Search results

  1. choupa moting

    Anahitajika fundi mzuri wa contemporary Mbeya

    Wakuu habarin za kazi. Natafuta fundi mzuri wa hizi nyumba za contemporary aliyeko Mbeya mjini kwa ajili ya kufix sehem kwenye ofisi panavuja. Ofisi imejengwa kwa aina hiyo hivyo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha imeanza kuvuja hivyo naomba tuwasiliane ili aje kufix. Anichek 0621 164 143.
  2. choupa moting

    Naomba ushauri na kujuzwa bei za mabati ya Alaf

    Wakuu habarini za asubuhi, Nashukuru Mungu nimemaliza kujenga boma na sasa nimebakiza kupaua km Mungu atajilaalia. Sasa nataka kupaua na bati za Alaf hasa zile zenye umbo km vigae. Naomba anayejua aniambie bei zake au ushaur wowote kuhusu hiz bati ili nikamilishe ndoto zangu. Natanguliza...
  3. choupa moting

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbutu Kigamboni na kakibanda chake

    Kuna eneo linauzwa ambalo liko na kibanda chake, maeneo ya Mbutu kigamboni. Unaeza hcho kibanda ukakiendeleza kwa makazi au unaeza kuamua kufanya ufugaji pia au unavyopenda mwenyewe. •Ukubwa ni mita 20 kwa 25 •Kiko center •Nauli kwa daladala kutoka fery ni 1000/ •Nguzo ya umeme iko karb na hlo...
  4. choupa moting

    Naomba kujuzwa App ya live football kwenye iphone

    Wakuu habarini za usiku huu, naomba kujuzwa application nzuri ambayo itanisaidia kuona football live kwa simu ya iphone (IOS). Natanguliza shukran kwa wenye kufahamu.
  5. choupa moting

    Car4Sale Carina TI inauzwa

    Gari iko sokon. Haina muda mrefu toka iingie bongo. Ilikua inatumika kwa usafirishaji ila kuna misunderstandings zimetokea btn owner and driver hivyo imeamuliwa kuuzwa. Gari iko Dar es Salaam, imetumika 120000 kilomita. Bei ni milion 10. Kwa more business details please dont hesitate to PM...
  6. choupa moting

    TV4Sale Azam decorder & TV inch 21 vinauzwa

    Nauza king'amuzi cha azam chenye dish lake pamoja na TV inch 21 ain ya Mr. UK vyote vikiwa na remote zake. Bei yake ni laki tatu (300,000) kwa vyote. Viko Dar, Nichek PM tufanye biashara. Negotiation ipo kwa wenye uhitaji.
  7. choupa moting

    Kuuliza si ujinga

    Wakuu naomba kuuliza. Takribani wiki moja sasa nchi ya Tanzania imekumbwa na msiba wa bilionea maarufu Dr. RA Mengi lakini katika hali isiyo ya kawaida sijaona bwana nywele nyeupe. Huyu ndugu kwa kawaida hakosagi misibani au popote penye huzuri hutokea kufariji watu lakin safari hii imekua...
  8. choupa moting

    Nimemuona Hassan Mwakinyo akipigana, maoni yangu ni haya

    Niwe tu muwazi kwamba mimi si mtaalamu wa mambo ya boxing ila ni mfuatiliaji na mshabiki wa mchezo huu toka enzi za akina Tyson za kuamka alfajiri kusubiri pambano na Lewis. So ni shabiki wa mchezo ila si mwenye taalum nalo. Jana majira ya saa nne usiku kulikuwa na pambano la masumbwi...
  9. choupa moting

    Computer4Sale Nauza mzani mdogo wa kupima uzito.

    Wadau nauza mzani mdogo wa kupimia uzito wa kawaida kwa wanadam. Ni ule mzani ambao unakanyaga kupata kilo zako. Ni wa analog na sio digital. Mzani huu nlikua nautumi kwenye project yangu flan na nmeutumia kwa almost two months na bado upo kwenye box lake. Anayeuhitaj anaweza kuni-pm tufanye...
  10. choupa moting

    Alinitosa tumekutana kazini nikiwa mkubwa wake amebaki kuhangaika

    Habarini wadau, mwaka jana nilikutana na mtoto mmoja mzuri maeneo flan ya katika ya jiji ilikua lunch time kwa mara ya kwanza namuona, ikawa tunakutana hapo mara kwa mara wakati wa chakula cha mchana ikawa tushafahamiana japo kwa sura. Baada ya moyo kunisokota sana siku moja nikamkuta akiwa...
  11. choupa moting

    Tuongee kiume, mwendokasi wamefeli

    Habarin za mchana waungwana, poleni na majukumu ya kujenga taifa letu pendwa la Tanzania. Niende kwenye mada husiku, nimekua mtumiaji wa mwendokasi mara nyingi ninapoenda kwenye mizunguko yangu. Kuna vitu haviko sawa na sijui kwanini havifanyiwi kazi na mamlaka husika inayotoa huduma hii. Sisi...
  12. choupa moting

    Nijuze kuhusu internet ya Airtel

    Guys, habarini za usiku huu. Kuna kitu najiuliza sipati jibu ni kuhusiana na internet ya airtel ambayo mpka leo hii wapo 3G na inaonekana hawatak kabisa kwenda juu kwenye 4G km tigo au vodacom. Nataman sana ninunue line yao ila hilo linanikwaza maana sipend simu iwe slow kwenye internet. Napenda...
  13. choupa moting

    Plot4Rent Kiwanja kinauzwa dege kigamboni

    Kiwanja kinauzwa maeneo ya dege kigambon, chenye ukubwa wa mita 35*35. Kipo maeneo ya dege kigambon jiran na yale magorofa. Hakipo mbali na barabara. Hakijapimwa ila kiko kwenye maeneo ya makaz coz baadhi ya majiran wamepima tayar. Bei ni milion 6 ila inapungua. Karibuni serious buyers...
  14. choupa moting

    Huu ustarabu wa nyimbo za injili kwenye mabasi ya abiria uangaliwe upya

    Wadau habarini za asubuhi, hope mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya kupambana na gurudumu la maisha nchini Tanzania. Niende kwenye hoja iliyonileta, ni hivi kuna huu ustaarabu hasa kwa watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini yaan mbeya, iringa, njombe, songwe nk. Lakin pia upande wa...
  15. choupa moting

    Wanawake, nani alisema dera ni nguo ya heshima?

    Habarini za weekend ndugu zangu na polen na maisha ya Tanzania. Back to the topic, naomba kujuzwa hivi kwanini nguo aina za madera ambayo huvaliwa na wakina mama au wakina dada yamechukuliwa kama nguo ya heshima? Utakuta mmama mtu mzima tena mungu kamjaalia mashallah kavaa dera then huo...
  16. choupa moting

    House4Sale Nyumba iliyo hatua za mwisho kumalizika inauzwa kgambon.

    Habarini za asubuh wadau, kuna nyuma inauzwa kigambon kata ya mji mwema eneo la kibugumo. Ni nyumba ambayo ipo ktika hatua za mwisho kumalizika. Kuna mambo ya yametokea kunahitajika pesa ya haraka ndio sabab inauzwa. Nyumba ina vyumba vitatu kimoja kikiwa master, sitting room, study room, dining...
  17. choupa moting

    Maswali ya moja kwa moja kwa waziri mkuu

    Hakuna kitu nakwazika kama mbunge anapewa nafasi ya kuuliza swali la moja kwa moja au gafla kwa waziri mkuu then anauliza utumbo utumbo tu. Kwa Tanzania yetu ya leo ilivyo na vikwazo kibao eti mbunge anauliza je Tanzania imejipangaje kuiboresha Serengeti boys..Dah huyu alipaswa amwandikie tu...
  18. choupa moting

    Application za Kairuki zinaanza lini?

    Habarini za asubuh wadau, Kichwa cha habari hapo juu kinahusika, naomba kujulishwa ni lini chuo cha kairuki kinaanza kutoa nafasi kwa vijana kufanya application kwa mwaka wa masomo wa 2018/2019 hasa kwa ngazi ya diploma. Nina kijana wangu nataka nimpeleke hapo kwa ajili ya diploma ya nursing...
  19. choupa moting

    Kuna jamaa hapa anafanyiwa kitu ambacho wanaume wengi hawapend.

    Niko sehem fulan hapa napata lunch..sasa kuna jamaa kaka na demu wamemaliza kula nadhan ilikua ni wakat sahihi wa jamaa labda kuanza kutia vocal au stor flan za kusisimua, sasa kinachoendelea demu anaongea mambo ya kanisa tu mwanzo mwisho. Namnukuu "sisi kwetu tunasali sana yaan mimi asubuh...
  20. choupa moting

    Mtoto wa kike anahaha mpaka namwonea huruma

    Za jioni walimwengu mnaopita jukwaa hili, kuna jambo dogo ambalo nataka niwahadithie ambalo kwa siku za karibuni linaninyemelea. Katika nyumba ninayoishi kuna kaya tano ambapo kila moja inajitegemea japo gate kubwa la nje tunashea kwa maana tunalitumia wote. Na katika kaya zote zinazoishi humu...
Back
Top Bottom