Search results

  1. Green_Touches

    Faida za kumiliki hisa za Vodacom

    Mpe Tsh.200, Aongeze kahawa kashata nakuja kulipia..Ucpate shida kumwelimisha asiyetaka kuelewa ndugu. #wachamambo yavijiwevyakahawakwenyemamboyamsingi.
  2. Green_Touches

    Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

    Habari, wana Jf. Kutokana na faida na utamu wa juice hii, imepelekea juice ya miwa kupendwa sana mjini. Tubadilishane uzoefu kwa wamiliki wa biashara hii, je mashine hasa zile za umeme zinapatikanaje na kwa bei gan, na vp kuhusu upatikanaji wa Miwa hususani kwa Dar es salaam. Karibuni.
  3. Green_Touches

    Vodacom kuanza kuuza hisa Machi 9

    Mkuu Nitumie na hapa, 0676 110 618
  4. Green_Touches

    Vodacom Huduma kwa wateja MPESA mnakera

    Ntawashughulikia wataisoma namba....
  5. Green_Touches

    Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Photocopy nzuri ni Canon Image Runner 2525 bei 1.5mil, zinapatika Kariakoo. Angalizo: kabla ya kufungua biashara ya stationery fanya utafiti wa eneo la biashara kwanza vinginevyo utaifunga au kugeuza banda la Miamala na Vocha tu.
  6. Green_Touches

    Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Iko na ugumu sana hii, kwa siku ukiweza pata wateja Mbili shukuru kwa Jah.
  7. Green_Touches

    Vipi kuhusu hii biashara ya Maxmalipo, Selcom na nyinginezo zinazofanana?

    Heshima kwenu wadau, Kuna kiasi nimepata hapa, nahitaji kuwekeza katika hizi biashara za Maxmalipo na Selcom, kwa wazoefu tupeane ujuzi ipi ni bora na kamisheni zake ziko vipi. Karibuni.
  8. Green_Touches

    Wamiliki wa Bodaboda za biashara tukutane hapa

    Hapo kwenye comprehensive insurance, bodaboda zimefungiwa wanatoa comprensive kwa pikipiki binafsi tu..ndo shida ya bodaboda sijajua kwanini makampuni ya bima yamesitisha huduma hii.
  9. Green_Touches

    RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    Kuna ulazima gani? wa kutoa vyeti na ni mamlaka gani? inayomtaka atoe vyeti. na asipotoa kitatokea nini? Na kwanini haya yote yaibuke kwenye sakata la dawa za kulevya.
  10. Green_Touches

    Jinsi ya kutengeneza logo

    Mafunzo yanatolewa Ofisini, Tupo Mbezi luis (Mbezi ya Kimara), kwa wakazi wa Dar es salaam, ni Rahisi zaid ukifika Mbezi ya Kimara kituoni, Tupigie simu tutakufata ulipo. +255 657 729 394.
  11. Green_Touches

    Jinsi ya kutengeneza logo

    Logo (Nembo) hutengenezwa kwa software mbalimbali kama vile, Adobe illustrator, Adobe photoshop, Cinema 4D, Coral Draw na software zingine nyingi, hizo nilizokutajia ndio software muhimu zaidi. Kikubwa kabla ya kutengeneza Logo unapaswa kua na utaalamu yani (skills) kwani hii ni taaluma kama...
  12. Green_Touches

    Kwa wataalam wa ku-shoot video, hii ni aina gani ya camera?

    Acha kumdanganya Mwenzio, Hio sio Red Camera. Hio ni Black Magic, Camera ingia Google search Red Cemera na BlackMagic uweze kuzitofautisha na Wala hazifanani kimaumbo. Next time jibu kitu ukiwa upo una ujuzi kama huna ni vema ukakaa kimya sio kuingiza watu chaka.
  13. Green_Touches

    Kwa wataalam wa ku-shoot video, hii ni aina gani ya camera?

    Black Magic hyo, ni miongoni mwa Camera za kisasa zinazotikisa industry ya Videos.
  14. Green_Touches

    Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

    Mawazo finyu, mbn mnafikira potofu. Wats wrng Makonda akiombewa mnapungukiwa nn. #pigakaziachaumbeya
  15. Green_Touches

    Kwa mwanaume alie na utayari wa kuwa na familia

    Ila kua makini wengine wahunii aisee, watakula papuchi alf watembeeee.
  16. Green_Touches

    Taaluma ya Habari Tanzania imekuwa hovyo sana kufuatilia Suala la Makonda

    Watanzania wenzangu hususan wapondaji, Acheni fitina mwacheni kijana apige Kazii hii Nchi ilifikia pabaya. Mpk leo cjajua watanzania mfanyiwe nn mfurahi wasipo fanya majukumu yao na madawa ooh! Hii Serikali haiwajibiki mara vipngozi ovyo kabisa, wakipiga kazi bado lawama haziishi.
  17. Green_Touches

    Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Kwan uongo!, huu ni ukweli mtupu, nahisi hyo nguzo ipo kwako na inapiga shoti balaa.
  18. Green_Touches

    Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Hizi siasa za kick! Wakati mwingine si lazima kuzungumza hta km huna cha msingi cha kuzungumza.
Back
Top Bottom