Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia maoni ya namna serikali hii inavyoendesha mambo yake. Pasipo na shaka nimegundua kuwa watanzania wamechoka na namna mambo yanavyoendeshwa hii ni kutokana na maoni wanayotoa. Ambacho kinanitia shaka ni namna watendaji wa serikali na chama tawala wanavyodharau...
Ndugu wana Jf ninaomba wanaofahamu ubora wa Nokia E7 wanipe data maana nimejaribu kudownload operamin naambiwa inahitaji frames.Hii simu imeandikwa made from Finland lakini nahisi inaweza kuwa mchina at work.Kwa aliyewahi kutumia tafadhali
Mngulu anasema hayuko tayari kuona wapinzani wakisherehekea ushindi hata kama watakuwa wameshinda .Haya ni matatizo kwani mwaka jana majimbo mengi ambayo wapinzani walishinda yalitangazwa baada ya maandamano.Anaposema anamsubiri kiongozi furani aandamane kudai ushindi ili yeye mwenyewe apambane...
Katika kuonyesha kwamba shughuli nyingi za serikali zinaendeshwa kisiasa baraza la mitihani tanzania halijatoa matokeo ya mitihani ya ualimu iliyofanyika mwezi mei.Inaweza kuwa wanasubiri maelekezo toka wizarani ili watakapotoa na ajira ziwe tayari,swali ni kuwa iwapo serikali haina fedha za...
Habari wana JF.Nilinunua laptop Dell inspiron 1545 miaka 2 iliyopita.Toka ikiwa mpya mpaka sasa uwezo battery kutunza charge ni mdogo sana si zaidi ya dk 30 toka umeme unapokatika.Je hii ni kawaida?Nifanye nini ili niweze kupata battery inayokaa muda mrefu hasa kipindi hiki cha mgao wa...
Habari wanajamii F.Mimi nimekuwa mtumiaji mzuri wa internet kwa muda mrefu kabla hata mkongo wa mawasiliano haujaanza kuzungumziwa.Ninachoshangaa ni kwa kumekuwa kukitolewa taarifa mbalimbali kuhusu uwepo wa mkongo huo na faida yake.Swali ni je hapa tulipo ndio tumeshaanza kufaidi huo mkongo wa...
Wana JF zikiwa zimebaki siku chache kabla ya badget kusomwa bungeni nimeona ni vema tushiriki kutoa maoni yetu kwa serikali juu ya hali ya maisha ilivyo hata kabla ya badget ya kodi kuanza kujadiliwa.Kwa mfano bei ya mafuta,nauli,sukari,nafaka na vinginevyo zipo juu.Wenzetu kenya inasemekana...
Bila shaka wana Usagarian Mpo na mnapita hapa JF.Kupitia kona hii mwaga data unakumbuka nini juu ya shule hii.Mfano binafsi nakumbuka ushirikiano miongoni mwa wanafunzi na walimu,je wale waliokuwa sayansi mnazikumbuka zile MAABARA nzuri na walimu wake? Karibuni wote
Zawadi za wafanyakazi bora ,aliyenacho ndiye anayeongezewa?Hivi kweli Serikali inatoa 600,000/= kwa mwalimu zawadi ya mei mosi wakati kada nyingine wahudumu wamepewa zaidi ya 1Million,hii imekaa vipi
Nimemsikiliza Jaji werema Kupitia Startv ktk kipindi cha tuongee asubuhi hoja zake zimeegemea serikalini kuhusu muswada wa katiba,anasema wao hawataki watu wajadili muungano na mambo mengine ,swali je huo sio udikteta?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.