Search results

  1. F

    Mrembo wa wik!!!

    Ni kitu gani umekiona hapo mpaka unamwita Mrembo wa Wiki? Kulegeza macho? Paja? Paja gani?
  2. F

    watoto wa kinyarwanda wanamvuto!

    Mungu wangu... Nisamehe baba kwa tamaa zangu. Kidogo tu....!
  3. F

    Jamani Mapozi

    Niseme tu ukweli. Nina hamu sana kukutana na huyu msanii. Mimi ni mmoja wa shabiki wake wa siku nyingi, nahitaji kukutana naye na kumpongeza. Nimpe Mbege ya kwetu.... Nifurahi na msanii....
  4. F

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    thrown to recycle bin....
  5. F

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Yaani inatia hata RAHA. Yuko jamaa yangu mmoja aligombea uraisi pale CBA kwa kivuli cha CCM aligarazwa vibaya sana na mwenzie aliyeshindana naye kwa kivuli cha CHADEMA. Safi sana CHADEMA. CCM inachukiwa na kila mtu... hata mtoto aliyezaliwa leo.
  6. F

    Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

    ritz Sikuelewi na sijui nikufananishe na nini
  7. F

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    Usijisumbue da Haika. Hawajui walikotoka, walioko na waendako... Achana dada
  8. F

    Where Do You Fall?

    Specific example RA, EL
  9. F

    Where Do You Fall?

    Most 'First Class' students get technical seats, some become Doctors and some Engineers. * The 'Second Class' pass, and then pass MBA, become Administrators and control the 'First Class'. * The 'Third Class' pass, enter politics and become Ministers and control both. * Last, but...
  10. F

    Mshauri wa CCM na Msekwa: JamiiForums tishio kwa CCM; wadai ni ya CHADEMA

    Chonde Chonde mheshimiwa JF. Ukombozi wa Misri ulipatikana kwa kutumia fursa kama hii, CCM wanajua hili. Tusipuuze tishio la CCM juu ya Jamii Forum, wanaweza kufanya lolote lile kwani ni wanganganizi kama swahiba wake JK, Mr. Ghabgo. Ombi langu kwa mwenye server ya JF ni kuwa anahakikisha...
  11. F

    Mrembo wa Bongo katika Pozi

    Hakuna cha mtoto hapo... Hakina tena raha kwani kuna usugu wa kufa mtu. Maskini wazazi wake na jamii inayomzunguka.
  12. F

    Who's the hell is Lewis Makame?

    Hivi huyu Babu muda wake unaisha lini? Kakaa sana kwenye huo wadhifa. Wana JF nawaombeni mnijuze mchango wake katika kujenga DEMOKRASIA YA TANZANIA kadhalika na wasifu wake.
  13. F

    Pamoja na madudu yote Kawambwa hakuwahi kufokewa hadharani?

    Na wote walikuwa wamepwaya na maendeleo Sifuri.... Kwahiyo hakuna wa kumshtua mwenzake...
  14. F

    Ushangiliaji wa TP Mazembe

    Yaani Raha. Wako Serious... No Bagamoyo hapa... No bla bla
  15. F

    Bendera za CCM

    Kaka nimetokea bara. Kuliashiria kama kulikuwa na kikao fulani hivi. Kuna umuhimu wakua yanayojiri kwenye vikao vyao... Japo ni mwamwinyi,
  16. F

    Bendera za CCM

    Wakati nikiwa naelekea town hapa Dar niliona Bendera za CCM zikipamba baadhi ya barabara. Mwenye taarifa naomba atujuze. Kulikuwa na maandamano ya CCM au Vikao vya CCM. NB: Japo najuta kutawaliwa na CCM ni vizuri pia kujua wanafanya nini.
  17. F

    Hodi WanaJF

    Asante ndugu yangu
  18. F

    Hodi WanaJF

    Hakika mwenendo wa taifa letu tangu tupate uhuru miaka 50 iliyopita haileweki kwa kila kukicha. Maisha yamezidi kuwa duni na magumu. Kuwa na mfumo wa Kisiasa wa vyama vingi kigeresha. Kwamfano, suala la kikatiba inaonyesha serikali ya CCM inajitengenezea katiba kwa mipango ya kutawala milele...
Back
Top Bottom