikani. Nimepata kipande tu
  3. K

    Msaada kuhusu dawa za Wakorea

    Leo nimekwenda hospitali ya mkoa, wamesema prostate ni kubwa kama 50. Kuna dawa wamenipa, tamsulosin ambayo ni ya kutuliza tu ila wameniambia niende Muhimbili kitengo cha mkojo kwa uchunguzi zaidi
  4. K

    Msaada kuhusu dawa za Wakorea

    Bado kiongozi. Waliniambia wanichome sindano za magoti kila wiki 2 kwa wiki 5. Walisema ni baridi yabisi. Ndo wakaniambia pia nina tezi dume nilipie 150,000 Ndo nauliza kama dawa zao zinatambulika
  5. K

    Msaada kuhusu dawa za Wakorea

    Nilienda kutibiwa miguu kuuma, magoti, mkojo kuuma wakati wa kukojoa, na mkojo kutokuisha wote. Yaani nikikojoa kabla sijarudi kukaa, nasikia tena hasa nikiwa nimetoka kuoga
  6. K

    Msaada kuhusu dawa za Wakorea

    Heshima wakuu, naomba kupata uzoefu kuhusu matibabu ya wakorea hapa nchini. Nilikwenda kutibiwa nikaambiwa nina tezi dume (of course dalili wanazozisema zote ninazo). Wakasema nianze matibabu ya mwezi 1 kwa shs 150,000. Naomba mwenye uzoefu anifahamishe maana sijawahi kutumia dawa zao: 1. Je...
  7. K

    Natafuta mmama/Binti wa kunichua

    Mimi ndo nimesema nahitaji kuchua. Wewe kama unataka ngono anzisha uźi wako utawapata
  8. K

    Natafuta mmama/Binti wa kunichua

    Mawazo yako ya kichina china
  9. K

    Natafuta mmama/Binti wa kunichua

    Haina shida. Hata ukitaka nije nyumbani sawa tu
  10. K

    Natafuta mmama/Binti wa kunichua

    Jamani, hivi kuna watu mnawaza ngono tu daily. Ninyi ndo wale ukiona choo tu unataka kujisaidia. Hivi dunia ya leo utakosa msichana wa chapu chapu hadi ulete uzi JF?
  11. K

    Natafuta mmama/Binti wa kunichua

    Nahitaji kuchua mkuu. Siyo ngono
  12. K

    Natafuta mmama/Binti wa kunichua

    Ningekuwa nataka demu ningesema. Namwogopq nani humu?
  13. K

    Natafuta mmama/Binti wa kunichua

    Nimeandikiwa na daktari dawa fulani ya kuchua mgongoni. Napata shida jinsi ya kupaka dawa hiyo hivyo nahitaji mtu wa part time kwa ajili ya kunichua TU asubuhi na jioni Posho: 10,000 kwa siku Usafiri juu yangu Ukitaka nije kwako pia naweza Njoo PM Niko Dodoma
  14. K

    Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Unaweza kwenda Tabora nikuelekeze? Kuna Jamaa yangu Mdogo wake alipona huko. Kama unaweza, sema nimuulizie jamaa
  15. K

    Ndege ya abiria kubwa na ndefu kuliko zote duniani yaanza safari zake

    Tens of thousands of excited spectators have gathered in Perth to witness the world's largest plane touching down for the first time in AustraliaThe Antonov An-225 Mriya, which weighs up to a whopping 600 tonnes, landed shortly before 12:00pm local time on Sunday. Crowds gathered at the Perth...
Back
Top Bottom