Search results

  1. snochet

    Kujenga na kumiliki nyumba ya kuishi ni muhimu kwa watu wa kipato cha chini?

    Sio lazima kila mtu kufanya biashara! Na sio wote wafanye biashara moja!
  2. snochet

    Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

    Kuna haki, na vibali vya sekta binafsi kutoa huduma na vinadhibitiwa na mamlaka za serikali. Iwe usafiri,afya,ulinzi,maji,umeme etc zote zinahusu WATU. Afya za watu. Ulinzi wa watu. Mali za watu. Uhai wa watu.
  3. snochet

    Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

    Hao Serikali si wajenge hosipitali zao zenye hadhi kama wao! Wana haki ya kulalamika,wale ni wafanyabiashara kwenye kutoa huduma. Hawatoi msaada!
  4. snochet

    Kujenga na kumiliki nyumba ya kuishi ni muhimu kwa watu wa kipato cha chini?

    Sio kila mtu anaweza kufanya biashara,na sio kila mtu ana muda wa kufanya biashara. Pia,sio kila mtu anaweza kupata ajira, sio kila mtu anakopesheka. Upepo wako ulipo ndilo chaguo utakaloamua kufanya. Huwezi kufanya kila kitu na huwezi kuwa na kila kitu. Ova!
  5. snochet

    Jinsi DCI na makampuni ya simu wanavyopata taarifa za maeneo ya Wakenya hata kama GPS na Data zikiwa zimezimwa

    Triangulation hata Tanzania ipo---hujapata sida na polisi wewe bado.
  6. snochet

    Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    Enhee,,kelele za November zimefikia wapi? Watu wako palepale--hakuna cha TAA wala nini.
  7. snochet

    Ufanye nini gari yako inapofeli breki?

    Mimi yalishanikuta.........usiombe yakukute! Kwenye procedure ya pili--kupump--nadhani brake master ilikuwa inafanya kazi upande mmoja--gari ikageuka. Ni swala la sekunde mbili tu,gari iko miguu juu.Ni muhimu sana kuangalia mfumo wa brake mara kwa mara. Ni Mungu tu!
  8. snochet

    Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    Hivi kiuhalisia miaka ya 1700--watanzania walikuwa ni akina nani?
  9. snochet

    INAUZWA Massey Ferguson 135 na Massey Ferguson 158 Zinauzwa

    Ndio ukweli hazijatumika Tanzania--hivyo vifaa vyake bado ni original--Tanzania spare za kuunga unga ni nyingi--na hazina uhakika. Used in Tanzania ni presha za kujitafutia kabisa.
  10. snochet

    INAUZWA Massey Ferguson 135 na Massey Ferguson 158 Zinauzwa

    Habari, Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer. MF135-46Horsepower MF158-63 Horsepower Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za Mbuni-Diff Kubwa, PTO, drawbar na zina connection za hydraulics). Hazijatumika Tanzania. Bei MF135...
  11. snochet

    Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel

    Swali langu ni moja tu! Kwanini avae Boxer ya Jeshi? Hasa kwenye nchi yenye vita?
  12. snochet

    Dalili za kuonesha tayari una ugonjwa wa Figo: Wanywa Pombe Kali Mnasalimiwa!

    BAngi haina madhara bwana na wewee! Hayo ndio majani ya kondeni kwenye vitabu .
  13. snochet

    Dalili za kuonesha tayari una ugonjwa wa Figo: Wanywa Pombe Kali Mnasalimiwa!

    Ila hizi za kienyeji utanenepa kizembe sana!
  14. snochet

    Binti wa dukani ana mimba, aendelee kubaki ama aondoke?

    Muache akae---fikiria ni mtoto wako wa kike au dada yako.Tafuta mtu wa kubadili akiwa 3rd trimester na umshirikishe,. Pole,ndio changamoto za maisha.
  15. snochet

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Natabiri Sabaya , Nchimbi ,Happi
  16. snochet

    Hollow block maker machines

    Boss,Nimezitafuta sana pia bila mafanikio. Nina drawing nimepata na ninategemea kwenda kwa fabricator anitengenezee. Kama una mtu Malawi--naweza kukupa contact ya mahali pa kununua(Blantyre)
  17. snochet

    Msaada: Jinsi ya kutumia coodness za GPS

    Ndhani unamaanisha "Coordinates". Unaweza kutumia GPS device--ukishapata coordinates ukatumia app ya Q-GIS. Kila la kheri
  18. snochet

    Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

    My Take South Africa:Gari za SA nyingi zimetengenezwa kwenye plant zao wenyewe,na hivyo hata ukipata gari used bado ipo kwenye hali njema.Gari nyingi za SA pia ni full option--kwa mfano hilux ya SA na ya Japan,ya SA ina manjonjo zaidi inakuwa na auto windows,alloy rims,na nyingi turbo huwa ni...
Back
Top Bottom