Search results

  1. E

    Asali mbichi kutoka Tabora

    Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu za lita 20 kuanzia tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu mwenye uhitaji angekuwa anapatikana hasa hasa mikoa ya Kilimanjaro au Arusha. Kama una uhitaji ni pm...
  2. E

    ASALI MBICHI KUTOKA TABORA

    Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu mwenye uhitaji angekuwa anapatikana hasa hasa mikoa ya Kilimanjaro au Arusha. Kama una uhitaji ni pm tuongee bei na mambo...
  3. E

    Legal wife

    Jamani wana jamiiforum wenzangu nitaipataje hii series ya Legal wife either kwenye CD au kwenye flash. Yaani naihitaji sanaa
  4. E

    Msaada wa kuaply TCU

    Jamani wadau naombeni mnisaidie maana kila nikijaza details zangu wakati na-apply tcu mwishoni ninapobofya kwenye register inaniambia " mobile number2 must contain a number' sasa sielewi ni kwanini maana nimejaribu mara nyingi tu, na hili tatizo liko kwangu tu au? Thankx
  5. E

    Dawa ya VUMTREX SYRUP 40mg/5ml

    Wana Jf hii dawa ya minyoo ni nzuri sana au maana kuna mtu kaniambia nitumie sasa imebidi niombe ushauri kwenu kwa wanaoijua vizuri. Thankx
  6. E

    Wataalam wa simu msaada plz.

    Eti hii imekaaje? Juzi nime flush 4n yangu sasa hvi nikidownlod application yeyote kama opera mini haifanyi kazi kabisa. Kwa mwenye ujuzi anisaidie plz. Thankx
  7. E

    Msaada wenu tafadhali wana JF

    naombeni kujua kama mtu alifanya application ya chuo kupitia tcu na akachaguliwa na mkopo akapata kidogo, lakini kwa sababu wazazi wake hawapendi hicho chuo alichochaguliwa na pia hawana hela kabisa za kujazia kwenye mkopo ameanua kuacha mpaka mwakani, je anaweza kufanya application tena mwaka...
  8. E

    Chuo cha KIU

    Ndugu zangu wana JF naombeni kwa yeyote anayekifahamu hiki chuo cha Kampala International (KIU) vizuri anijuze jinsi tu kilivyo kuhusu masuala ya elimu na mambo mengine Asanteni sana.
  9. E

    Naomba kujuzwa

    wanajamii wenzangu naombeni msaada wenu katika hili, kuna ndugu yangu wa kiume hii ni mara ya nne mfululizo anapata wet dreams, so anaogopa sana kwa sababu haijawahi kumtokea kabisa. kaniomba ushauri lakini nimeshindwa cha kumshauri so naombeni wataalam wanisaidie je hilo ni tatizo?
  10. E

    so lonely 2day

    jamani kweli leo nipo mpweke sana so any lady to chat with via sms please my 4n number is 0766116471 am 21 yrs.
  11. E

    Afisa utamaduni wa Moshi

    Wana JF naombeni kwa yeyote anayejua sanduku la Barua la ofisi ya Afisa utamaduni wa Moshi ikiwezekana na no ya simu anisaidie plz.thankx
  12. E

    division 1 point 9

    wana JF mimi nimemaliza form 6 HKL na nimepata division 1 point 9 yaani CCC naombeni mnishauri nikasome kozi gani yenye soko hapa tz maana sitaki kumaliza chuo then nigange njaa mtaani na kisomo changu naombeni mnisaidie kimawazo maana najua mnauwezo sana.thankx.
  13. E

    msaada jamani

    hivi kufanya mustubation kwa wanaume kuna madhara yeyote? msaada wenu tafadhali
  14. E

    tokeo

    jamani matokeo ya form six yanatoka lini? presha zitatuua.
  15. E

    Rafiki wa kike.

    Mimi Imma wa Moshi, natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye through sms, naomba ambaye anapenda sana kuchat plz no yangu ni 0766116471.
Back
Top Bottom