Search results

  1. Medicci

    RPC Olomi aliyesimamishwa kazi Kagera ni nani ?

    Hii inaukabila ndani yake
  2. Medicci

    Kwa kadiri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona Sherehe za Muungano zikipigiwa debe

    Inaitwa peaceful slavery, waswahili wanasema kubali ukatae utaionja...
  3. Medicci

    Hotuba ya Rais Magufuli kwa EALA: Kulikuwa na ulazima gani kuitambulisha CCM?

    Kuna watu wamataifa waliwahi kuniambia hajukujieleza wala haelewi anayoulizwa, reference ile video akiwa na Musezeni akiulizwa kuhusu demokrasia
  4. Medicci

    Vijana Tuchague fungu sahihi, Historia itatuhukumu vibaya

    Leo tarehe 25|04|2018 asubuhi mida ya saa kumi na mbili asubuhi, niliamshwa na milipuko ya risasi na mabomu nikaharuki kidogo lakini nikakumbuka trh 26|04|2018 kutakuwa na maandamo. 1.Nikajiuliza ni kwa nini watumie nguvu nyingi kiasi hiki kututishia side walipa kodi, tuliowanunulia silaha kwa...
  5. Medicci

    Polisi Mwanza wamehusika na kifo cha kichanga (Kisa cha kusikitisha).

    https://jamii.app/JFUserGuide the Police....
  6. Medicci

    Special Thread: Trending Now in Kenya

    Prrrrr haha Tanzanians. Once I met this Kenyan gal while chit chatting she asked abt my view on KE Political situation. Me: You guys Claims that you are enlightened, aware, 100 years ahead of tanzanians, but still stuck with the same master till now, revolutioneers headed by a man in his 70's...
  7. Medicci

    Trade War: Baada ya China kujibu mapigo,Marekani yarusha kombora lingine

    Tuna uwezo Mdogo sana asee, hata vita vya 1&2 vya dunia vilivyoanza, watu waliona kama haitawaathiri kabisa. Same kwenye hili la trade war btn China and USA. Yaan China na USA ndio wanaofanya biashara na Dunia. Hii vita yao ikiendelea itaharibu Global supply chain. 1. Choice of investment...
  8. Medicci

    Magufuli: Mimi ni miongoni mwa watanzania waliogundua kitu muhimu wakati wa masomo yangu ya uzamivu, lkn watu hawapongezi

    Hehehe.. Jamaa anapenda sifa sana.. Yaani sio waifanyie kazi ila wampongeze.. My take. Ana almost miaka mitatu kama Prezda kwa nini asilishughulikie mwenyewe hili nakuifanya Research yake kuwa hai..
  9. Medicci

    Tanzania, Uganda bow to US pressure on used clothes importation

    Kwa viwanda vipi vya Nguo tulivyonavyo, naona waliona gharama za maisha kwa watz zitaongezeka hvyo kufanya maisha kuwa magumu zaidi
  10. Medicci

    Haya ndio matokeo hasi ya kutokuwa na Bunge mubashara. Aibu sana kwa wanaoonekana pichani

    Halafu utasikia Bunge limeafikia Mkataba blah blah blah. Wakati 90% hawajui hata yaliyomo kwenye mkataba huo
  11. Medicci

    Sterling Engineering wafuta kesi mahakamani baada ya kuona Tanzania itaibwaga

    Eti wamefuta case mahakamani kuhofia kubwagwa kortini. Hehee kweli Lumumba kumejaa
  12. Medicci

    Waraka kutoka Iringa: Sababu za Tundu Lissu kumshambulia Rais Magufuli hizi hapa...

    Ulikuwa wapi mpaka ndege imetolewa ndio ukaaona ni muda muafaka wa kuandika hili andiko lako. Swali ni je.. Nan kakutuma au mlikuwa hauna uhakika na ulichopewa uandike au vipi. Kama serikali ingekuja na majibu kama deni lililipwa ndio maana ndege ikatolewa au la.. Hayo majibu sisi hatuna. Ni...
  13. Medicci

    Wanafunzi wa The Law School of Tanzania wanalazimishwa kununua vitabu vya walimu wao.

    Acha kujitia harakati, usiponunua hvyo vitabu utapata wapi material. Soma dogo, acha kelele
  14. Medicci

    Nini tofauti ya Watanzania wa Mwanza na Watanzania wa Dar, Kimara?

    Huyu jamaa mkabila sana, Let's say Akwilina angekuwa msukuma angefanya nini, au angechukua hatua gani.. Najiuliza tu
Back
Top Bottom