Search results

  1. themanhimself176

    Baada ya kumsikiliza mama wa Feitoto, ni dhahiri Fei na familia nzima wamerubuniwa

    Poor reasoning kwaiyo kama kuna watu wanalipwa laki 5 na yeye ndo asiseme mshahara mdogo. Angalia value ya kile mtu anacho fanya sio kufananisha mshahara na watu wengine. Kuna watu wanalipwa million 10 na bado wanalalamika mshahara mdogo. Back to the topic Feisal anahaki ya kulalamika it...
  2. themanhimself176

    Ramadhan Mbwaduke ndiye Mchambuzi Bora wa Mchezo wa Mpira wa Miguu kwasasa hapa Nchini

    Ungemwambia/kumuuliza kuna uchambuzi bila statistics
  3. themanhimself176

    Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

    Niko apa kuona utabiri ukitimia... Bado goal moja
  4. themanhimself176

    Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    Ikiendelea ni tag please
  5. themanhimself176

    Anayemfahamu Choku almaarufu 'Shangazi'

    Account yake hii hapa, ni nouma; imebidi niishie katikati maana ni ufirahauni ulio pitiliza 😔 NB. Tuombe dua tupate watoto wemu maana ukipata kama huyu ni laana
  6. themanhimself176

    Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

    Hakuna cha uvulana wala uwanaume, demu umemuacha unataka asidinywe acha zako bruh.
  7. themanhimself176

    Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

    Sasa kuna ubaya gani wee si umemuacha au ulitaka asidinywe na mtu mwingine yoyote
  8. themanhimself176

    Humu ndani ukiondoka na mawazo, basi unahitaji mtaalamu wa saikolojia

    Rosemary 255 Mbona ujamtaja popoma a.k.a GENTAMYCINE au wewe akili zako ni ndogo sana kusoma nyuzi zake
  9. themanhimself176

    Dada kama hutaki kuliwa usipende kula vya wanaume. Tunapata pesa kwa ugumu sana

    Safi sana mpige vikwazo vya kiuchumi, mfanye kama Russia anavyo wafanya waumini wa bara la ulaya
  10. themanhimself176

    Ki Aziz apewa mama mpya na Watanzania. Makanjanja hawapo nyuma, yamegeuka machawa waandamizi

    Sasa tumuamini yupi....maana wote wawili wameweka picha. Tupia video bhana
  11. themanhimself176

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Yeah, unstall app yako, kisha nenda kwenye google chrome kisha search Jamii forum, press the first link you see ambayo ni link ya jamii forum browser, kisha nenda upande wa kulia kuna dots 3 press kisha utaona download app ndo u-download sasa Maelezo zaidi fata link aliyo weka Maxence Melo
  12. themanhimself176

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Hello Guys incase ukikumbana na changamoto za kupata new version ya Jamii Forum kama mimi please fata hatua zifatazo:- 1. Kama ulikuwa unatumia App kama mimi please unstall it 2. Weka kumbukumbu vizuri ya email na password yako maana itahitajika kutumika tena ku-log in 3. Futa link iliyowekwa...
  13. themanhimself176

    Researchers msaada tafadhari

    Uki - google unapata majibu yote ya kazi yako Use key words ku-google
  14. themanhimself176

    Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Please ongeza Chuo cha Mweka (Chuo pekee cha wanyamapori Tanzania nzima)
Back
Top Bottom