Search results

  1. S

    Tundu Lissu anaivuruga CHADEMA, naomba achunguzwe

    Tundu Lissu ni kiboko yao, utake usitake.
  2. S

    Kikwete amsafisha Chenge; Asema Hakuna Rushwa Kwenye Kashfa ya Rada

    Ni kichaa ndio anayeweza kukata mkono unaomlisha. Ni mwendawazimu ndo anaweza kukata tawi alilokalia- maana haogopi kuanguka.
  3. S

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Wacha weeee molemo, lakini mpira unadunda Lipuli ya Iringa wanaweza kumfunga FC Barcelona. Si unamhonga tu refa halafu anawapa penati? Halafu refa akifukuzwa kazi anapewa mshiko na Lipuli iliyochukua Kombe.Shtuka. Unafikiri Lipuli wanaingia kwenye mechi hawapigi mahesabu???
  4. S

    Mbowe in informal meeting with JK

    Jumapili iliyopita (15 Jan 2015), Rais JK na Mbowe walikutana kwa siri, kilichojadiliwa pia kikawa ni siri. Gazeti la kiukweli la kimombo' The citizen' limetoa nyeti hizo ukurusa wa mbele bila chenga. Mbowe akaulizwa kwa simu, naye akikri kuwa ni kweli walikutana. Alipoulizwa mlijadili nini...
  5. S

    John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

    zitto mla rushwa mkubwa. Hapati uenyekiti aende nccr
  6. S

    John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

    NSSF walimhonga nyumba maeneo ya tabata ili yeye awapigie debe wapewe mgodi wa Kiwira. Ushahidi upo. Hawezi kuwa mkiti. Vipi uswahiba wake na Jack Zoka, NAIBU MKURUGENZI WA USALALA WA TAIFA AMBAYE TULIJUZWA NA MWANAHALISI KUWA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU WALIKUWA WANAPIGIANA SIMU ZAIDI YA MARA...
  7. S

    John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

    Zitto yuko katika faili ya hosea wa takukuru kuna ushahidi wa uhakika kuwa yeye na kamati yake walikula posho mbili kwa siku moja. Anaweza kamatwa siku yo yote hosea akiamua. Zitto anajua hilo.
  8. S

    John Mnyika awe mwenyekiti CHADEMA...

    1Zitto na kamati yake wote walikula posho mbili iliyofanya Bunge lishindwe kumwondoa Hosea wa TAKUKURU. Kwa hiyo, TAKUKURU saa yoyote inaweza kumkamata zitto ikitaka. For the time being ccm anafanya vile vitu serikali imekubali afanye. Akitoka anakamatwa zitto kama anabisha akanushe hili...
  9. S

    CHADEMA bila Dr Slaa inawezekana?

    Hizi ni hisia zako, hakuna mtu toka ccm anayeweza kumzidi Dr Slaa. Dr Slaa ni chaguo la watz na ccm na chadema wanalijua hilio. Zingine zote ni story za kufurahisha baraza tu.
  10. S

    Mandela na Lema wafanya uamuzi unaofanana - kwenda mahabusu kwa hiari

    Excellent Aweda, kweli ccm wana kazi, kama nyinyi ndo mnajiandaa kujinga na akina lema huko mbeleni magamba wataponaje?
  11. S

    Kubenea ni kibaraka wa CHADEMA!!!

    CUF NGANGARI HOVYO. UCHA KUWA KUWADI WA MAFISADI. Unatumia masaburi kufikiri wewe.
  12. S

    PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

    Wale wanazi wa akina Kobelo, faiza faxy, ms, nk wajitokeze sasa kwa aibu.
  13. S

    Dr. Slaa na CHADEMA, mpo wapi?

    Wewe sijui unafikiri kwa kutumia nini? Hivi, wewe jana ulilalama kuhusu madiwani Arusha. leo umekuja na mengine. Nape hajambo. Vipi kuhusu magamba. Au una salama za shangazi wa magamba, CAFU?
  14. S

    Zitto Kabwe kumponza Dr Kitila Mkumbo?

    Zitto anatiwa mashaka mengi hivyo, na yeye pia anajiingiza ktk mtego huo kwa kuungana naye bila sababu ya msingi. Huko ndiko wanakoponzana.
  15. S

    Zitto Kabwe kumponza Dr Kitila Mkumbo?

    Zitto Kabwe na Dr Kitila Mkumbo ni marafiki wa muda mrefu. Urafiki huo ulianza Chuo kikuu cha Dsm pale ambapo Dr Kitila alimbeba Zitto hadi akafanikiwa kuwa Katibu DARUSO. Baadaye Zitto akaukwaa ubunge. Makada wa CCM wakatofautiana kuhusu mkataba wa Buzwagi. Wakampa Zitto deal la kulipua...
  16. S

    EXCLUSIVE: Ushirikiano wa Makampuni ya Mafuta na CCM

    Mwanakijiji naomba niwatetee watanzania uchaguzi uliopita. They voted out CCM. Wakabaka demokrasia. Labda kama tuwalaumu kwa kuface mabomu kulazimisha matokeo halali yatangazwe. Lakini kura walipiga vizuri.
  17. S

    Babu aliyetaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa kwenye TV agongwa na gari na kufariki...

    Faiza foxy atuambie kifo cha ghafla cha Ipiana John Samwel Malecela, mara tu baada ya kushinda nafasi ya uenyekiti wa uvccm mkoa wa DSM. Huku baba yake akiwa ktk mapambano makali na wana mtandao wa JK.
  18. S

    Babu aliyetaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa kwenye TV agongwa na gari na kufariki...

    Chacha wangwe aliuawa na chama cha Mafisadi. unataka tukupe ushahidi? Nenda kawaulize akina Waziri mshindwa Masha, El, Nazir nk. Nchimbi nani hii watakuambia ukweli.
  19. S

    Tanzania: Ni yapi yaliyojiri 1995?

    Kwani tatizo ni nini? Kwani kama Mbowe alipewa tatizo ni nini? Kwani ni dhambi? Ukichukua fedha za fisadi ili ufanye A. Lakini wewe ukichukua fedha hizo ukazitumia kufanya B. Basi hiyo siyo Rushwa, bali mpewa fedha ana Busara. Heko Mbowe, tumia fedha hizo kuijenga Chadema.
  20. S

    Iddi Azan awaka bungeni

    Nakubaliana na masaburi kuhusu wabunge wa chama chake tu.
Back
Top Bottom