Search results

  1. Mgariga

    ATCL: Abiria wote kuvaa barakoa wakati wote wa safari katika kipindi hiki cha COVID-19

    Leo asubuhi bombardier ilikuwa inazunguka angani hapa Dodoma muda mrefu haitui, kulikoni? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mgariga

    Naombeni majina ya nyimbo nzuri RC

    Mkuu salam nyingi na baraka tele kwako huko uliko, hebu weka album/CD ya MVUA YA MAWE, MT. MONIKA SINZA naipenda Ila nlipoteza CD take enzi hizo hakuna computer, natanguliza SHUKRAN NYINGI
  3. Mgariga

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    With due respect RUBANI SHEBBYDO, I SALUTE YOU, UMENIGUSA MPAKA INNERMOST PART OF MY HEART N SOUL, OMBI LANGU NI UTUWEKEE SKETCH YA NDEGE-ANY MODEL IKIONESHA HIZO FLAPS, VERTICAL, HORIZONTAL STABILIZERS, AIR SPEED SENSORS, KWA UJUMLA SEHEMU ZA NJE ZA NDEGE TUNAZOZIONA ILI NIKIWA KARIBU NA NDEGE...
  4. Mgariga

    Kwa sisi wanaume tu chaguwa size yako,Wanawake mnaruhusiwa kushauri

    Pale ambapo majibu yote in sahihi lakini unatkiwa uchague sahihi zaidii!!
  5. Mgariga

    Spea ya isuzu 250 D inahitajika

    Picha inajieleza, mwenye hicho kifaa Tafadhali...tuwasiliane
  6. Mgariga

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Wale mnaolalamika hamko karibu na TV jamani nenda kwenye play store etc etc pakua app ya ITV Tanzania uangalie live isidingo kupitia simu yakoo. Mubasharaaa mi nafanyaga hivyo nkichelewa kwa tv
  7. Mgariga

    Naombeni tabia za wanaume wa Kipare kwenye mahusiano!!

    Wanajua majamboz alafu wana true love, pia hata mkilala njaa hawasemiii kwa kitaa, wana kitu kinaitwa "economize" na sio misery kama wengi wanavyowatania
  8. Mgariga

    Picha: Jinsi balozi Wa Urusi alivouliwa

    Huyu dogo hakuuwawa nayeye
  9. Mgariga

    Kuhusu Dodoma Airport length 2.5km

    @ akazuba ..in short kiwanja cha namna hiyo ni kidogo tunaita non instrument... Hebu malizia hiyo non instrument..... Imekatikia au ile picha imekuwa super imposed kwenye maandishi ya mwisho. Nimeendelea kuelimika.
  10. Mgariga

    Kuhusu Dodoma Airport length 2.5km

    But nafikiri no lazima ndege zitue na kuruka upande huo mmoja wenye cross. Leo nimepata shulee
  11. Mgariga

    Kuhusu Dodoma Airport length 2.5km

    asanteni. Hata kama uwanja ni mdogo ISSUE ni kuwa you can land at night
  12. Mgariga

    Kuhusu Dodoma Airport length 2.5km

    Sasa 500 ni kwenye mustatili au kwenye msalaba huku mwanzoni? @ akazuba
  13. Mgariga

    Kuhusu Dodoma Airport length 2.5km

    Akazuba asante sana kumbe ni meter 500 ndo zina taa pande zoteee
  14. Mgariga

    Kwa hili la HESLB wabunge mtutetee

    Naunga mkono hoja, watu wengi tayari wana mikopo lukuki kwenye salary slip zao alafu uongeze makato tena?
  15. Mgariga

    Realism vs idealism

    you seem to know a bit of philosophy eehee, a very difficuly discipline....waache waje
  16. Mgariga

    UDART - kampuni iliyoshindwa au wamezoea kazi au haina uongozi makini

    Leo tarehe 18/10/2016 usafiri kwa kutumia mabasi ya mwendo kasi ni heri daladala mara elfu moja. unasubiri gari kwa saa moja kituoni wakati kwa daladala hata ijae kiasi gani itachukua dakika kadhaa inakuja kama ni kubanana sawa tu unasonga mbele. Hivi hao viongozi wa UDART mnajua mnalopaswa...
  17. Mgariga

    Achilia bombardier kiduchu, mie ningewaletea Air Tanzania ndege hii

    KAMA ULISHAWAHI KUANGALIA DOCUMENTARY KWENYE NATIONAL GEOGRAPHIC KUHUSU WANAVYO SAFIRISHA MABAWA YA NDEGE TOKA SEHEMU MOJA KWENDA ASSEMBLY POINT AMBAYO NAFIKIRI IKO TOULOUSE UFARANSA UTAGUNDUA KUWA HIYO NDEGE INATUMIKA, BAWA LINAINGIZWA KAMA LILIVYO, VIPANDE VYA NDEGE HUTENGENEZWA KWENYE PLANTS...
  18. Mgariga

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    ==inaitwa kwa lugha ya kimombo lablab. Aloo nilipe kwa consultation.
  19. Mgariga

    Hii ndio ndege ya ATCL iliyokamilika, tayari kwa kuja Tanzania

    sasa mkuu ice aka barafuu nikushukuru kwa highlights za q400, niulize kuwa hao watakao deliver, kwanza wanatua mara ngapi huko njiani? Pili kama wanavuka atlantic ambapo urefu wake/distance pwani ya amerika mpaka west africa ni more than maximum non stop distance ya q400 ambayo ni nafikiri...
  20. Mgariga

    Kuhusu Dodoma Airport length 2.5km

    Wataalam wa aerodromes wanifahamishe kuwa hii sentensi inamaanisha nini hasa hapo red: ''Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma unahusisha njia ya kuruka na kutua kwa ndege, yenye urefu wa kilometa 2.5 na mita 500 za taa za kuongozea ndege na usalama wa kuruka kwa ndege'' Je inasaidia nini...
Back
Top Bottom