Search results

  1. Mdakuzi mkuu

    Usiyoyajua kuhusu nchi ya Japan

    Salam wakuu, leo napenda kuwaletea machache kuhusu nchi ya Japan:- 1. Ina visiwa vikubwa 4; Hokkaido, Honshu, Shikoku, Kyushu na vingine vidogo 6,852. 2. Ina eneo la ukubwa wa 377,950 sq.km na idadi ya watu 127 million. 3. 53.5 % ya eneo lote Japan ni milima. Eneo linalofaa kwa makazi ya watu...
  2. Mdakuzi mkuu

    Sheria za kuishi nje ya nchi hizi hapa

    Unaweza ukajikuta kwenye mikono ya sheria pindi wanapofanya makosa ambayo yamekatazwa kwenye baadhi ya nchi: 1: Huruhusiwi kwenda dukani na sarafu (Coins) ukiwa Canada. •Kupitia sheria ya fedha nchini Canada “Canada currency Act” muuzaji yoyote anaruhusiwa kukataa kumuuzia mtu kitu chochote...
  3. Mdakuzi mkuu

    Bajeti ya 2016/17, TZS 3.1 Mill tu ndo zilizotoka kati ya TZS 11.8 Mil zilizopitishwa na Bunge

    Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango, katika kuwasilisha Makadirio Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 yalikuwa ni sh trillion 29, Mwaka huu Serikali inatarajia kuongeza bajeti kwa Trillion 3, kufikia trilion 32 kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018. Leo hii mjini Dodoma Dr. Philip...
  4. Mdakuzi mkuu

    Ukiwa Mbunge asubuhi unakuta missed calls 500 ,unaombwa mpaka chumvi

    Ubunge una raha yake kwa kipindi fulani,lakini pia n adha kubwa sana kwa wananchi unaowaongoza,yaani haukai ukatulia,labda ubadili namba ya simu (na wasiipate). Saa 2 asubuhi unaamka, unakuta utitiri wa watu nje wanakusubiri. Watu wanakuja kukuomba pesa taslimu, watu wanakuja kuomba chumvi...
  5. Mdakuzi mkuu

    BOT boresheni mwonekano wa fedha za Tanzania kuhamasisha watafutaji

    Ukichunguza mwonekano wa pesa zetu kuanzia coin mpk noti, kweli hazivutii kwa mtafutaji kuzitafuta kisawasawa. Tanzania ina vitu vingi sana (current) kama rasilimali nzuri sana zinazoitambulisha nchi yetu. Tuna gase, tuna water falls, national parks, madini, watu nk ambao tunaweza kudesign...
  6. Mdakuzi mkuu

    Ujasiri wa Nape kuonekana mwenye bashasha sana baada ya kutumbuliwa unatoka wapi?

    Baada ya Mh Nape Nauye kuenguliwa Uwaziri, ameonekana kuwa tofauti kabisa na matarajio ya walio wengi kama tulivyozoea. Wengi ambao hutumbuliwa, huonekana kuchanganyikiwa, kudhoofika na wakati mwingine hutoweka mjini (Dsm) na kwenda kujificha kusikojulikana huko majimboni. Hali hiyo imekuwa...
  7. Mdakuzi mkuu

    Kula kwa kutumia mkono wa kushoto kwa mtu mzima ni uchafu

    Salaam wandugu. Mungu anisamehe kwanza. Ila mm nikiona mtu anakula, kuandikia au kushika kitu kwa kutumia mkono wa kushoto,halafu ni mtu mzima, inakera sana.Inakuwaje wazazi huwaacha watoto wao kutawala mkono wa kushoto ile hali na mkono wa kulia upo. Kiutamaduni, mkono wa kushoto hushika vitu...
  8. Mdakuzi mkuu

    Ni aibu sana mke, mume na watoto familia moja wote kuwa facebook

    Turudi kwenye mambo ya ndoa sasa, unakuta mume akipost kitu fb, mke ana-like au kucomment kiroho safi tu. Au wakati mwingine vice versa is true. Kweli umeoa /umeoa na unamwona mwenzio Facebook na bado tu unajisikia amani??Duh. Bora mmoja awe fb, mwingine asiwepo kabisa. Ni heri awe anadeal na...
  9. Mdakuzi mkuu

    Tofauti kati ya kuagiza gari nje ya nchi na kununua hapa nchini Tanzania

    Wakuu poleni na kazi. Naombeni ushauri kuhusu MCHAKATO,GHARAMA & UHAKIKA wa aidha kuagiza gari ndogo nje ya nchi (Japan) na kununulia kwenye show room hapa nchini Tanzania.Hasa gharama, mchakato wake na uhakika (uimara) wa gari yenyewe. Nataka kununua Subaru forester ya 2005 4WD...
  10. Mdakuzi mkuu

    Mapya kuhusu watumishi wa umma kwenda kusoma kwa ajili ya kupanda madaraja na vyeo

    Habari wanaJF! Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh Anjellah Jasmine Mbelwa Kairuki, P.O.Box 34368 Dsm alisema kwamba, ili watumishi wa umma wapande vyeo na madaraja, ni lazima kwanza wapitie mafunzo maalumu ya kiuongozi katika Vyuo vya Utumishi wa Umma; Mbeya, Singida, Uhazili...
  11. Mdakuzi mkuu

    Kada wa CCM:Makonda anaumwa tezi dume

    Kila mtu haelewani nae, kila mtu anamsema vibaya, kila mtu mchafu huku yeye akijinasibu kama msafi kwa mkubwa. Kijana Makonda, sisi tumeingia kwenye siasa kabla hujazaliwa, tunajua mengi ndani ya chama na serikali.Inajitengenezea bomu litakalokulipukia mbeleni. Kila mtu kwako mchafu.Kwann?Kwann...
  12. Mdakuzi mkuu

    Mbunge wa Mtera (CCM) Mh Lusinde,kwanini umekimbia kijijini na sasa umejificha mjini?

    Salam ndugu zangu. Wananchi wa Mtera wameanza kumlalamikia Mbunge wao (CCM) Mh Liviñgstone Lusinde kwamba kawakimbia kijijini, sasa anaishi na kujificha mjini, eneo la kisasa alikojenga nyumba yake.Mvumi,kijiji alichokuwa akiishi Mbunge huyu,sasa cha moto.Hata ile club yake...
  13. Mdakuzi mkuu

    Bunge la bajeti, Mawaziri wataleta mrejesho gani, watashawishije wabunge kupitisha bajeti ijayo?

    Bajeti kwa mwaka wa fedha 2016/17 inaisha baada ya mwezi mmoja kuanzia sasa.Zile trions of money watu wanataka waone mrejesho wake kama zilivyoahidiwa, maana hata wabunge wana hali ngumu sana.Fedha imeenda kidogo sana majimboni,wanaishi kwa kujificha ficha, na wengine wamekimbia vijijini sasa...
  14. Mdakuzi mkuu

    Waziri Nape,tunasubiri utekelezaji wa kauli yako Clouds pamoja na ripoti ya uchunguzi kuhusu uvamizi

    Nape ,Nape kulikoni?Umesimamia upande gani?Ukakasi huu.. Suala la mtu fulani kuvamia kituo cha Clouds lilileta sintofahamu mpaka ukaamua kuwatembelea na kusema mawili matatu, ikiwemo kuchukua hatua baada ya ripoti ya kamati iliyoteuliwa kuchunguza swala hili,ambayo wewe mwenyewe ulisema...
  15. Mdakuzi mkuu

    Tunajidanganya, Rais Magufuli kawa maarufu Ulaya

    Ni matumaini yangu kwamba mambo yanaenda vizuri,safi bila mushkeni. Watanzania tuchape kazi, Mh Rais wetu, Dk Magufuli kawa maarufu sana duniani kutokana na misimamo yake ya kubana matumizi, maamuzi mazito na issue ya mkazo kwenye ukusanyaji kodi. Juzi kuna wazungu kadhaa kwenye mtandao wa...
  16. Mdakuzi mkuu

    Kitwanga aibuka, awavaa Gwajima na Makonda

    Figisufisu na ugomvi kati ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (GCTC), Josephat Mathias Gwajima, zimepamba moto na joto lake linapanda na kushuka kila kukicha. CHANZO CHA UGOMVI WA MAKONDA NA GWAJIMA Nyuma ya ugomvi huo unaotajwa...
  17. Mdakuzi mkuu

    Kisa cha muuza sambusa jijini Arusha

    KISA CHA MUUZA SAMBUSA. Palikuwapo na muuza sambusa mashuhuri jijini Arusha. Mgahawa wake ulipakana na kampuni moja kubwa. Kutoka na ladha murua ya sambusa zake, wafanyakazi wengi, kama si wote katika kampuni anayopakana nayo, kila siku walifika mgahawani pake kununua sambusa. Siku moja...
  18. Mdakuzi mkuu

    Fedha za dhamana zitolewazo mahakamani huwa zinaenda wapi?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA Salamu wakuu, naona weekend nayo inasogea taratibu. Nimewaza tu hapa. Kumekuwa na fedha nyingi sana inayotolewa mahakamani na watuhumiwa mbalimbali kuhusu kesi kadhaa ili wapewe dhamana. Utasikia "ameachiwa kwa dhamana ya TZS 10 Millioni, ameachiwa baada ya kutoa...
  19. Mdakuzi mkuu

    Maana hasa ya kuweka password kwenye simu

    Salam ndugu zangu. Kumekuwa na mazoea ya kuweka password kwenye simu na pia kuzima simu nyakati za usiku. Sanasana kwa wanandoa au wachumba. Unakuta mtu kaweka pattern kwenye simu yake mpaka aibu.Unaogopa nini? Kama msafi kwann simu umeiwekeà ulinzi mkubwa hivyo? Mtu umeoa/umeoa lakn bado tu...
  20. Mdakuzi mkuu

    Wizi wa millioni 70: Jinsi ya kumtrack mtu popote alipo na simu yake

    Habarini za jioni wapendwa wangu, Kuna hii teknolojia ya kuweza kumtrack au kumnasa mtu mahali alipo, simu na message zinazoingia kwake kulitia simu yake ya mkononi. Kuna mtu namdai million 70, ananipiga chenga sana. Mara yuko hapa, mara yuko pale, mara hivi mara vile. Lazima tu kuna kakifaa...
Back
Top Bottom