Search results

  1. mpapamwali

    BAVICHA Muheza, Tanga: Kusoma ' Albadili' kwa waliompiga Mhe. Lissu risasi

    Albadir ni kisomo kibaya sana kimejibu asee
  2. mpapamwali

    Ongezeko la vijana wadogo walinzi, hii inaleta picha gani kwenye jamii?

    Wengi wao jeuri sana, wiki mbili zilopita nilienda hospital nikatibiwa fresh ile nataka kutoka kufika getini nikakutana nae msichana mdogo tu mlinzi. Akaanza haya kaka geuza hapo hapo hakuna njia huku ni kwa kuingilia tu. Nikamjibu naomba nipite ka leo tu kwa kuwa naumwa sana siwezi kuzunguka...
  3. mpapamwali

    Nini hukupa faraja pindi unapoishiwa?

    Faraja yangu ninapoishiwa ni kuwa na chakula + bundle. Kwa maana nitakuwa na uhakika wa kula na kuperuzi mtandaoni.
  4. mpapamwali

    Jambo gani unajutia kutolifanya pale ambapo umri uliruhusu?

    Najutia kuanza mapenzi mapema yamenicost sana sana nahisi ndio chanzo cha kupoteza direction.
  5. mpapamwali

    Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

    Hizi degree za chupi zinatusumbua sana huku maofisini kazi zenyewe hawawezi. Kutwa majungu na masafari tu ruhusa mwanzo mwisho matatizo ya kifamilia.
  6. mpapamwali

    Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

    Unataka video mtu akibanduliwa ama proof gani????
  7. mpapamwali

    Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

    Mlinzi wetu kapunguziwa mshahara kutoka 346,000/= take home mpk 270,000/=
  8. mpapamwali

    Job Ndugai: Wabunge mkiikataa bajeti mmejivua Ubunge wenyewe kwa mujibu wa Katiba

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  9. mpapamwali

    Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

    Mshahara huu umechelea sana kutoka mpaka nikajihisi nimetolewa nini kwenye Payroll[emoji23][emoji23]
  10. mpapamwali

    Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  11. mpapamwali

    Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Chondechonde mama msije mkajisahau mkaturudisha huko tena. nashauri hata Waziri Mkuu,Majaliwa akimaliza mda wake muacheni akalime huko lindi, ndio mazao ya mwendazake hayo. Huyu Pm tumuogope sana sana ana chembechembe za Hayati.
  12. mpapamwali

    Tabia 10 ambazo husababisha UMASKINI

    Ugonjwa wangu namba 5 na 6
  13. mpapamwali

    Naombeni tiba ya kisaikolojia: Mwenzenu nikipanda ndege huwa nawaza hatari tupu

    Mimi nina tatizo kisaikolojia nikipanda lift akili inahama kabisa. Juzi nilikuwa JNICC nilipata tabu sana. Nahofia lift itakata umeme.
  14. mpapamwali

    Mtu anaanzaje kumchukia ndugu yake?

    Ndugu wakweli siku hizi ni mke, watoto zako, baba&mama na washkaji. Mbali na hapo tegemea maumivu tu. Mimi siongei na mdogo wangu na wajomba zangu chanzo mali zangu na kazi yangu. Wanatamani nifukuzwe kazi, nimepeleleza wanasema najisikia naringa nimekuwa sasa.
Back
Top Bottom