Search results

  1. baba bora

    Kuna Uzi na utafuta ,ni tag.Asante

    Kuna Uzi unaeleza namna tunavyo kuwa programmed kufikiri Mwandishi ameelezea juu ya movies na athari zake katika kufikiri Mods naomba Uzi huu ubaki hapa
  2. baba bora

    Natafuta Fundi Mwalimu wa Computer

    Mwezi wa tisa napata likizo ya siku 50 .Napenda kutumia likizo hiyo kujifunza ufundi wa matatizo ya kawaida ya computer .Fundi yoyote aliye Dar es salaam na anawiwa kunisaidia kwa namna tutakayo kubaliana .Naomba ani pm mawasiliano yake. Asante
  3. baba bora

    Akili ya kimaskini ya CCM inatupeleka kwenye ufukara. Tuanze na Kinondoni na SIHA

    Siasa imekuwa biashara wanasiasa dhaifu wanahama hama vyama kama wehu. Wanasiasa dhaifu wanauza utu wao kwa vitu au madaraka . Biashara ya kununua wabunge na madiwani haina faida kwa kila wananchi .Ni vituko Wananchi tunapata hasara kubwa kodi zetu kutumika vibaya na watawala wabaya wakoloni...
  4. baba bora

    Nakuja Masasi Mtwara sina pa kufikia

    Kwa taarifa nilizopata tutafika Masasi saa tano usiku. Naomba kuuliza usalama maeneo hayo kwa muda huo. Pia gharama za malazi. Ahsanteni
  5. baba bora

    Shujaa;Tunajiuliza utarudi siku gani??

  6. baba bora

    Ulijiepusha Vipi na Urafiki Mbaya? Niliponzwa na Urafiki na Wabaya

    Wazazi wangu walikuwa wakinikataza kushirikiana, kucheza na baadhi ya watoto wenzangu Sikuwa msikilizaji nzuri wakati huo. Nilijiambia hawa Ndio marafiki zangu Nikiwa darasa la Saba rafiki yangu kipenzi alidokoa dukani kwao kiasi cha 30000 Alitumia pekee yake. Mzee wake alipogundua...
  7. baba bora

    Jambo linalonitia hofu kuu, Msaada wako muhimu

    Salaam Imekuwa Kawaida kwangu mwili kusisimka Yani kama nimemwagiwa maji ya baridi Nikipita maeneo baadhi Zaidi ya Mara tano nikiwa kwenye mizunguko najikuta nafika sehemu nguvu za kuendelea sina nageuza bila kufika nilipo kuwa naenda tena Sio kwa hiyari na jikuta tu nimegeuza Nimejaribu...
  8. baba bora

    Ni vidonda vya tumbo au juju?

    Salaam Wandugu tatizo langu Ni Hili tumbo kunyonga ni kila chakula kilicho pikwa kwa mafuta kama wali Mboga zilizo ungwa.... Wataalamu tatizo Nini Hapo Tiba yake Nini? Asante
  9. baba bora

    House4Rent Nahitaji Chumba cha Kupanga

    Nahitaji chumba cha kupanga Location Mtanda Lindi gharama isizidi 30000 kwa mwezi Umeme ni lazima
  10. baba bora

    Rais ni mtu wa kushutumiwa muda wote, hujui sababu ya kuwepo hapo

    "Kazi ngumu zaidi ya raisi Sio kufanya kilicho sahihi bali kutambua kilicho sahihi " Nianze kwa kusema maradhi makubwa yanayo msumbua bwana Pombe na wateule wake Ni Chuki, uhasidi na Uadui. Bwana Pombe na wateule wake wamekua wakijitafutia sifa kwa kuumiza Wengine. Ni watu walioshindwa...
  11. baba bora

    Clinical officers training center Lindi

    Mwenye Taarifa zote muhimu kuhusu hiki chuo. Pamoja na mazingira ya jirani kwa ujumla.
  12. baba bora

    Nyerere:Watu watachagua kifo kuliko fedheha.Siku hiyo, Tumepuuzwa vya kutosha.

    Amini na waambieni enyi waswahili wachache. Mnaotawala, mnategemea kweli kuwa mtawaongoza watanzania. Kwa lazima wakati wamepoteza matumaini na mnategemea kuwa watasalia wamekaa kimya Kwa amani na utulivu? Wakati Wengi wa wananchii wanapoteza matumaini. Unajenga volcano, volcano hii italipuka...
  13. baba bora

    Tundu Lissu: Kila tone la damu yangu litajenga muungano usiofutika

    Leo Hii niko hai pengine kesho inawezekana nisiwe Hapa .Nitaendelea kuwatumikia wananchi ....Mpaka pumzi yangu ya Mwisho. Na kama nikifa kila tone la damu yangu litajenga muungano usiofutika Tupo tayari kuangamiza nafsi zetu. Tunasema haya Hakuna anaye fikiri watavunja Nia zetu kwa silaha...
  14. baba bora

    On September 7,1996.Tupac Shakur Alipigwa risasi.

    Tarehe Kama ya Leo Tupac Shakur alipigwa risasi Las Vegas. Siku sita mbele alikufa September 13,1996. Ameacha utajiri wa mashairi yanayoishi hata sass. Ni wimbo gani toka kwa Tupac Shakur unaupenda. Mimi kuna changes na dear mama. Wewe je
  15. baba bora

    Sababu ya kukataliwa katika biblia(apokrifa)

    Vitabu vya apokrifa. Je umewahi Kusikia biblia yenye Vitabu 72? "Huu ni uvumbuzi Mkubwa watu wengi watakasirika"Habari hii inabadili historia ya ukristo wa mapema"maneno Hayo yenye kuchochea fikra yalisemwa na wasomi...
  16. baba bora

    Nimechagua open BBA

    Salamu Kwako. Baada ya kuchepuka Kwenda chuo Ni meamua kurudii mwaka huu Kusoma business administration accounting Open university. Kwanini open university? Kwasababu kuna shughuli za kimaisha nafanya nimeonelea open university itakuwa Ni rahisi kwangu ku balance muda. Lengo la uzi huu kwa...
  17. baba bora

    Hivi ni ruksa kusoma degree na diploma kwa pamoja vyuo tofauti?

    Wakuu. Hivi ni ruksa kusoma degree na diploma kwa pamoja Vyuo tofauti.kimoja kiwe open university
  18. baba bora

    Naomba kujuzwa kuhusu Business Administration Evening Class UDSM

    Wakuu na hitaji kujua Kuhusu business administration evening class utaratibu upoje Yani Ada, na muda wa kuanza na kumaliza vipindi nimeangalia prospectus na guide book haija elezwa Asante sana
Back
Top Bottom