Search results

  1. faru joni

    Ambaye amekuwa certified na isaca certified information system audit(cisa) naombeni msaada

    Habarini za masiku mengi ndugu zangu, naombeni aliyefanya kazi kwenye iyo industry ya INFORMATION SYSTEM AUDIT na ambaye amekuwa certified na iyo industry aje PM anisaidie kimawazo/ ki ushauri. Asanteni sana ndugu zangu.
  2. faru joni

    Kama unaweza kunisaidia kupata kazi Serikalini msaada wako tafadhali

    Habari za usiku huu ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta kazi serikalini Elimu yangu ni: Degree ya ICT Jinsia: Kiume Umri: 29 Uzoefu kazini: 4 Years. Uzoefu katika mambo yafuatayo: 1. Penetration Testing (vulnerability, sniffing, exploit & tools and social...
  3. faru joni

    Watanzania msaada wenu, nasumbuliwa na kifua

    Ndugu wana jamiiforum, naombeni msaada wenu, nasumbuliwa sana na kifua. Dalili ninazoziskia mpaka muda huu ni hizi hapa: 1. Kwanza nianze kusema sikohoi kabisa, nikimeza mate naskia mkwamo wa kitu kooni, ila nikimeza chakula naskia kawaida (kwenye kumeza chakula sisikii maumivu yeyote) 2...
  4. faru joni

    Msaada kukamilisha usajili wa taasisi isiyo ya kiserikali (NGO)

    Habarini ndugu zangu pole na miangaiko ya hapa na pale Niende kwenye maada moja kwa moja, Baada ya kuangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio yeyote nikaamua kuwatafuta wenzangu takribani 8 tuliosoma pamoja, tukaja na wazo wa kufungua shirika lisilo la kiserikali, baada ya kukubaliana kwa...
  5. faru joni

    Msaada anayefahamu direction ya hii kampuni ilipo

    Mimi natokea mbezi via morogoro road, nataka nipate msaada wa kufika mpaka kwenye hii kampuni ilipo
  6. faru joni

    Dear Sir/Madam I need your help

    I hope all is well! Thank you so much for all the leads and advice you have sent me so far as I look for a new CYBER SECURITY job I just wanted to let you all know I am still looking for a job opportunity (eithet parmanet, volunteering, or internship opportunity ) so if you hear of any open...
  7. faru joni

    Kuna ubaya kujitambulisha kwa kabila la mama?

    Habarini wana jamvi Kuna ubaya wowote kuandikisha au kujitambulisha sehemu kwa kabila la mama ukiachana na la baba (namaanisha la baba ukalitupilia mbali) Karibuni kwa mitazamo!!
  8. faru joni

    Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

    MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA Habari za muda huu kwa mara nyingine tena Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu...
  9. faru joni

    Kwa anayefahamu mtu anayefanya kazi Zantel au anayefanya kazi pale naomba mawasiliano yake

    Habarini za muda huu ndugu zangu wana JF Kuna mtu week iliyopita alinidokeza kuwa pale Zantel naweza pata kazi ya kujitolea kwa muda Nilienda pale na mlinzi akiitaji nimuachie document zangu (cv) yeye pasipo kupata nafasi ya kuziwasilisha mwenyewe kwa wausika Sikuwa na uhakika kama...
  10. faru joni

    Kwa ili naombeni msaada wenu ndugu zangu

    MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA Habari za muda huu kwa mara nyingine tena Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu...
  11. faru joni

    Naomba kazi hata ya kujitolea, nina shahada ya Ulinzi na Usalama wa miundombinu ya teknolojia

    Habari za muda huu kwa mara nyingine tena! Natafuta kazi ndugu zangu Watanzania wenzangu Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu Naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu Nimezunguka sana kwenye viwanda...
  12. faru joni

    Watanzania nisaidieni kazi iliyo halali

    MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu Nimezunguka sana kwenye viwanda mbalimbali hapa...
  13. faru joni

    Naombeni kazi yoyote halali

    Msaada msaada msaada msaada Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu Naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu Nimezunguka sana kwenye viwanda mbalimbali...
  14. faru joni

    Wakuu msaada wenu, bado sijapata kazi

    Nililetaga nyuzi yangu mwaka jana ilisomeka ivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Habarini za jioni, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunajenga familia na nchi kwa ujumla... Kwa wale wanaouguza na kuugua nawapa pole na nawaombea kwa muumba mbingu na nchi...
  15. faru joni

    Niite popote katika jiji la DSM, nitakutengenezea bure kabisa computer yako

    Habarini ndugu zangu wana jamiiforum, poleni na miangaiko ya kila siku kuakikisha tunajenga Tanzania mpya. Nielekee kwenye dhumuni la mada: Kulingana na changamoto za kukosa ajira, kukosa mtaji na kutokuwa na chochote kile katika maisha yangu, Nimefikilia kutoa msaada wa kutengeneza bure...
  16. faru joni

    Msaada: NSSF na pesa za matibabu kwa wanafunzi vyuoni

    Habari za muda huu waungawa, poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa wale wagonjwa mungu awatie nguvu mpone na mrejee kwenye majukumu yenu ya kila siku Niende moja kwa moja kwenye mada: Nimeangaika sana kutafuta ajira, nimetoa kilio changu uku jamiiforum, ila kilio changu hakikusikika ila...
  17. faru joni

    Msaada mwenye Tangazo la nafasi za Kazi zilizotangazwa na chama cha Walimu Tanzania

    Habarini as asubuhi hii ndugu zangu wapendwa, nimeskia (kudokezewa) kuna tangazo la nafasi za kazi lililotangazwa na chama cha waalimu Tanzania, Naombeni mwenye ilo tangazo anisaidie, maana nimelitafuta pasipo mafanikio Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  18. faru joni

    Nalia machozi na kuwaangukia tena watanzania wenzangu mnisaidie

    Habarini za jioni, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunajenga familia na nchi kwa ujumla... Kwa wale wanaouguza na kuugua nawapa pole na nawaombea kwa muumba mbingu na nchi awaponye nyote na mrejee kwenye hali nzuri ili kuendeleza majukumu yenu . . Niende kwenye maada moja kwa...
  19. faru joni

    Watanzania wenzangu naombeni mnisaidie kazi yoyote halali

    Habarini za mchana huu wangwana Poleni na miangaiko ya hapa na pale, ya kuhakikisha tunajenga familia zetu vyema na taifa letu la Tanzania kwa ujumla. Kwa wale wagonjwa/wanaouguza poleni sana na mwenyezi mungu mwigi la lekhema awape nguvu mpya na kuwaponya kabisa ili mrejee kwenye majukumu...
  20. faru joni

    Msaada jinsi ya kupandisha vyeti kwenye web-site ya ajira (utumishi)

    Naombeni msaada wenu kwenye ku-appload certificate, kuna mtu amenieleza kuwa lazima ufate atua izi 1. Unatoa copy certificate zote 2.unapeleka copy kwa mwanasheria, anazisaini na ķugonga muhuri 3.kisha unascan izo copy zilizosainiwa na kugongwa muhuri 4. Kisha ndio unazi apload kwenye system ya...
Back
Top Bottom