Mkuu in my life, nilikutana nayo moja ambayo unaomba iishe upesi maana ukikatisha utaonekana doro, usiku huo huo nikatoa shuka na kupeleka mtoni kurudi chumba chote hakikaliki mpaka asubuhi. Lakini ninavyoelewa, ni ugonjwa ambao unahitaji tiba, aidha harufuzingine ni za kawaida kuonesha upo...
A na B ni watendaji in future na C ni kiogozi wao, D ni mwanasiasa, yaani yuko juu ya wote, he is a risk taker. The more you take a risk the more you get big returns.
He is a real man in the real sense, we the rest, are coward. Get well soon, Tanzania adores you more than you would imagine. Your resemblance, is truth. Ukweli humweka huru kila mtu aaminiye.
Sure mkuu, kuna umuhimu wa kupima ili kujua sexual status za kila mmoja, bahati mbaya wamama ndiyo huwa wanalaumiwa. na tabia ya mwanaume kula chipss au diet isiyoeleweka inachangia.
Sawa kabisa Mkuu, hali hii pia ipo nchin Malaysia ambapo barabara kama inayoanzia Uwanja wa ndege imejengwa na Taasisi binafsi na watumiaji hulipia road toll. Serikali imeruhusu private sector kuform partnershp na Serikali ambayo yenyewe hupata mapato yake kutokana na kodi. Miundombinu yake ipo...
Usimkubalie, ana hasira kwa kupoteza muda na vitu vyake kwako bila hata kukupa busu papuchi ndo kabisa!! Atakuudhi mbele ya safari. Jua kwamba mwanaume akikupenda sana na akaona na kufeel your inner most, hatarudi tena kwako na atakuwa amemaliza na mwisho atakudharau mpaka utajuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.