Search results

  1. N

    Uchambuzi wa Baraza Jipya la Mawaziri

    [/U]** WIZARA HII NDIYO KWANZA IMEPEWA JUKUMU HALISI KTK AWAMU YA JK,UKIONA WAZIRI ANATATIZWA KUFIKIA MALENGO YA RAIS KWANZA AANGALIA WIZARA YENYEWE,WATAALAM WAKE,SERIKALI KUU ILIVYOJIPANGA. TODATE JAMAA WA PLANNING WANAENDA VIZURI TENA KWA MSAAADA MKUBWA WA WAZIRI WAO MWENYEWE ,NDIYO MAANA...
  2. N

    News Alert: Mawaziri wote waitwa Dar

    Tudumu ktk subira waungwana;tutafhamu tu nini kimejiri ila tatizo ni kwamba kila mtu atasema nime break mimi,ni ushauri tu baada ya kuwaomba majemedari wetu wa habari. Mungu ibariki Africa
  3. N

    US Election Coverage 2008

    Mama Billal na kambi yake wanapaswa wajiangalie sana na wayahudi; huyo mama anayemkandia Mama Bilal ninaamini ni mwanaharakati na zaidi ni Maraine kwani kama dunia itakumbuka comment nzito ya Malkia Elizabeth juu Princess Diana kuhusiana na NDOA. Kumtema mumeo kwa kosa la uzinzi linaruhusiwa...
  4. N

    Mhariri wa Mwanahalisi akatwa mapanga

    Sorry Kubenea,mimi ni mmoja wa wasomaji maarufu wa Gazeti hili Makini kuliko yote ktk miaka hii 07-08. Simfahamu huyu bwana ila napenda makala zake kabla na baada ya kuzaliwa kwa Mwana-Halisi, naambiwa anapelekwa India kwa tiba ,ugua pole ndugu Mtanzania
  5. N

    US Election Coverage 2008

    Huyu ni msomi wa makosa yetu watu weusi especially wale walioko marekani tangu zama za Martin Luther Jr,Malcom X,Rev Jesse Jackson,Collin Powel na sasa mama Rice. Amefanya duedelligency ya politics za wa-America kwa kujipambanua juu ya hawa niliowataja. Ni Jaluo makini asiye na...
  6. N

    News Alert: Mawaziri wote waitwa Dar

    Tupatien Latest Waungwana,maana Kwa Mujibu Wa Gazeti Mtanzania Wameikuza Kiasi Cha Kuanza Kuonyesha Ile Kiu Ya Umma Kwa Mfalme Kukiri Mabadiliko Ya Sirikali Mpya
  7. N

    Kikwete alivyovutia wawekezaji Italia, kupigia debe mapinduzi ya kilimo Afrika

    KAMANDA fmes jK ANAJITAHIDI KUFANYA KWELI NA KUJIBU KIU YETU,TATIZO ULIONALO HUMU NDILO LILILOPO HATA KWA BAADHI YA WAKUBWA HUKO,;MUNGU AMPE NGUVU IPO SIKU TUTAFIKA MAHALA PAZURI,KEEP IT UP JK
  8. N

    Beda baada ya ukabila sasa umehitimisha kwa kumweka Eric mwanao kuila UCC?

    Bahati mbaya sana watu wa aina ya Lunyungu mnaangalia huyu mzee kwa mtizamo wa Ukabila zaidi kuliko ujasiri wake ktk mapinduzi ya ICT; Erick is well educated na kijana ambaye kwa sisi tunaomfahamu ni mwanamapinduzi halisi na mzalendo kwelikweli lakini niboreshe kwa kusema,licha ya udogo wake...
  9. N

    President Benjamin Mkapa Urges Religious Organizations to Take Active Role in Fighting HIV/AIDS in Tanzania

    Fikra za kinguruwe hazitatufikisha pema peponi. Yeye hajalazimisha media wala public kumsikiliza au kumzungumza. Kama tunavyoamini sote kuwa wapo wanaomzungumza kwa ubaya, vivyo hivyo inatupasa kuamini kuwa wapo wanaomzungumza kwa mazuri. Lakini mbona tunakosa hekima, ukimwi ni siasa jamani...
  10. N

    Mkapa: Lowassa was right!

    Jamani huyu mzee alikuwepo tu hapa jijini na huko Makumira kaenda lini jamani,Moderator ,kwa uungwana acha kuwachanganya watu kwa kuwapa zilipendwa.
  11. N

    Mkapa: Lowassa was right!

    Kamanda FS; Hoja inazungumzika vizuri sana tatizo ni timing.Kuna taarifa wazi humu kuwa mhadhara huu si juzi baada ya msiba wa Salome Mbatia. Hata hivyo tujifunze kulia tukiwa msibani na kufurahi tunapokuwa shereheni.
  12. N

    Mkapa angewafaa zaidi Waislam Kuliko Kikwete

    Shule na level ya Sumaye vilitosha kuvivaa viatu vya Dkt wa heshima . Cleopa David Msuya,pengine Nungwi unaichambuaje elimu ya juu ?? Sidhani kama unamtendea haki msomi yeyote dunia kwa imani eti kila unachohitimu ni uwezo wako binafsi. More than 11 years since frederick Tluway Sumaye...
  13. N

    Mkapa angewafaa zaidi Waislam Kuliko Kikwete

    Hapa shughuli ipo,acheni wananchi watafakari na ndio maana ya JF. Tutangulize ukweli halisi ktk tafakuri zetu,kwa upande wangu always nasikia mchawi mpe mwanao akulelee;Mkapa alipewa akalea na sasa zamu ya JK analea la muhimu ni kila binadamu kumtendea haki mwenziwe,biliv or not-siyo wote...
  14. N

    Hotuba za Rais kila mwezi

    Kumbe hoja ni Simba na Yanga!!!!!!!!!!!! Kuweni wakweli kwa faida ya JF na wazalendo,angalieni wanetu watarithi nini kutoka ktk maandiko ya hawa wakubwa. BM alishutumiwa sana alipoanza kazi ya urais 1995 kuwa anapenda kusoma hotuba;mlisema JKN na AHM waliweza kuzungumza pasipo kusoma na...
  15. N

    Malecela and Dr. Salim - Into Oblivion?

    Mzee ES,za kale hazivumi ndg yangu,historia ndiyo inayotoa hukumu kwa kila jambo,uzuri wa Dr.Cigweyimisi na ubaya wa Dr.BM ni vitu viwili tofauti,Dr.BM ni historia ambayo kila Mtanzania na walimwengu sasa wanayo haki kuisoma kwa mabaya na mazuri yake na ni kwa mtaji huohuo wapenzi wa historia...
Back
Top Bottom