Search results

  1. C

    Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?

    Naomba nikumbushwe kidogo hapa, hivi wale wanao pigwa mawe mpaka kufa kule uarabuni kwa tuhuma za ugoni huwa wanavuliwa kwanza hizo hijabu?na mahakama ya kadhi imeisha anza hapa Bongo?
  2. C

    Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?

    Kwani Fatuma au Fatima ni jina la Kiislamu au la Kiarabu? inamaana waarabu wote ni waislamu? Mbona kuna waislamu waingereza wanaitwa John,Davis au Joseph na kama kumkamata huyo mama kumedhalilisha uislamu alikamatwa akihubiri Msikitini? acheni sheria ichukue mkondo wake msiingize mambo ya udini.
  3. C

    Ajali ya Meli: Clouds FM na msaada wa maboya

    Bahati mbaya sana kuna watu wanawaamini sana hao viumbe, wakisikia hivyo watachanga tu.
  4. C

    Picha itakayomsuta JK na wabunge wake mamilionea.....

    Tatizo sisi tunalalamika sana,Hebu basi kichwa ngumu mmoja alianzishe sisi tupo tutafuata nyayo.
  5. C

    Nikaishi wapi Dar hii, nikimbie hizi foleni?

    Hivi nitakuwa na akili sawa sawa,ninunue mafuta TShs 12,000/= wakati jirani yangu ana taxi au dala dala ambalo anaweza akanunua yeye alafu akanifaulishia? Jaribu kubuni upya.
  6. C

    Matusi Redioni

    Ametoa maoni ,ametukana?
  7. C

    Mishahara Clouds Radio na Tv

    Hakuna mwenye ajira pale,mtaji wao ni mike hivyo kila mtu anakula kwa jasho lake ukiwa mjanja wa kutafuta mdhamini wa kipindi ndiyo unapewa % yako other wise utakula jeuri yako waulize wasanii wanavyo daiwa fedha ili warushwe hewani ndiyo utajua jamaa nuksi.Na wengine wanawalazi misha wasanii...
  8. C

    Loliondo itaangamiza watanzania

    Evidence ya huyo mama mwenye nyumba tafadhali!
  9. C

    wadau wa filamu bongo fungueni macho nje ya mipaka

    Zaidi ya hayo Filamu zenyewe zimetungwa na kuandikwa ndani ya wiki moja! Actor mmoja anauwezo wa kutoa filamu mpaka tatu kwa mwezi halafu anajiita Super Star!
  10. C

    "anti ezekieli" vp katika tasnia ya filamu

    Frankly speaking TZ Hao wanaoitwa mastaa hakuna actor hata mmoja wao wanashindana kupiga picha tu anaye piga picha nyingi ndiye staa!Kuna watu hawana majina wanafunika ile mbaya tatizo soko kashika mdosi nahao BASATA na BODI ya FILAMU hawana la kusema kwa mdosi wanaburuzwa tu.sijui kama filamu...
  11. C

    Babu wa Loliondo ametoa onyo.

    Kweli viumbe wa MUNGU wanaangamia kwa kukosa maarifa,huyo babu kamfanya MUNGU mjomba wake wa kuonana naye anapotaka yeye,leo kaoteshwa dawa kesho ataoteshwa awacharaze viboko wote! kwa akili za kawaida mnafikiri dawa ni shs.500/= lakini hamjui mmepoteza kiasi gani kuipata hiyo dawa. Watu wameuza...
  12. C

    Kweli Chadema Ndio Inaongoza Serekali

    Si afadhali na huyo komba,kuna mtu anahistoria ya ujambazi mwenyewe anajisifia mtu wa kumwaga mapesa na sidhani kama alimaliza hata darasa la saba! yaani wabunge wa sisiemu wapo wa kila idara mpaka wapiga ramli. sasa hicho chama au msafara wa mamba?
  13. C

    Sheikh yahya bado anatabiri;mbona aliaga amengatuka??

    Sasa mnatarajia afanye kazi gani wakati kunawatu wanamuamini na hawawezi kuendesha maisha yao bila kumuuliza huyo mganga wao mpaka siku wataisha watu wenye imani naye ndiyo itakuwa mwisho wa kazi yake.
  14. C

    CCM Madarakani: Sababu za kuitoa, ugumu wake na mbinu mbadala za kuing'oa

    Hivi nyie mnafikiri wamependa kujivua hilo wanaloita gamba? sasahivi wapo mguu nje mguu ndani tabasamu yote imeenda na upepo sasa wanakimbia vivuli vyao wenyewe!
  15. C

    Ikitokea, Traffic Police mna kesi ya kujibu

    Sio Trafiki tu, kuna wale wanao patrol na piki piki wanawaita tigo fasta, wakiwaona huwa wanapita tu wao wako bize na kuangalia Road licence na bima kama imeisha. Wana uwezo wa kusoma vibali vya kwenye vioo vya gari hata umbali wa mita zaidi ya kumi.
  16. C

    Babu wa Loliondo ashitakiwe ICC

    Nikweli hajashika mtu mkono lakini kuwahimiza watu wakapate kikombe ndiko kuwashika mkono huko! na mna uhakika gani kwamba walio tangaza kuwa wamepona hawako mpango mmoja na huyo Babu ili mwisho wa siku waje wagawane mapato? maana nasikia kunamtu kateuliwa kuyatunza haijatoka hata senti...
  17. C

    Babu LOLIONDO akabidhiwa simu na AIRTEL

    Na huyo mkuu wa wilaya siku hizi ofisi yake imehamia huko Samunge? maana amekuwa ndiyo kama msaidizi mkuu wa huyo Babu.
  18. C

    ALHAJI SHEIKH YAHAYA HUSSEIN ATAHADHARISHA TEna

    Na akitekwa mtu yeye ni mtuhumiwa wa kwanza. Ashindwe kwa Jina lishindalo majina yote!!!!!!:A S clock:
  19. C

    Hivi huu wote ni uongo?

    Alioteshwa atatibu magonjwa mangapi?
  20. C

    ...original komedi ya tbc1............

    Hivi bado wapo?
Back
Top Bottom