Search results

  1. K

    majina ya bar/pub

    kumalija pub
  2. K

    Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

    Tatizo la mfa maji ccm, hawana masikio, hawana macho. Hata kujua alama za nyakati wameshindwa kusoma. Ccm ndo dalili ya mwisho hizi jamani, kijana yeyote from 40yrs come down kama wanashadadia ccm basi haijatambui
  3. K

    Nelson-Mandela AIST Arusha.

    jamani siku hizi kazi imekuwa ngumu kupata, ndo kama hivo wanatangaza nafasi lkn ni wanjanja tu na watoto wa wakubwa ndo wanapewa. kwa hiyo mkuu kama huna ndg ilishakula kwako zamani
  4. K

    Unazikumbuka enzi za Barua!

    mi nilikamatwa nayo, ili kuwa binde maana ilibidi wazazi waitwe kujulishwa
  5. K

    Ana mimba yangu

    madhara ya kumwambia mwenzio kuwa una mimba while unajua huna ni makubwa sana, naona wengi wenu mliochangia mmechukulia simple. Kwanza mjue kudanganya, au kusema uwongo kunapoteza imani kwa mwenzio. Vitu hivi, Trust and love vinaendana sana. ila nashukuru sana kwa ushauri wenu.
  6. K

    Ana mimba yangu

    Hodi JF; Siku za karibuni niliingia kwenye uhusiano na mdada mmoja ambaye nilihisi anafaa kuwa mke. Nikamtokea na kwa bahati nzuri akakubali tuwe wachumba, sasa si unajua tena mwanaume nikataka nipewe mzigo, mdada wa watu akataka tupime kwanza HIV nikakubali kwani nilikuwa najiamini. So...
  7. K

    Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

    Kwa kweli Manyara wametulia nywele kama za kiara bu
  8. K

    Mwanamke anapokupa masharti.

    Huyo mwanamke mcharuko tu, leo anakimbia nyumba yake kwa sababu ya mgeni wako, kesho ataondoka kwa sababu ya mama yako. achana na naye huyo ana bakila wala busara hana. Ana kudhalilisha huyo.
  9. K

    Yamenikuta, maji yapo shingoni, naomba ushauri wapendwa plse!

    tatizo kama hili la jamaa mi ilinipata baada tu ya kuoa: lkn mi nilifanya kiakili sana mpaka akaamua kukimbia mwenyewe. tofauti na huyu mi tayari nilzaa naye mtoto mmoja. Nilichofanya niliamua kumfanyia visa mara sirudi nyumbani, mara nafika nyumbani na mwanamke namtambulisha kama rafiki then...
  10. K

    Nawasalimu

    nawasalimu sana, nadhani mmepokea salamu, napiga hodi
Back
Top Bottom