Search results

  1. M

    Kwa mwendo huu CCM inapambana na wapinzani; haitoweza kupambana na upinzani

    Kila mtu ni shuhuda wa namna ambavyo jicho la democrasia limepigiliwa boriti kiasi cha kutoona kabisa nchini.WAteuliwa wa Mkuu wamekuwa ndio MaNyampala kwa kuwakamata na kuwatesa viongozi wa Upinzani.katika kutekeleza majukumu nje ya nafasi zao hawangalii nyuma tena wao nikutekeleza maagizo tu...
  2. M

    Mtulia ndio chaguo sahihi kwa wana Kinondoni

    Huwajui watanzania wewe ingekuwa wanachagua viongozi kutokana na ilani za vyama vyao Lowasa angepata 100% ya kura zote coz hakukuwa na ilani bora na yenye majibu ya matatizo ya watz kama ilani ya chadema
  3. M

    Rais Magufuli amteua Dr. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG). Masaju ateuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu

    Unaetumia weledi kufanya kazi katika serikali ni kazi sana hamjiulizi kwa nini hatusogei while kila ofisi ina professor au dr.??hakuna mtaaluma hata mmoja alietengenezewa mazingira ya kuinvent ideas zake instead they receive orders from high authorities ndio maana hata wakina Kabudi wanafokewa...
  4. M

    Ni akili mbovu kufananisha CCM na Chadema

    Criteria ulizotumia haziwezi kukupeleka kwenye uwiano sahihi wa kulinganisha ccm na cdm due to the fact that Chama kutumia movement approach (harakati) ni developmental stage (moja ya hatua katika ukuaji wa chama cha siasa).kuhusu democracy ndani ya chama nadhani uteuzi wa mollel na mtulia...
  5. M

    Huu ndio uzalendo

    Alilolifanya lina tija gani sasa katika maendeleo? Waziri ni master minder Wa wizara husika we need good policy and clear strategies of attainable goals in his ministry sio rubbish hizi na wewe unampongezaje MTU pale anapoigiza maisha halisi ya watz???do you think ana shida kweli ya maji...
  6. M

    Quartz: Watanzania wanafikiri rushwa imepungua nchini kwao, lakini hali ni tofauti sana

    MFUMO WA NCHI AMBAO UELEKEO UPO KICHWANI KWA MTU MMOJA KUPIGA HATUA ZA MAENDELEO NI NGUMU SANA JAMBO KUBWA LINALOFANYIKA SASA HIVI NI KUZUIA WALA RUSHWA WA ZAMANI NA KUONGEZA WALA RUSHWA NA MAFISADI WAPYA
  7. M

    Quartz: Watanzania wanafikiri rushwa imepungua nchini kwao, lakini hali ni tofauti sana

    MFUMO WA NCHI AMBAO UELEKEO UPO KICHWANI KWA MTU MMOJA KUPIGA HATUA ZA MAENDELEO NI NGUMU SANA JAMBO KUBWA LINALOFANYIKA SASA HIVI NI KUZUIA WALA RUSHWA WA ZAMANI NA KUONGEZA WALA RUSHWA NA MAFISADI WAPYA
  8. M

    TV kutozwa faini: Kituo cha habari kikirusha habari inayopingana na Serikali kinaadhibiwa? Hii sio haki kabisa!

    Kwenye lile jina ambalo LISSU huwa anamwita bwana huyu toa kivumishi Libakie moja tuu yani DICTETA
  9. M

    TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Amesema ana hela kuliko serikali kila mmoja anafahamu hakuna tajiri yoyote duniani mwenye pesa kuliko government tra officer unaitisha press kwa kodi zetu kwenda kuchunguza kitu ambacho hakipo na hutomshitaki sababu atakuruka tu si wendawazimu huuuu
  10. M

    TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Daaaah umetisha mwana watawala hawatumii akili kabisa katika kupambana na wasiowapenda its better to stay calm rather than chasing a dog which steal your food
  11. M

    Hii ndio top five yangu ya rapa waliofanya vizuri kwenye dakika 10 za maangamizi

    Anaitwa selementary ana nyimbo nyingi sana but the hottest one is nataka kuinunua DSM ft belle nine yupo smart sana kichwani mtafute YouTube mzee Nina hakika hautojutia kumfahamu
  12. M

    Sababu za kuipinga Serikali ya awamu ya tano

    Mara zote tumekuwa ni watu wa kubishana tu pengine bila uelekeo kamili nje ya milengo ya kisiasa na tukumbuke elimu ya uraia inazidi kuongezeka kwa wananchi kadili upinzani unavozidi kukuwa. Watanzania wamejua wajibu na stahiki zao nyingi kutoka serikalini Mara baada ya kukua kwa siasa za...
  13. M

    Wengi wamiminika kurejesha fomu za maadili, ofisi kufunguliwa hadi Jumamosi

    Mbowe ni mfanyabiashara since at the age of zero
  14. M

    RC Makonda ni moja kati ya hazina chache tulizotunukiwa Tanzania

    DAB nae ni hadhina for what??? I think we keep the rotten eggs in the cupboard because trush is very close to our open window....MTU anaejitahidi kutuaminisha kuwa to get zero is nothing but being responsible is wealthy juu ya mgongo Wa mwenyenchi anapewa nafasi ya kutathminiwa kwa sehem ndogo...
  15. M

    Scott Adkins:Accident man

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] sasa c alikaa kwenye movie ww!??? Hata hivo boyka was man of the movie
  16. M

    Rais hajakataa kukosolewa lakini njia zitumikazo kumkosoa ni za hovyo

    Kama kuambiwa ukweli tuu hataki vipi kumkosoa?? Angekuwa hataki kukosolewa si angeruhusu mikutano ya kisiasa ili wapinzani watoe mbadala katika mikwamo nchini kama uchumi sector ya afya elimu n.k !!![emoji37] [emoji37] [emoji37] NB kwa nchi iliyostaarabika na yenye siasa safi hakukuwa na haja...
  17. M

    Ukweli Mchungu: Chadema Bado Haiko Tayari Kupewa Dola

    Ngoja nikutoe tongo kidogoo ndugu yangu vita ya kuitafuta mamlaka dhidi ya watawala katika misingi ya demokrasia ni kujua unaotaka kuwaongoza wanahitaji nini kwa hiyo unatakiwa kuuza mipango na mikakati imara yenye tija, ( sera) itakayowavusha kwenye changamoto na kuwapa ahueni ya maisha...
  18. M

    Ukweli Mchungu: Chadema Bado Haiko Tayari Kupewa Dola

    Nadhani wewe ni kijana mdg soon you will have a family futa dhana ya ujenzi wa majibu mafupi yaliyofungika( enclosed answers) kwenye maswali ya wazi hasa yanayoweza kulenga kuupima ufahamu wako( during self assessment you may hang yourself and loss your life ).Siasa za majimboni baada ya...
  19. M

    Ukweli Mchungu: Chadema Bado Haiko Tayari Kupewa Dola

    Chama hakiwezi kukosa ilani vision and mission.currently hakijashika dola hivyo huwezi kuiona implementations za ilani yake ukumbuke siasa zimezuiliwa kufanyika hasa za majukwaani ambazo ndio zilikua kama darasa kwa wananchi kuhusu ilan/vision / mission of any political party.fair analysis of...
Back
Top Bottom