Search results

  1. Clemalus

    Flatt Screen mpya kuonesha black and white , na haitoi sauti, tatizo ni TV au ni king'amuzi

    Mrejesho: nimefanikiwa kusolve tatizo, shida ilikuwa ni waya wa zile plug nyekundu, nyeupe na njano, zilikua mbovu
  2. Clemalus

    Flatt Screen mpya kuonesha black and white , na haitoi sauti, tatizo ni TV au ni king'amuzi

    Nimejaribu kufanya installation ya Tv na aking'amuzi cha Star Times outdoor antenna, channel zinaoneka zikiwa in black and white, na haitoi sauti. Tatizo linaweza kuwa wapi ?
  3. Clemalus

    Rais Magufuli Asubiriwa Kwa Hamu Nairobi

    Mmmh... Mi nimewaza vifaranga tu
  4. Clemalus

    Flat Screen Smart Tv vs LED Tv

    Habari za weekend wakuu.. Mi mgeni wa Technologia, naomba mnisaidie tofauti kati ya Smart Tv Flatt Screen na LED Tv, na ipi unge recommend mtu kununua kwa matumiz ya familia
  5. Clemalus

    Wapi naweza Pata marudio ya habari ya Idhaa ya kiswahili BBC cha radio

    Habarin wana jamvi, najitokeza kupata kutafuta idea, ushauri wa wapi nitaweza kusikiliza kipindi cha redio cha BBC swahili ambacho kinaruka saa kumi na mbili jioni...
  6. Clemalus

    Natafuta mpenzi/mume

    Hlw
  7. Clemalus

    Mfungwa wa Maisha Papii Kocha atuma ujumbe kwa Rais Magufuli

    Barua yake inasikitisha sana, ipo siku uongo utajitenga, na ukwel utawekwa wazi..
  8. Clemalus

    Natafuta Mchumba wa kike, miaka 20 hadi 24

    Thanks mkuu
  9. Clemalus

    Natafuta Mchumba wa kike, miaka 20 hadi 24

    Asante mkuu
  10. Clemalus

    Natafuta Mchumba wa kike, miaka 20 hadi 24

    Noted mkuu, i will consider it later
  11. Clemalus

    Natafuta Mchumba wa kike, miaka 20 hadi 24

    Wenzangu akina nani hao ?
  12. Clemalus

    Natafuta Mchumba wa kike, miaka 20 hadi 24

    Thanks kaka
  13. Clemalus

    Natafuta Mchumba wa kike, miaka 20 hadi 24

    Asante. kama aliye andaliwa kwaajili yangu yupo humu, bas hakika atakuja aliyekusudiwa na Mungu awe mke
  14. Clemalus

    Natafuta Mchumba wa kike, miaka 20 hadi 24

    Habarin za leo wanajukwaa. Najitokeza hapa nikiwa na nia ya dhati kabisa ya kutafuta mchumba, ambaye tutakua nae kwenye mahusiano na hatimae kuoana na kutengeneza familia yetu. Nina umri wa miaka 26, naish Dar, elimu yangu ni Degree moja, nimuajiliwa serikalini. Natafuta mchumba wa kike mwenye...
  15. Clemalus

    Natafuta Binti/Mwanamke wa Kuoa

    Safi sana mkuu, Muombe Mungu, atakupa Mke mwema, iwe kutoka hapa JF, au Mtaani kwako, au kazini kwako, au kwenye any social network. Binafsi Nakutakia kila lililo heri
  16. Clemalus

    Natafuta mchumba

    Ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Kwa Mara ya kwanza najitokeza kuandika Uzi huu special kwaajili ya kumtafuta msaidizi/mke/mchumba aliyeandaliwa kwaajili yangu. Mimi ni kijana wa miaka 26, nipo Mwanza. Dini yangu mkristo na nina mcha Mungu. Elimu yangu ni ya Chuo, na ni mwajiriwa. Natafuta...
  17. Clemalus

    Tukiingiaga magetoni kwenu wakaka na mkituacha huo ni uzembe wenu

    Ni vizuri umetuamsha, japo baadhi ya wadada pamoja na kuingia geto mnaanza ooh tusubiri hadi ndoa, Mara ooh nataka niondoke tu... Sababu hata hazina mbele wala nyuma. Nanyi mkiwa mnawashwa, basis msiwe wabishi sana coz kila mmoja anae enjoy hii kitu, sio mwanaume tu
  18. Clemalus

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Mkuu na kwa wale addicted wa Geisha, vp dawa yao ipo pia?
  19. Clemalus

    Natamani kuanzisha NGO ya kuhifadhi na kutunza uoto wa asili

    Not for Profit Organization (NGO), kazi ya bure huwa ni kanisani mkuu coz tunatumainia dhawabu mbinguni. Sio katika NGO.....
Back
Top Bottom