Search results

  1. G

    Hiki kiatu 95,000/= napigwa au?

    Nilimjibu aliyeanzisha uzi,na amenielewa.
  2. G

    Hiki kiatu 95,000/= napigwa au?

    Huwezi pata kiatu brand name kama Fendi kwa bei hiyo na mazingira hayo.Hiyo sio ngozi,kama umechukua pole yako kamanda.
  3. G

    House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

    Mama Debora katika ubora wako. Hukopeshi lol
  4. G

    Mercedes Benz E190

    Barikiwa kiongozi na hongera zako.
  5. G

    Auto stop/start technology

    Nilifikiri ni mimi mwenyewe ndo hiyo kitu huwa inanikera. Lengo lake ni zuri lakini gari nyingi hazina on/off switch hapo kwa dashboard. Yangu mpaka uingie kwenye menu then sub menu kisha ndo uipate.Tatizo ni kwamba kila nikizima gari,inarudi kuwa on,hapo ndo inapoharibu mood ya kuendesha...
  6. G

    Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Ni vigumu sana kuchagua Cologne nzuri kwa ujumla kwa kuwa unapulizia kulingana na mazingira au hali ya hewa.Ndo maana watu kama Kiranga Nyani Ngabu wana collection kubwa sana ya hivyo vitu. Kwa mlio nyumbani suala la hali ya hewa huwa haliwaathiri sana. Kama ningeambiwa nichague let's say tatu...
  7. G

    Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Wakuu za leo? Naona kuna maswali mengi sana kuhusu ufanano wa haya manukato mawili. Sikuwa na hiyo Club de nuit intense ikabidi niagize ili nizilinganishe. Kwanza nilijaribu kwenda department stores,kama Sephora,Dillard's na Macys hawana club de nuit,kwa hiyo option pekee ilikuwa ni kuagiza...
  8. G

    Matumizi ya Cruise Control kwenye gari

    https://leg.mt.gov/bills/mca/title_0610/chapter_0080/part_0030/section_0030/0610-0080-0030-0030.html Mkuu naona unafikiri sisi maboya.Najua huu uzi ni was cruise control lakini kama kuna pa kuwekana sawa tunawekana sawa.Link ya msela sectionb(B) Inasema on any other public highway speed limit is...
  9. G

    Mercedes Benz E190

    Kiongozi kama umesoma vizuri nilichoandika,190E haiwezi kuwa ya diesel,sasa kamaukufanya modification kama uliofanya basi ile namba 190E inakuwa haina maana tena. Pili Unapofanya modification kama uliyofanya kuna gharama iliyotumika,na mara nyingi lengo huwa ni kupunguza gharama za mafuta,swali...
  10. G

    Uzi wa kutupia aina ya Gari kali ya ndoto yako!

    Hapana mkuu,Ni kweli Ford alikuwa anamiliki Land Rover,kisha akamuuzia TATA. Na hiyo Ford explorer ni crossover unibody na wala sio body on frame kama discover. Ford alinunua Land Rover kutoka kwa BMW group.
  11. G

    Msaada: Hii dawa kazi yake nini?

    Hapana mkuu,fungus sio ugonjwa wa ngono.Usiogope sana.
  12. G

    Msaada: Hii dawa kazi yake nini?

    Mkuu inawezekana tatizo ni lugha. Mbona picha uliyopiga hapo juu ina maelezo yote ? Kwa kifupi ni dawa ya Fungus(nafikiri ni mba kwa kiswahili) Hiyo ni maalum kwa maambukizi ya fungus yanayotokea ukeni. Hivyo vidonge vinasokomezwa huko ukeni kutibu hilo tatizo. Nafikiri nimesaidia.
  13. G

    Miji 10 inayoongoza kwa foleni ya magari duniani

    Mkuu kama ukiona miji kumi inayoongoza kwa foleni za magari na katika hiyo miji hujaona New York,San Francisco wala Atlanta basi jiulize mara mara mbili mbili kama hiyo listi ni ya uhakika.
  14. G

    Napenda kufahamu juu ya hawa mbuzi

    Inawezkana kuwa wapo,ila cha muhimu kujiulza ni je washachakachuliwa au vipi ? Maana Tanzania sidhani kama tuna sajili pure breed ya wanyama. Kwa wenzetu kama ukigundua kuwa amakuuzia mnyama aliyechakachuliwa unalipwa fidia ya maana sana.
  15. G

    Napenda kufahamu juu ya hawa mbuzi

    Mkuu South Africa ndo nyumbqni kwa Boer na Kalahari red goats. Kwa hiyo huko ngo wapi na uzuri wake kuna wafigaji ambao wamesajiliwa kukupatia pure breeds. Unaweza tu ku google boer goat breeders in South Africa,utapata maelezo ya wafugaji.
  16. G

    Napenda kufahamu juu ya hawa mbuzi

    GreenMkulima Initiative mkuu hapo kwenye hizo picha umeweka breeds tofauti. Hiyo ya juu ni Kalahari red na hiyo ya chini ni Boer goat. Kwa ushaui wangu, kwa kwa majina unayafahamu kama nilivyokutajia hapo juu,tumia smartphone yako,computer etc etc utapata elimu kubwa sana mtandaoni...
  17. G

    Kuna mtu anaejua wapi naweza kupata olive ..zaituni kwa wingi na naweza pata bei zake pia naomba wana group msaada wenu

    Pamoja mkuu. Ila nafahamu habari ya Olive tree plantation iliongelewa nafikiri 2013 wakati waziri akiwa Malima,nafikiri walikuwa wanafanya uchunguzi kuona kama mikoa yenye ukame kama Dodod/Singida kuna uwezekano wa kuanzisha kilimo hicho. Sidhani kama hilo lilishafanyika ila kwa kifupi mkuu...
  18. G

    Hii Bidhaa nitaipata wapi?

    Samahani nilisoma ulizo lako juu juu. Sifahamu duka kwa hapo Dar ila nimekuwekea link unawe kuagiza online. Ila kwa ushauri mwingine unaweza tafuta Rose water na glycerine ya brand nyingine nafikiri itafanya kazi sawa na hiyo. Asante.
  19. G

    Hii Bidhaa nitaipata wapi?

    Boots Traditional Glycerin and Rosewater 200ml - Boots
Back
Top Bottom