Search results

  1. Fred Katulanda

    HIVI NDIVYO NYUKI ANAVYOTENGENEZA GUNDI YAKE (PROPOLIS).

    Wengi tumesikia watu wakisema au kutaja Gundi ya Nyuki, ambayo kwa ufugaji wa Kisasa imeanza kuvunwa Kama zao la Nyuki pia tofauti na Asali. Ili kutambua gundi hii hupatikanaje tunapaswa kujua kutokana na nyuki kuwajibika kuitunza asali au kulinda makazi yao, Mungu amewajalia uwezo wa kuzalisha...
  2. Fred Katulanda

    Sasa unaweza kufuga Nyuki nyumbani kwako

    Jambo hili nimekuwa nikiulizwa sana na watu wengi iwapo mtu anaweza kufuga Nyuki wanaoudunga mwiba, (wengi wamezowea kusema Nyuki wanaouma) nyumbani, jibu lake ni ndiyo inawezekana. Kivipi, hapa ndipo inabidi nikupe shule maana Nyuki ni hatari sana wanaweza kusababisha madhara makubwa kwa watu...
  3. Fred Katulanda

    Natafuta Mbegu za Vibuyu kwa ajili ya Kilimo

    Zinahitajika haraka, mbegu za Vibuyu (Calabash Seeds) siyo Maboga, nasisitiza Kibuyu, hivyo kwa yeyote mwenye nazo au anayemfahamu aliyenazo awasiliane na What's App/Simu +255622 642620. Ushauri, mawazo au maelekezo kuhusu upatikanaji wake pia unapolelewa.
  4. Fred Katulanda

    Inahitajika Incubator kwa ajili ya kutotolesha mayai ya bata

    Wadau, mimi mfugaji wa Bata nahitaji Mashine za kutotolesha mayai (Incubators), lakini iwe na uwezo wa kutumia umeme na Solar na Unaweza kuwa ya mayai 50-90+. Yeyote mwenye kujua aina nzuri kwa mayai ya Bata anaweza kunishauri. Natanguliza shukrani.
  5. Fred Katulanda

    Kilimo cha Canola (Rapeseed) kinaweza kutupunguzia uhaba wa mafuta ya kula

    Nimeangalia na kusona sehemu ya maandiko kuhusu mmea aina ya Canola au Rapeseed, ambao unaweza kuzalisha mafuta ya Kula zaidi ya Alizeti. Wenzetu Kenya wenye mashamba makubwa wameanza kulima, licha ya kuwapatia faida lakini kimekuwa ni kama kilimo cha muda kusaidia kurutubisha ardhi au...
  6. Fred Katulanda

    Rostam Aziz akubali yaishe, atoa hundi za malipo ya waliokuwa wafanyakazi wa New Habari (2006)

    Mwenyekiti wa Kamati ya waliokuwa wafanyakazi wa New Habari(2006) Ltd, Bw. Michael Budigila, akionyesha hundi zenye thamani ya sh bilioni 2.9 zilizotokewa na Rostam Aziz ambaye ni mmiliki wa Kampuni hiyo ili kulipa mafao yaliyokuwa yakidaiwa na waliokuwa wanyakazi wa kampuni hiyo. Pia, soma...
  7. Fred Katulanda

    Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe

    Wafanyakazi zaidi ya 200 waliokuwa wameajiriwa kwenye kampuni ya new habari(2006) limited inayomiliki magazeti ya Mtanzania na mengine wameiomba Serikali imshinikize mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz kuwalipa fedha zao ambazo ni mafao yao. Msemaji wa wafanyakazi hao, Arodia Peter amesema...
  8. Fred Katulanda

    Fahamu kinachosababisha asali kuganda?

    Kumekuwa na maswali mengi kutoka kwa watumiaji asali ambao wengi wamekua wakiuliza kutaka kujua kama asali iliyoganda ni nzuri au imechakachuliwa. Wengine wamekua wakiamini asali iliyoganda imechanganywa na sukari guru. Lakini hata baadhibya wafugaji na wauza asali pia wamekua wakiogopa kuiuza...
  9. Fred Katulanda

    Bee Venom: Zao la Sumu ya Nyuki na uvunaji wake

    Nchini Tanzania ni kama maeneo mbalimbali barani Afrika, kumekuwa na ufugaji wa nyuki kwa ajili ya uvunaji wa mazao yake ili kujipatia fedha lakini bahati mbaya kumekuwa na uvunaji wa mazao machache huku mazao mengine yakiwa hayajulikani. Kwa ufugaji wa kisasa Nyuki huvunwa mazao sita ambayo ni...
  10. Fred Katulanda

    Fahamu mbinu ya kugawa makundi ya nyuki uliyonayo kujaza mizinga mipya isiyo na nyuki

    Habari wadau; Leo naomba nidokeze namna ya kugawa Mzinga wenye nyuki ili kujaza mizinga yako mipya isiyo nyuki kwa njia ya haraka badala ya kutumia njia ya awali ya kuwatega na kungoja waingie jambo ambalo linaweza kukuchelewesha na kuchukua muda mrefu. Kwa mnaofuga au mnaotarajia kuanza...
  11. Fred Katulanda

    Fahamu namna ya utegaji Nyuki ili waingie kwenye mzinga

    Kutega Mizinga ili iweze kuingia nyuki ni sehemu ya utalaamu unapaswa kufanyika kwa makini. Wafugaji wapya wengine wamekuwa wakitega bila kupata mafanikio kutokana na kukosa ujuzi, hapa ninawaletea namna ya kufanikisha utegaji na nyuki waweze kuingia ndani ya mzinga. Hatua za kufuata; 1. Chukua...
  12. Fred Katulanda

    Dk. Kigwangalla atangaza rasmi kuwania urais 2015

    Tamko la nia ya Dkt. Hamisi Kigwangalla (MB) kugombea Urais 2015 Ndugu viongozi mlioko hapa, wageni waalikwa, wanahabari na watanzania wenzangu mnaonisikiliza; Ni heshima kubwa sana kwangu kupata fursa hii. Ni katika nchi chache sana duniani, mtoto wa maskini kama mimi, aliyewahi kutembea...
  13. Fred Katulanda

    Leo ni siku ya Prof. Kigoma Ali Malima (Julai 16)

    Mwaka 1995 ndiyo mwaka ambapo vyama vingi vilianza nchini Tanzania, lakini ni mwaka huu ambapo mwanachama wa CCM na aliyekuwa waziri katika serikali ya awamu ya Pili alipoamua kujiondoa CCM. Nakumbuka ilikuwa 16/7/1995 siku hii CCM walipata mtikisikiko Mkubwa na kumfanya mwalim Nyerere...
  14. Fred Katulanda

    Kwa heri mie nimeamua kujinyonga-Wakili Nyaronyo Mwita Kicheere

    Na Nyaronyo Mwita Kicheere Mambo mengi yamefanyika nchi hii nikayapuuzia lakini hili la juzi limezidi kipimo nami siwezi kulivumilia kwa hiyo nitajinyonga tu ili kuondoa udhia. Siko tayari kuendelea kutazama upuuzi huu, ushenzi huu, upumbavu huu, uhuni huu, uhayawani huu, umbumbumbu huu na...
  15. Fred Katulanda

    Viongozi Tanzania wanakera

    Ndugu Watanzania, Nimemsikiliza Waziri Mkuu mheshimiwa Mizengo Kayanza Piter Pinda kwenye hotuba yake leo akiwa bungeni sikuamini kuwa na yeye amekuwa sio mototo wa Mkulima tena bali Fisadi na Mtetea maovu ndani ya chama Tawala. Naweza kusema Pumu imepata Kikohozi. Waziri Mkuu ameonyeshwa...
  16. Fred Katulanda

    Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

    Utata umeibuka kuhusiana na kifo cha Ofisa Usalama wa Taifa, Peter Tyenyi, ambaye mwili wake umekutwa ndani ya kisima cha maji kilichopo eneo la ofisi za idara zilizopo Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Akizungumza kwa njia ya simu, msemaji wa familia ambaye...
  17. Fred Katulanda

    Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

    Mwangalie Serukamba hiyo ndiyo maana na neno lake Bungeni
  18. Fred Katulanda

    Cheka taratibu hii ni siri ya Taifa

    Samahani nimekuibia siriya Usalama wa Taifa, Eti Bi Kidude ameacha watoto wawili tu, Pinda na Wasira!! tafadhari usimwambie mtu. Watakung'oa kucha bila ganzi.
  19. Fred Katulanda

    Kwa nini Matajiri wa Arusha, Kilimanjaro wanakufa?

    Njaribu kuwaza hasa katika kipindi hiki cha nchi, pengine inaweza kuwa hisia zangu zisiwe sawa ila ni muhimu zikatufikirisha pengine ikawa lipo jambo.1. Kwa nini Mabilionea wa Arusha na Kilimanjaro wanakufa wakati huu.a). Ni vifo vya kawaidab). Ama vinahusiana na siasa kuelekea uchaguzi 2015?2...
  20. Fred Katulanda

    2015: Urais wa damu Habari ya Mtanzania ya leo

    2015: Urais wa damu Jumatano, Machi 20, 2013 04:42 Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam *Genge hatari laibuka, CCM, Chadema vyahusishwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Chama cha...
Back
Top Bottom