Zoezi hili mara nyingi hufanyika ktk shule za bweni za wasichana ili kuwapunguzia msongo wa sexual hormones ambazo zikizidi mwilini huweza kuwasababishia mfadhaiko uitwao HYSTERIA.
Iliyobado ndani chini ya ardhi ktk muundo kama uji wa moto ni MAGMA na ikilipuka na kutoka nje ya ardhi na kuanza kutiririka sambamba na moto hiyo ni LARVA.
Sio tu Watutsi waliokuwa Burundi kulipa kisasi lakini pia mpaka wakati wa mpango huo wa genocide miongoni mwa jamii ya Wanyarwanda Watutsi ndio wanaoongoza kwa idadi kubwa ya Diaspora duniani na hata East Africa zingatia brotherhood kama ya Wanyankole ilivyo na nguvu huko Uganda na Congo DR na...
Mbona unaeleza na kufafanua hata zaidi ya yale aliyosema Rais? Ameagiza Mawaziri wa Tamisemi, Ardhi na Katibu mkuu kiongozi wakutane ili kuweka utaratibu rasmi wa utekelezaji wa agizo lake, lakini lengo kuu ni kuwadhibiti kinidhamu wataalamu hao wanapokiuka utaratibu bila kusubiri vikao vya...
Watu wasomi na taaluma zao wamewekeza na kujenga yard ya multi-million ktk natural drainage ya jangwani halafu unasema vipi natural calamities hazikwepeki?
Kweli kabisa na hata hiyo nafasi ya Auditor General imepata meno kiasi fulani baada ya mashinikizo toka kwa mashirika ya fedha ya kimataifa na nchi wafadhiri, vinginevyo nafasi ya Auditor General ktk nchi za kiafrika ni kama OBSERVERS tu.
Sasa hapo mchafu anayepaswa kubadilika ni nani? maana gheto ni lako wewe na vyombo vichafu vyako mwenyewe ushagharabagara wako binafsi, kwa ufupi kwa mujibu wa maelezo yako wewe binafsi ndio mchafu unayepaswa kubadilika na huyo mrembo ni mvivu tu ila msafi.
Uoga wa serikali kivipi kueni waelewa wa mambo senior officers wa TPDF wote lazima wamepitia National leadership academy hivyo kupangiwa majukumu ya kiuongozi ktk jamii ni jambo la kawaida kabisa.
District Commissioner ni political post? na commissioned officer wa ngazi ya kanali anashindwa vipi kushika post ya DC? kumbuka kuwa huyu amefuzu toka National leadership academy.
Mbona nimekujibu vizuri tu, OK kwanza kumbuka kuwa nje ya maandiko hakuna utambuzi juu ya Mungu na pasipo Imani ktk hayo maandiko hakuna fellowship ya uungu na mwanadamu sasa rehema za Mungu ni juu ya hao waaminio wasioamini hawaondoi sovereignty ya Mungu maana Mungu yuko highly committed kwenye...
Maandiko matakatifu ni nuru ya maangazio "Illumination" kwa wanadamu wanaoyapokea na kuyaamini suala la kuyapokea yaani kuyaamini ni hiari ya mwanadamu mwenyewe ndio maana kwa wale waliyoyaamini hupewa karama maalum ya ufunuo spirit of revelation, understanding & discernment of mythological...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.