Nilichinja kuku na kuwanyonyoa mwenyewe na kubeba ndoo moja kichwani na nyingine mkononi. Nikakatiza Jangwani hapo(nyumba zilikuwepo kipindi hicho) kutoka Moscow kwenda Kkoo kwenye mabucha kuuza hao kuku. Sikuweza kula kuku kwa miezi kadhaa. Namshukuru Mungu niko hapa leo.
Hili swala ni serious jamani. Binamu yangu kakutana na kaka mmoja mtanashati, ana hela na ana nidhamu sana. Sisi kama familia tukampenda. Dada bina wiki chache zilizopita katuambia anaachana na jamaa. Hatukumuelewa.
Nilimdodosa mpaka akaniambia. Jamaa ni kama hana hiyo naniliu. Si bamia tu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.