Search results

  1. mic69

    Je maneno haya utafsiriwa kwa usahihi " Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, "

    Yeremia 17:5 BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
  2. mic69

    Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

    Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
  3. mic69

    Nataka nikaishi Burundi au Rwanda; naombeni ushauri na muongozo cha kufanya

    Wasiliana na Mr mwiguru ana Access nzuri
  4. mic69

    Vodacom sasa hii imezidi, tunaomba msitishe huu ujumbe wenu ambao unachukua zaidi ya sekunde kumi kuhusu uhakiki wa namba

    Hili Jambo ukweli Lina udhi sana ,sijui wanakwama wapi? Tulishapewa miongozo ya kusajili laini na kuzihakiki Sasa sijui wanawashwa na Nini na hii mi kelele
  5. mic69

    Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

    Utambalisho wa majina inaonekana Ni mkiristu, lakin maswali yako yamelenga Nini kiongozi
  6. mic69

    Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

    Maisha yana changamoto sana, kuijua kesho yako ndio mtihani
  7. mic69

    Rusumo - Rusahunga njia kuu kwenda Dar taswira halisi ya awamu ya tano - ukweli mchungu

    Hii ni Jana tarehe 12/02/2020 ukweli ni Hatari sana hii njia kulala porini ni kawaida sana kama hapo tanker limedondoka limefungua njia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mic69

    Barabara ya kutokea Rusumo haipitiki kwa siku mbili sasa

    Tumepita tarehe 12/02/2020 ukweli hii njia ni majanga inatia watu umasikini Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mic69

    Kukaribishwa JF

    Asprin kumbe unavituko kiasi hicho
  10. mic69

    Kukaribishwa JF

    Mpambe wa wageni
  11. mic69

    Kukaribishwa JF

    Unataka kumfanyaje mwenzio ? Jinsia amekwambia anatafuta mchumba?
  12. mic69

    Kukaribishwa JF

    Karibu
  13. mic69

    Dawa ya kufufua maiti

    01 April raha sana
  14. mic69

    Kwanini Diamond kila wakati tunasema atapotea lakini kimya?

    Maono ya kuona anguko ?sema fikra za kichawi ndio zina kuangaisha
  15. mic69

    Kwanini Diamond kila wakati tunasema atapotea lakini kimya?

    Akipotea unafaidikaje?
  16. mic69

    Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

    Inawezekana maana Tz nikubwa lakin swali fikirishi pamoja na kua mteja pale Wa Chakula lakini mabinti zake walikuvutia zaidi kama unavyosimulia yawezekana shemeji yetu alipatikana hapo na ikawa chanzo cha wewe kuwa mjuzi wa aya mambo maana nirahisi kuchota maarifa kwa Mrs?
  17. mic69

    Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

    Nadhani ni Kongo sio Tanzania Kwa maelezo yako inaonyesha eneo hili lina fly over za asili
  18. mic69

    Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

    Ata ivo nakupongeza sana mada zako zinatufungua macho tulio wengi ni story lakin zimebeba ujumbe unaojitoshereza . bigup
Back
Top Bottom