Search results

  1. I

    Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

    Mkuu linganisha Zimbambwe na Irani kiuchumi na teknolojia Linganisha umri wa vikwazo baina ya nchi hizo mbili Mwisho Lengo ni utofauti wa kimaendeleo na teknolojia kwa Irani huku ni muda mrefu inavikwazo
  2. I

    Kenya: Madaktari wafanya maandamano kushinikiza Serkali kusikiliza madai yao na kuboresha stahiki zao

    Bora hao waliojaribu kizazi cha Ulimboka sijui cha sasa kama kinaweza hata tu kusema neno Maandamano
  3. I

    Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

    Endelea mkuu kututoa tongotongo bwana Nafkili uje uhitimishe kwa nini nchi ambazo hazina vikwazo hawaifikii Iran kwa uchumi na teknolojia hususani bara giza
  4. I

    CCM tumefika mwisho wa kufikiri, tuwape nchi Wapinzani

    Bwashee wewe unawafahamu wapinzani gani Tanzania ?
  5. I

    Hizi teuzi na tenguzi zimetosha, tujadili kipi tuache kipi?

    Watawala wanafahamu ni kipi haswa idadi kubwa ya wadaganyika hupenda kusikia toka kwa watawala wao Kwa kupenda kujadili matukio Nafkili kipaumbele kwa sasa itakuwa Makonda kutumbuliwa uenezi na kuwa mkuu wa mkoa Arusha Kwa mbali ulisahau ya Simba na Yanga na menyewe yananafasi kubwa saana...
  6. I

    Natafuta Rafiki wa Benaco Ngara Kagera

    Rafiki wa benaco Ngara Nikauliza upo unasikilizia kwa mchina Hujaelewa nn hapo We ni mkazi wa Ngara au mtu kuja
  7. I

    Natafuta Rafiki wa Benaco Ngara Kagera

    Mkuu upo unamsikilizia mchina nn
  8. I

    Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Hapa ndipo kulipo kiini cha tatizo Kwa kuwa ni fisi anamla fisi mwenzake haina shida kabisa Kama taifa tuache kuwa tunakaa kimya na kushabikia pindi atokeapo raia anakuwa anawasemea wale ambao hawana sauti
  9. I

    Ushauri kwa Kampuni itakayoshinda zabuni ya kutoa huduma ya Mwendokasi

    Kwa hiyo mkuu hutaki watanzania wenzako wapate ajira ? Au kunasehemu utawapeleka wakafanye kazi na wajipatie ujira na mshahara ? Shida sio wafanyakazi bali ni mifumo Jiulize kwa nini kipindi cha JPM watumishi wa umma kama sio wote walikuwa angalau wanatimiza wajibu wao , na alipofarika...
  10. I

    Rose Mayemba aomba tena Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe

    Unachokitafuta bwaa sheee utakipata tu
  11. I

    Wengi hawajui wakati Tundu Lissu anapatwa na Majanga ya kupigwa risasi alikuwa ni Kiongozi wa Bunge anayehudumiwa na Serikali!

    Sawa mkuu Ukipata ufafanuzu na majibu ya kile ulichouliza naomba unitag nami
  12. I

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Edit Sports bet EBBB1E odd 60 ni nimechambua team zinazoongoza league na inayofuata na zile ambazo zinashinda zipo onfire
  13. I

    Ramadhan kareem 2024

    Matendo yatakayokuwa yanafanyika kuanzia 1 Ramadan yakaendelee ,na sio kukoma mara baada ya 1Shawar
  14. I

    Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe

    Jambo jema Kwa mara ya kwaza mkurugenzi nitokako kahamishwa Saafi saana
  15. I

    Kero anazozitaka kusikia Rais Samia, zianzie hapahapa!

    5 Kupanda kwa gharama za maisha
  16. I

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    Mara nyingi dua mbaya kama yako hutoa matokeo kinyume chako Hongera kwa droo mliyotoka kuipata
Back
Top Bottom