Pumu inatibika kwa tiba za kienyeji,kuna rafiki yangu alikua anatatizo la pumu,tukaelekezwa twende kwa mpemba mmoja yupo tandika,akapewa dawa,baada ya kutumia sasa ni mwaka wa tano,hajasumbuliwa na pumu.
Namkumbuka tido,ndio aliyekuja kulifanya gazeti la mwananchi liwe bora kuliko magaxeti yote,kwa sababu ya misingi aliyoiweka kwenye gazeti la mwananch,mwanaspot na the citizen, mpaka Leo ni magazeti bora.amefanya mageuz makubwa sana kwenye tasnia ya habari Tanzania.
Tatizo hujaelewa,hapo Uganda tu,wanatoa degree in primary education.huyo mtu mwenye degree anatakiwa asome mambo ya Shule ya msingi,sio asome mambo ya sekondar harafu umpeleke akafundishe Shule ya msingi.sasa,niambie chuo gan Tanzania wanatoa degree ambayo inadili na elimu ya Shule ya...
Kwa nchi zinazoelewa umuhimu Wa elimu,hawawez kumchukua mwalimu Wa sekondar kumpeleka Shule ya msingi,sababu njia za ufundishaji wa Shule za msing na sekondar ni tofauti,content ya msing na sekondar ni tofauti,na kuna tofauti ya kiuzoefu pia.sasa sijajua wamezingatia vigezo gan?
Kuna nn,mpaka usifie.kurudia uchaguz kwa zaid ya billion moja,wakati Shule hazina walimu Wa kutosha Wa sayansi.hospitali hakuna madawa.au tusifie wanaosema tunabana matumiz.
Yaan hapa,kuwaweka hawa katika chungu kimoja,ni sawa na kuweka mlima Kilimanjaro na kichuguu,harafu unauliza nan mrefu.Angalia watu wana PhD,lakin kiingereza kinasumbua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.