Search results

  1. Mr DIY

    Mtandao wa tigo una "filter" text meseji zetu

    Hawa jamaa kwenye meseji ukiandika neno sex au sexy jua hiyo meseji itaenda ila haiwi delivered abadani... Hebu tuambie neno lingine ambalo halikubali msj kwenda....
  2. Mr DIY

    Natafuta DIY enthusiasts humu tubadilishane mawazo

    Mimi naamini hakuna binadamu aliezaliwa hapa duniani akashindwa kufanya chochote ambacho binadamu mwenzie anafanya bila shida, siongelei professionals ambazo zinahitaji special training hapana, maana halisi ya DIY ni kile ambacho unaweza kufanya mwenyewe, DO IT YOURSELF. Kwangu mimi nimejikuta...
  3. Mr DIY

    Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

    Kwa wanaume wenzangu habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika kama nilivyoitambulisha hapo juu. Ikiwa una familia au unaishi bachelor tafadhali zingatia hili linakihusu. Nyumbani kwako hakikisha mwanaume hukosi essential tools kadhaa kwa ajili ya kupunguza changamoto...
  4. Mr DIY

    Kwenu wanawake: Lini mtatuelewa wanaume!

    Kuna mwenzenu huku (wife) amenitumia msj zenu za ku forward sijui katoa wapi akisisitiza niisome (nita share hapo chini), nikakumbuka wanawake wengi huwa wanasahau kwamba wanaume hatujaumbwa kusikiliza maneno mengi ili kupata point moja, niliishia kusoma heading na pale mwisho nikagundua alie...
  5. Mr DIY

    Mihan gas wanajaza mitungi vizuri kuliko hawa Oryx?

    Habari wanajamvi, kuna jambo limenifikirisha kidogo, hii ni baada ya kununua mitungi miwili ya gas ya ujazo wa kilo 50, Mihan gas na Oryx gas, sasa nilipofika home niliunga gas valve yenye gauge ya kusoma pressure ya gas(inatumika kujua kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi) nikapata matokeo...
  6. Mr DIY

    Ujenzi wa makanisa: Picha za majengo ya makanisa

    Katika pita pita zangu nimejikuta naanza kuvutiwa na designs zinazojitokeza kila siku za makanisa, ujenzi wako una staajabisha sana, tuoneshe jengo la kanisa la huko kwenu ikipendeza tupe picha za ndani na nje hata historia kidogo. Hii ni RC Geita, hili ni jipya kabisa Hii ni RC Kibosho...
  7. Mr DIY

    Miaka 24 still strong barabarani, Yamaha 4gl-90

    Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya shughuli za posta huko japan. Leo huyu mnyama ana miaka 24, production ya 1997, mpaka leo sijui kapita...
  8. Mr DIY

    Nissan hardbody: Jeneza linalotembea.

    Kila mtu na kila siku tunakutana na hizi gari huko barabarani, makampuni, watu binafsi na hata taasisi za serikali wanatumia, je wanajua kuwa NCAP wamelipa score ya sifuri kwa kuwalinda walio ndani ya gari hili wakati crash hasa kugongana uso kwa uso, au hata ubavuni? Dhahiri hili ni jeneza...
  9. Mr DIY

    Niulize maswali kuhusu Sonography

    Mwenye shida au kutaka uelewa kidogo kuhusu hii professional karibuni kwa maswali
  10. Mr DIY

    Chaturbate

    Anae wajua wabongo wanaoenda live tupe id zao
  11. Mr DIY

    Dah hizi CHUCHU za Ruby

    Gffddss
  12. Mr DIY

    BATTLE: Tanzania Medical Doctors vs Assistance Medical Doctor and COs

    Hizi ni kada mbili za utabibu katika mfumo wa elimu Tanzania, medical doctors (MD) ni madaktari waliosoma doctor of medicine (five years) na Assistance medical doctors ni madaktari waliosoma advance diploma ya clinical medicine (total of 5 years). Kada hizi mbili zimekuwa na ushindani na hata...
  13. Mr DIY

    Fuel consumption ya nissan xtrail

    Baada ya kuishi na bby walker miaka kadhaa sasa nmeamua kupata gari ya offroad na safar kwa budget yangu naona nissan xtrail itanifaa sana, kwa mwenye experience nayo hasa katika fuel consumptions anisaidie
  14. Mr DIY

    Mwanafunzi KCMC MD4 apotelea baharini Pangani

    Habari za asubuhi. Jana jioni Mwanzafunzi wa Chuo Kikuu cha KCMC James Keffa alizama baharini eneo karibu na Sea Side. Hadi sasa hajapatikana. Juhudi za Kumtafuta bado zinaendelea. Dkt. JUMA MFANGA C&p Inasemekana alikuwa anaogelea eneo hilo la sea side (jina la hotel)
  15. Mr DIY

    Mikopo NBC

    Waungwana
Back
Top Bottom